Vitendo ambavyo binadamu ukifanya lazma ukunje sura na kukaza mwili

Vitendo ambavyo binadamu ukifanya lazma ukunje sura na kukaza mwili

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
1. Kunywa kitu kichungu au kikali
Vitu hivi ni kama ndimu, limao na hata pombe kali
2. Kufika kileleni, hii ni kwa wote lazma ukaze mwili kwelikweli, na njia rahisi ya kujua kama unamkojoza mkeo ni hisia hizi.
3. Kupiga mpira kichwa
images.jpeg

Hakuna binadamu aliwahi kupiga mpira kichwa ukaona anarembua.
4.....ongea
 
Kasie mzima wewe? Cc Tized

Namtafuta huko alike aseme...

Kama nimemkosea aseme....

Kama nimemuudhi aseme, Kama amenisameeheee....

Malaika nawatuma, mwambieni nampenda,
Hakuna neno zuri kwangu, Kama neno nampenda...

Mwambieni nampenda, mwambieni sijamtenga, mwambieni nampenda, mwambieni nimemkumbuka....😍😍😍

Ujue umenikumbisha mbali sana, enzi zile tunapeana signal kwenye foleni kutoka Maktaba mjini hadi Morocco..... it was sweet free life.....

Tized poppte ulipo salamu zikufikie....

Sijui kama huyu binamu yako atazifikisha...🤷‍♀️

Wacha niendelee kuimba.....

Eeweee njiwaa eeweee njiwaaaa... 🐦
Peleka salamuuuuu
Kwaa yuuleee kwaa yuleeee
Wangu muhibuuu....😊.

Sijambo Analyse, ila hali yangu imekuwa taabani ghafla kwa kunikumbusha Tized......

Ukifikaaaaaa mueleezeeeee.....

Kwamba nnapata taabuuuu....😌😌😌.
 
Back
Top Bottom