Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Mkuu mimi hata nikimpeleka mwanamke Hospital wanajua mimi ni STAFF mwenzaoUtakuwa kwenye kundi la walamba asali.kwa nchi hii!nenda hospitali,ardhi,polisi,halmashauri,kokote kule mambo hayaendi halafu ati wewe hujawahi zungushwa!ajabu ya tumbuli kuacha mihogo.
Nikiingia ofisi za serikali wanajua mimi ni Polisi au afisa usalama
Sijajua ni kwa nini inakuwa hivi