Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Just prepare yourself for a surgery. U gonna like it ππ
Toobaaah.....π€π€π€
Natoka ndukiii πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Wadau wanaongeza ukubwa wa lenzi na sauti.....π π
Aahahahhaa ila mimi, kila nikisema niache vurugu za ujana najikuta nshafanya.....ππ
Nimejikuta namkumbuka Misanya Bingi na kipindi chake cha Chombeza Time.....
Watu walikuwa wanakaa karibu na redio wako kimyaaa kusikia na simu zina vocha makoo yako tayari kupiga simu na kutuma salamu za chombeza kwa mahabuba wao wa enzi zile....π π
Ngoja nitoke nje nipunge upepo kwanza, humu kibandani joto kali...πΆ.