Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Hakika, umenena sahihi.
Tiba yako i njiani, yaja. ππ
Wuuuhuuuuuu......ππππππ
Yeeeeheeeeeee.......ππππππ
Acha nifurahi mimi, nicheke ngozi yangu ikunjuke, magego yapate hewa, tabasamu la ladha ya ukwaju kwa mbaaaliiiii.....ππππππ
Ukijua tiba inakuja, unapona hata kabla tiba haijaanza....
Eeeeh hebu niache vurugu, nitulie niwe mpoleeeee kama binti Sayuni π.