Vitambulisho vya Taifa: Maoni ya Mchungaji

Vitambulisho vya Taifa: Maoni ya Mchungaji

Haya ndiyo maajabu mengine....hivi kuna wazanziba ambao wanafikiri vizuri ku-neutralise mawazo yao kwa kiwango hiki? Amini nawaambieni, kama tungekuwa na watu 10 tu wa aina hii ndani ya Zanzibar leo hii hata kama hawana nafasi za uongozi, yaani wawepo tu mitaani, Zanzibar na Tanzania tungekuwa mbali sana na kusingekuwa na kelele za muungano na Tanzania ingekuwa na jambo la kujivunia.
Ninaongea hivyo kwasababu wazanzibar wanachoamini ni kuwa waliumbwa na kuzaliwa ili waje dunianai kupingana, kuwatusi na kubishana na Tanganyika, wameaminishana na kurithishana hivyo, ukiona mtu hususani viongozi wa zenji wapo kimya ujue kuna maslahi wanayapata yakikata nao wanaanza kuunanga muungano na kutukana Tanganyika. Ndiyo maana hata sasa hakuna mahusiano mazuri kati ya wafanyakazi wa vyombo na idara za serikali zenji na wale wa . Hili lipo wazi.
Hongera sana Mammamia kwa kuwa na ka-vision

kweli mkuuu haya ni mawazo ya kimapinduzi. A Very nice analysis!!! Hongera sana. Naomba hiyo mada uliyoipost uitume kwa mhariri aidha mwanahalisi au raia mwema au mwananchi . Maana hiyo ni constructive message.
 
Wandugu hivi ni lini Vitambulisho vya Taifa (National ID) Vitaanza kutoka lini? navisubiria kwa hamu kubwa sana ili watanzaia tuanze kupata kazi na kulinda kazi zetu na vizazi vijavyo. Kam huna kitambulisho hakuna kazi

No ID, No Job
No ID, No Citizenship
No ID, No Chuo
No ID, No bank Account
No ID, No Passport
No ID, NO Driving Licence
No ID , No Loans
No, ID, No House
No ID, No Land
No ID, No Renting House
No ID, No Life for You
Malizieni..............................
 
[h=3]VITAMBULISHO VYA TAIFA VYATENGEWA SH355BILLIONI WAKATI NCHI ZA WENZETU MPAKA PAKA NA MBWAA WANAVITAMBULISHO.[/h]

SERIKALI YA TANGANYIKA imesema itatumia Sh355 bilioni kutengeneza vitambulisho vya taifa ambapo awamu ya kwanza itamalizika mwishoni mwa mwaka huu.Hayo yabainishwa na Waziri wa Fedha , Mustafa Mkulo jana alipokuwa akiwasilisha bajeti ya mwaka 2011/12 bungeni mjini Dodoma.
omba%2Bomba.jpg

kabla hujatowa vitambulisho wajengeeni hawa watoto wa mabarabarani nyumba za kulala,skuli,maji,umeme,madawa wakiumwa,nguo,viatu,na wao wawe na maisha mazuri kama watoto wenu au mutaona raha nyinyi watoto wenu wawe kama hivi..?

Alisema kwa kutambua umuhimu wa vitambulisho vya taifa, serikali imekamilisha taratibu za kumpata mzabuni na kwamba tayari mkataba umekwisha sainiwa.“Mradi huu utagharimu jumla ya shilingi bilioni 355 mpaka utakapokamilika na awamu ya kwanza ya kutengeneza vitambulisho hivyo itakamilika mwishoni mwa mwaka 2011,”alisema Mkulo.
05_10_67c9ja.jpg

ona mkulo utakubali baba yako au mama yako awe hivi na wewe unatowa pesa kutengeza vitambulisho au kwanza utamuwekea mahali paa kuishi kisha ndio uanzishe vitambulisho...?

Alisema katika awamu ya kwanza jumla ya Sh70 bilioni zitatumika kuzalisha vitambulisho hivyo kama ilivyopangwa.Aliongeza kuwa mradi huo ukikamilika utawawezesha wananchi kuwa na utambulisho na hivyo kusaidia kuongeza wigo wa ulipaji wa kodi pamoja na mambo mengine.

kwa hiyo ni vitambulisho vya kuzidi kuwabana watu ili mujuwe nani kalipa kodi na nani hajalipa kodi sasa ndio maendeleo hayo ya nchi au ndio munawamaliza wananchi..?

Pia alisema vitambulisho hivyo vitasaidia upatikanaji wa huduma mbalimbali, ikiwa ni pamoja na huduma za kifedha na kuwatambua wahamiaji haramu.
Hivi karibuni Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha alinukuliwa na vyombo vya habari akisema, utekelezaji wa mradi huo utakuwa mgumu kutokana na Tanzania kuwa na watu 26milioni wanaostahili kupata vitambulisho hivyo.Pia alisema vitambulisho hivyo vitaanza kutolewa kwa wanafunzi,wafanya biashara wakubwa,pamoja na wafanyakazi.
c_documents_and_settings_user_my_documents_my_pictures_svavs_dog_passport_194319.jpg

hichi ni kitambulisho cha mbwa hata sio binadamu ni mbwa nyinyi majuha munasema vitambulisho wapewe wanafunzi,wafanyakazi,na wafanya biashara wakubwa..?ujuha gani muliyokuwa nao nyinyi kama ni kitambulisho kila mtu anahaki yakuwa nacho ikiwa ni rai sio mwanafunzi,mfanyabiashara ona hapa mbwa mbwa anakitambulisho nyinyi viongozi au shahalabalah tuuuuuuuu..?
2005_05_dogpassport.jpg

ona mbwa mbwa
pet-passport.jpg

ona mpaka paka pia kwasababu taarifa zao zinafahamika kwa urahisi. Nahodha alisema, vitambulisho hivyo vitatumika pia katika kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wanaostahili na kubainisha kuwa wapo wanafunzi wanaopewa mikopo huku wakiwa hawastahili

NYINYI VIONGOZI WACHENI UJINGA ULIMWENGU USHAMKA MUNACHEKWA NCHI ZA WATU WANAKUCHEKENI TENA SANA TU WANAKUONENI MAJUHA WA MWISHO KABISA ATI KWA SABABU TAARIFA ZAO ZINAFAHAMIKA KWA URAHISI SASA BINADAMU MWENGINE KAMA SIO MWANAFUNZI,MFANYABIASHARA MKUBWA NA MFANYAKAZI TAARIFA ZAO HAZIFAHAMIKI KWA URAHISI..?BASI NDIO PAKUWAPA VITAMBULISHO WOTE ILI WAFAHAMIKE NYINYI MAJUHA KWELI KWELI ONA NCHI ZA WATU MPAKA MBWA NA PAKA WANAFAHAMIKA NYINYI WANANCHI WENU WENYE HAMUWAFAHAMU SASA VIPI MUNAONGOZA NCHI NYINYI MAJUHA.....?
 
Habari hii kutoka ( http://free-zanzibar.blogspot.com/ ) hahaha huwa nafurahishwa sana kutembelea hio website kwani anaweka mifano halisi,kama report hapo juu munavyoona.

Na habari nyingi ambazo zenye mifano halisi huwa nazipata kupitia mtandano huo. hahahhaa dah kweli
 
Duh iyo staili ya uwasilishwaji wa info!!!!!
 
Serikali ya CCM,inayotawala Tanzania na ile inayotawala Zanzibar ni serikali mbili tofauti. Serikali ya Zanzibar ilishatoa vitambulisho vya ukazi/uraia wa raia wa Zanzibar. Na serikali ya Tanzania (Tanganyika + Zanzibar {Unguja+Pemba}) inatarajia kutoa vitambulisho vya uraia. Kwa kuwa Zanzibar tayari serikali yao ilishatoa vitambulisho vyao. Je, serikali ya Tanzania (SJMT) ikitoa vitambulisho vyake, wa zanzibar watakuwa na vitambulisho vya uraia wa nchi mbili ndani ya nchi moja?
 
IMG_4117.JPG

Baadhi ya Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
wakiwa katika picha ya pamoja Uwanja wa DIA wakitokea Malasya
IMG_4211.JPG

Mbunge wa Maswa, John Shibuda, akizungumza na waandishi wa habari leo mchana,
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam,
mara baada ya kuwasili kutoka nchini Malasyia

Vitambulisho vya Taifa ni mizengwe isyo kifani, maana vitambulisho ni kitu endelevu kinachotakiwa kifanyike hapa nchini. Mamlaka inayotoa leseni za udereva ndizo zinazotakiwa zitoe pia vitambulisho vya uraia ambavyo ni non driving license. Sasa vitambulisho kutengenezwa huko Malasya sijui vina tofauti gani na driving licence.

Mfumo ambao unatumika utengenezaji wa vitambulisho ni kama hizi kadi za ATM bank, si kitu cha pekee ni karatasi tu ambalo limekuwa laminated na plastic. Bora kama wangeagiza mitambo ambayo si ghali, kwani naijua ni bei ya kutupa tu na kuweka kitengo ndani ya idara ya leseni za magari wakawa wanatoa vitambulisho hivyo sambamba na uhakiki na namba ya kila mtu kitaifa yenye kuwiana na cheti cha kuzaliwa.

Sasa safari zote hizi idara ya vitambulisho kitaifa, waziri wa mambo ya ndani na kundi la wabunge kwenda mara kwa mara kufuatilia vitambulisho hivyo huko Malasya ni kiinimacho. Sirikali yetu ni finyu kiasi hiki cha kutumia pesa nyingi wakati uwezo tunao?
 
Hivi hata namba za kiraia zitakazotolewa na idara ya usaili wa uzazi na vifo hao wa Malasya watakuja kushughulikia? Wasomi na wajuzi wa teknolojia wamejaa kedekede bado tu hatuwezi kuwatumia hadi tuende huko mashariki ya mbali kupeleka pesa zetu wa walipa kodi bila kinyongo?
 
Mbona wako wengi sana ? Wakiwa wanafuatilia wote huzungumza kwa mara moja au ni uoga kwamba mmoja au 2 hawawezi kujieleza ? Malaysia kuna ubalozi kule je hawawezi kazi hii Hao Malaysia wako mbele kwenye jambo hilu kuliko sisii ?Si wanunue mitambo watu walipe vyema forgery hazitakuwepo .Yaani TAnzania kweli ni chaka la ulaji .
 
TOO MUCH nieishasema kwa nchi yetu kila mradi ni "Deal"Hivi kulikua na umuhimu wa huu ujumbe kwenda Malasya!Ujumbe mkubwa wa wabunge,maeneo ya kuwachia wataalamu kufanya kazi tunapeleka wabunge kwenda kufanya shopping.HIVI KWA HAYA YANOYOFANYIKA TUNAHAKI YA KUSHANGAA KUHUSU MIKATABA MIBOVU?HAMA KWELI TANZANIA NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU KUJIFUNZA KUNYOA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Nakuunga 100% ni upuzi mtupu kundi lote hilo kwenda huko Malasya. Hoja ya uwepo wa diplomatic haina nguvu basi warudi. Diplomatic wanafanya kazi gani? Na hivyo vitambulisho ningekuwa sijui namna gani vinatengenezwa hapo nisingeongelea, lakini kwa sasa nimeshafanya kazi hiyo licha ya vitambulisho hata bank kadi sasa kinachoendelea naona ni usanii tu. Mtambo wa kutengeneza mbona gharama yake ni pungufu ya gharama ya safari ya Mbunge mmoja kwenda huko Malasya. Tutafika kweli kwa hali hii? Upuzi mtupu, upuzi mtupu na upupu tu serikalini.
 
mavazi yao kama wahuni bwana, hizo suti za kicheck bob sana sio diplomatic wakina mama sito sema, kuna mmoja tu wa kwanza kushoto ana mwonekano wa kibunge, lakini huyo aliyefuta hata viatu kavaa vya mazoezi au anatoka GYM na mwingine huyo suti safi lakini imemwingia sana bana, waheshimiwa nguo inakuwa luzi kidogo, hao wakiume ndio kabisa kama MC nadhani wafundishwe kuvaa maana wanazulula sana tutapata aibu nyingi
sidhani kama kuna wabunge hapo

IMG_4117.JPG

Baadhi ya Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
wakiwa katika picha ya pamoja Uwanja wa DIA wakitokea Malasya
IMG_4211.JPG

Mbunge wa Maswa, John Shibuda, akizungumza na waandishi wa habari leo mchana,
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam,
mara baada ya kuwasili kutoka nchini Malasyia

Vitambulisho vya Taifa ni mizengwe isyo kifani, maana vitambulisho ni kitu endelevu kinachotakiwa kifanyike hapa nchini. Mamlaka inayotoa leseni za udereva ndizo zinazotakiwa zitoe pia vitambulisho vya uraia ambavyo ni non driving license. Sasa vitambulisho kutengenezwa huko Malasya sijui vina tofauti gani na driving licence.

Mfumo ambao unatumika utengenezaji wa vitambulisho ni kama hizi kadi za ATM bank, si kitu cha pekee ni karatasi tu ambalo limekuwa laminated na plastic. Bora kama wangeagiza mitambo ambayo si ghali, kwani naijua ni bei ya kutupa tu na kuweka kitengo ndani ya idara ya leseni za magari wakawa wanatoa vitambulisho hivyo sambamba na uhakiki na namba ya kila mtu kitaifa yenye kuwiana na cheti cha kuzaliwa.

Sasa safari zote hizi idara ya vitambulisho kitaifa, waziri wa mambo ya ndani na kundi la wabunge kwenda mara kwa mara kufuatilia vitambulisho hivyo huko Malasya ni kiinimacho. Sirikali yetu ni finyu kiasi hiki cha kutumia pesa nyingi wakati uwezo tunao?
 
mavazi yao kama wahuni bwana, hizo suti za kicheck bob sana sio diplomatic wakina mama sito sema, kuna mmoja tu wa kwanza kushoto ana mwonekano wa kibunge, lakini huyo aliyefuta hata viatu kavaa vya mazoezi au anatoka GYM na mwingine huyo suti safi lakini imemwingia sana bana, waheshimiwa nguo inakuwa luzi kidogo, hao wakiume ndio kabisa kama MC nadhani wafundishwe kuvaa maana wanazulula sana tutapata aibu nyingi
sidhani kama kuna wabunge hapo

Wanaenda talii hao, maana unaweza soma kitu fulani hata nyusoni mwao kwani hawajakaa kimkakati, na ujue kamati hizo ni zile zinazoshikiliwa na wale wa magamba, mwanangonjera aka Shibuda akiwa vuvuzela lao.
 
Wenzetu uganda wameboresha tume yao ya uchaguzi na inafanya kazi sambamba ikiwa ni kutoa vitambulisho vya mpiga kura pamoja na vitambulisho vya uraia wala hakuna kampuni ya nje iliyopewa zabuni wala semina na hizo safari zisizo na tija ifike kipindi tupinge na kukataa dhuluma hii watanzania, serikali inatumia mabilioni ya walipa kodi ovyo wakati hospitali zetu hazina dawa. I THINK WE NEED DEVELOPMENT NOT DEMOCRACY IN THIS COUNTRY.
 
Tanzania wizi mtupu hao waote nadhani walipokwenda huko wote waliishia kusinzia tu
 
Shibuda jiuzulu! Wewe ni fisadi tu. Magamba wala wewe sio mwana chadema.
 
hizo bil 200 zimewatoa roho na utu wao watendaji wa jk wote na mawaziri woote kila mmoja roho na mate yamemtoka!!tanzania kila kitu deal hao wanaenda ponea njaa kwa supplier!
 
Back
Top Bottom