Uchaguzi 2020 Vitali Maembe aondolewa kugombea Ubunge Bagamoyo

Uchaguzi 2020 Vitali Maembe aondolewa kugombea Ubunge Bagamoyo

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
631
Reaction score
1,577
Mgombea wetu wa Bagamoyo, Ndugu Vitali Mathiasi Maembe ameondolewa kuwania Ubunge wa Jimbo hilo. Majimbo mengine ya Pwani ambayo Wagombea wetu wamekatwa ni Mkuranga na Kibiti.

#Hatukubali


IMG_20200828_121811_374.jpg
 
Tulisema msiingie kwenye uchaguzi hadi TUME HURU ipatikane na baadhi ya sheria zinazosimamia uchaguzi zipatikane ikiwemo ya matokeo ya Urais kuwa challenge mahakamani.
Wasingeingia lipumba angeingia na mwishoni angesema uchaguzi ulikuwa huru na haki sasa tume ungeipataje??

Iyo wala siyo suluhu
 
Wasingeingia lipumba angeingia na mwishoni angesema uchaguzi ulikuwa huru na haki sasa tume ungeipataje??

Iyo wala siyo suluhu

Wao ndiyo walitaka type za hao kina mapumba na kina shiwuda wabakie kuhalalisha haramu zao.

Hii ndiyo sawa kila mtu kaona tukutane Tahrir.
 
ACT Wazalendo,

Mkuu

Wala usiwe na pressure,wote wanarudi.

CCM and Mawe knows, without that the rule will come to an abrupt end.

They know who holds the cards!
 
Back
Top Bottom