Vitambulisho vya NIDA ni Siasa au hupewa watu maalum

Utakuwa kwenye kundi la walamba asali.kwa nchi hii!nenda hospitali,ardhi,polisi,halmashauri,kokote kule mambo hayaendi halafu ati wewe hujawahi zungushwa!ajabu ya tumbuli kuacha mihogo.
Mkuu mimi hata nikimpeleka mwanamke Hospital wanajua mimi ni STAFF mwenzao

Nikiingia ofisi za serikali wanajua mimi ni Polisi au afisa usalama

Sijajua ni kwa nini inakuwa hivi
 
Wengine wakimbizi, mbona mi nilipata ndani ya mwezi?
 
wapo waliopata nida bure na wengine kwa kutoa hela.other wise labda wawe na mashaka na uraia wako au mkanganyiko waliouona kwenye taarifa zako kwenye form ya nida.
 
Vipi zile security features zinakuwepo pia?
Mkuu hawa watu wa stationary wanakuwa na watu wanaofanya KAZI huko huko ndani ya taasisi za nida kwahyo wanachofanya kuna link wanawatumia na baadhi ya vitu vingine muhimu. Kama mimi hamtaki kuniamini nenda stationary yoyote kubwa kubwa ulizia huduma hii utaambiwa
 
Nikitaka kitu lazima nipate kwa wakati na mapema.
 
Duh nipe connection mkuu maana nimeshakiulizia miaka na miaka Hadi nimekata tamaa.
 
Mkuu mimi hata nikimpeleka mwanamke Hospital wanajua mimi ni STAFF mwenzao

Nikiingia ofisi za serikali wanajua mimi ni Polisi au afisa usalama

Sijajua ni kwa nini inakuwa hivi
Au unatembeaga na shati la kijani ukiwa na appointment 😂😂
 
Hii Nchi ina mamb ya hovyo sana, kuna mambo ya msingi kwa mwananchi yanatakiwa kwa haraka lkn inakua ni dili!!
 
Nida ilimshinda hata JPM
 
Sio wewe tu mie nilijiandikisha tangu mwaka ule ambapo walianza kuandikisha lakini mpaka leo kila nikienda naambiwa hakijatengenezwa..nilishaamua kuachana nacho tu
 
NIDA ilimshinda Magufuli. Watu wanasubiri vitambulisho zaidi ya miaka 4.
 
NIDA
Ni kweli kabisa kuna kitu.
Mimi pia nilijipanga hivyohiyo na ofisini nimeishaenda pia zaidi ya mara mia .Na kuandika humiu pia.
Baadaye nilikaa chini nikajiuliza hivi mbona hata wizara husika haiulizwi wakati wananchi wanapata adha..
Kwa mawazo yangu yawezekana kabisa vilitengenezwa kwa group fulani la watu na baada ya hilo group kupata wengine ni namba tu. Fikiria leo ni mwaka wa saba.
Duuh ama kweli Dunia ina macho.!!!!
 
Jamani tuwe wakweli, hakuna siasa yeyote dhamira ni njema Vitambulisho vinatolewa kwa wote na si viongozi tu ingawa inaweza kuwa si kwa kasi tuliyotarajia. Namba ni nyingi mno zilizotolwwa na uzuri wameweka utaratibu wa huduma kutolewa kwa wenye namba kama ilivyonkwa wenye vitambulisho. Ukitazama kasi ya nida kwa sasa katika kuzalisha vitambulisho imeongezeka sana kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Nadhani tusilaumu tu lakini pia ni vema kupongeza kwa juhudi zinazofanyika binafsi naamini wote ambao hawajapata ambao nilisikia ikielezwa ni asilimia 50 ya walioandikishwa watapata.
 
Sidhani kama ni kweli vilitengenezwa kwa ajili ya group fulani. Watu wengi wa kawaida wana vitambulisho ingawa ni kweli si wote.
 
Hata wakati wa JPM vitambulisho vya NIDA vilikuwa havipatikani kwa waliojiandikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…