Namtafuta huko alike aseme...
Kama nimemkosea aseme....
Kama nimemuudhi aseme, Kama amenisameeheee....
Malaika nawatuma, mwambieni nampenda,
Hakuna neno zuri kwangu, Kama neno nampenda...
Mwambieni nampenda, mwambieni sijamtenga, mwambieni nampenda, mwambieni nimemkumbuka....😍😍😍
Ujue umenikumbisha mbali sana, enzi zile tunapeana signal kwenye foleni kutoka Maktaba mjini hadi Morocco..... it was sweet free life.....
Tized poppte ulipo salamu zikufikie....
Sijui kama huyu binamu yako atazifikisha...🤷♀️
Wacha niendelee kuimba.....
Eeweee njiwaa eeweee njiwaaaa... 🐦
Peleka salamuuuuu
Kwaa yuuleee kwaa yuleeee
Wangu muhibuuu....😊.
Sijambo Analyse, ila hali yangu imekuwa taabani ghafla kwa kunikumbusha Tized......
Ukifikaaaaaa mueleezeeeee.....
Kwamba nnapata taabuuuu....😌😌😌.