Hakika, umenena sahihi.
Tiba yako i njiani, yaja. ππ
Kama wapona baada ya kusikia tiba i njiani, basi tabibu hatokuwa na kazi kubwa akifika. ππππWuuuhuuuuuu......ππππππ
Yeeeeheeeeeee.......ππππππ
Acha nifurahi mimi, nicheke ngozi yangu ikunjuke, magego yapate hewa, tabasamu la ladha ya ukwaju kwa mbaaaliiiii.....ππππππ
Ukijua tiba inakuja, unapona hata kabla tiba haijaanza....
Eeeeh hebu niache vurugu, nitulie niwe mpoleeeee kama binti Sayuni π.
Kama wapona baada ya kusikia tiba i njiani, basi tabibu hatokuwa na kazi kubwa akifika. ππππ
Jiandae kupokea uponyaji
Nashkuru nimeifanya jioni yako walau iwe na furaha japo kidogo. Yule mwenda kwa miguu amenihudhunisha hata Mimi, japo sijajua hazmat ya yule aliyekuwa amekaa kwenye kiti.Nacheka, nafurahi, nimetabasamu baada ya kusoma ujumbe wako, asante.
Japo nilijawa na huzuni ya yule muenda kwa miguu aliyepata ajali ya mwendokasi leo alfajiri, basi kafuraha kamereja tena baada ya kukuona hapa ππ.
Nashkuru nimeifanya jioni yako walau iwe na furaha japo kidogo. Yule mwenda kwa miguu amenihudhunisha hata Mimi, japo sijajua hazmat ya yule aliyekuwa amekaa kwenye kiti.
Anyway, am happy you're happy Kasie Matata π
Tized amekuwa busy kidogo na majukumu, ila nina uhakika, akiingia online lazima akupe tabasam la muda mrefuAhahahahahhaaa furaha ya pamoja πππ
Hivi ile Toyo ya Tized bado ipo?
Nimemiss vibe la Toyo....ππ
Miguu inaniwasha kwa safari.
Yafaa umsubirie tu, ili akute hamu bado ipo juu, asijepata tabu kuipandisha upya.Aahahahhaa au nimfate hukohuko alikoooo....!!???
Naona hajapata ni kwa namna gani namhamu....ππ
Yafaa umsubirie tu, ili akute hamu bado ipo juu, asijepata tabu kuipandisha upya.
Raha ya mwali, umkute yu tayari. Akaa vyovyote umuambiavyo. Farasi mkongwe hupenda safari, hana tashwishwi muda wa kumpanda.
Kasie Matata yu tayari, angojewa Tized aliyembali. Afanye hima asije muuzi, likamuondoka tabasam, yabaki mashauzi.
Ushahiri auhitaji mafunzo, Nia ni kukupa tulizo.Nimetii maneno yako...
Nafanya subira kumngojea Tized....
Wacha niimbe kidoogooo....
Laaambwaaa laambwaaa, lambwatikaaa,
Maharage yako jikoni nimeshayapikaaa,
Nangojea futari ya Bwanaa, haijafikaaa...π
Vumiliaa shemeji usijentonesha kidooondaaaa......
Dakitari huyo yuaja, dakitari mie namngoja, aja kitia dawa kidonda....πππ
Kachiiiiriii kachiriiiii
Mume wangu kasafiriii....
Kaniachia.....
Na mtindo wa hariiriii
Kachiri sagaaa ntie gomaaa....πππ waahaalaaaa......
Ila nawe u mtunduu...π π π
Umejifunzia wapi na lini kudondosha vina na mizani....
Shairi zimesimama kuliko mkuki...π.
Aahahahhahaaa hujakosea hata kidogo,Ushahiri auhitaji mafunzo, Nia ni kukupa tulizo.
Ili ajapo waubani wako, akute umenona kunako.
Nami nakuahidi yukaribu kufika, njiwa wako salam kafikisha.
Nena jingine ntafikisha, kabla hata ya usiku kwisha.
Sema choices ya nyimbo zako, inaonesha u-mkongwe π
InawezekaN kweli hii ya mwisho1. Kunywa kitu kichungu au kikali
Vitu hivi ni kama ndimu, limao na hata pombe kali
2. Kufika kileleni, hii ni kwa wote lazma ukaze mwili kwelikweli, na njia rahisi ya kujua kama unamkojoza mkeo ni hisia hizi.
3. Kupiga mpira kichwa
View attachment 2525373
Hakuna binadamu aliwahi kupiga mpira kichwa ukaona anarembua.
4.....ongea
Kuwa na kadi ya CCM4.....ongea
Jungu Kuu halikosi ukoko, siku moja moja uwe unatupa story, how life was back then. Tuna vingi vya kusikia toka kwako π
Me nadhani mvumilivu hula mbivu ndio yafaa. Wahenga walisema "Mambo mazuri hayataki haraka" kuwa na subira Bi. Kasie, utafurahi akija.πNa nnavyopenda kusimulia sasa.....aahahahahhaaa
Uwe na sikio tuu la kusikiliza.
Alfulela ulela za Bi Kasinde huwa haziishi, ni bandika bandua na vicheko juu...πππ
Huyo daktari wa niuro aka niurosajoni sijui anafika saa ngapi.....π€π€π€
Mwenzie ntachoka kusubiri atii, ngoja ngoja yaumiza matumbo japo mvumilivu hula mbivu...πππ.
Me nadhani mvumilivu hula mbivu ndio yafaa. Wahenga walisema "Mambo mazuri hayataki haraka" kuwa na subira Bi. Kasie, utafurahi akija.π
Kuvunjwa bikra1. Kunywa kitu kichungu au kikali
Vitu hivi ni kama ndimu, limao na hata pombe kali
2. Kufika kileleni, hii ni kwa wote lazma ukaze mwili kwelikweli, na njia rahisi ya kujua kama unamkojoza mkeo ni hisia hizi.
3. Kupiga mpira kichwa
View attachment 2525373
Hakuna binadamu aliwahi kupiga mpira kichwa ukaona anarembua.
4.....ongea
Just prepare yourself for a surgery. U gonna like it ππNimekubali subira yavuta kheri...πππ
Wacha nihifadhi bashasha nililonalo ili nije kufurahi baadae akija daktari mahiri wa niuro..π.