Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kazi kwao wanaojidanganya kuwa wataiona pepo wakati nafsi zao zinawasuta.
Mie nafsi yangu inaniambia kabisa mzabzab wee ni motoni moja kwa moja maana jtendayo ni kinyume na maagizo ya muumba wako.
Ndugu yangu niwie radhi kama nitakuwa naingilia uhuru wako lakini sisi kama wanadamu hatuna budi kukumbushana kwani kukosea ni sehemu ya maumbile yetu.......

Usijinenee maneno hayo kwani ni maneno mazito sana......
 
WWa
Watu wanapinga ushoga maana ni shambulio la moja kwa moja kwa taasisi ya familia Chief. Ushoga ukionekana ni jambo la kawaida ni kutangaza mwanzo wa mwisho wa binadamu
 
Mimi naamini dhambi sio zote sio Sasa ktk gravity na consequently effect. Pia punishment zake hazilingani. This both logically and faithwise
Unaamini kumbe,miye nikajua una reference ya kubackup Imani yako
 
Umeishatwambia wewe sio mzinzi. Twambie sasa katika mahusiano yako na Mungu huwa unafanya toba kwa ajili ya dhambi zako
 
WWa

Watu wanapinga ushoga maana ni shambulio la moja kwa moja kwa taasisi ya familia Chief. Ushoga ukionekana ni jambo la kawaida ni kutangaza mwanzo wa mwisho wa binadamu
Watoaji mimba je!!?
 
Unaamini kumbe,miye nikajua una reference ya kubackup Imani yako
Biblia yenyewe inasema dhambi nyingine nzito kuliko. Zote dhambi sawa lakini dhambi ina element nyingi husani tendo, mtendaji, mtendewa etc
 
Nyie mnaokata rufaa tunaomba mtuambatishie na maandiko mtakayotumia kuurgue mbele ya Mungu kupinga shoga na mzinzi na mwasherati kupigwa kiberiti tanuru moja
Hebu wait.... hivi mwanaume anavoitaka haki ya kufirw* anakua na wazo pia la kuendeleza kizazi? Namaaisha anawaza kuzaa? Kuitwa baba?
 
Dhambi ni uasi, ila unachokifanya wewe ni laana hata kizazi chako chote kitabeba hiyo laana.
Uzinzi umumekatazwa. Lakini sex imeruhisiwa kwa vigezo Fulani.

Homosexuality hairuhusiwi under any circumstance.

Uzinzi ni dhambi yes. Yet within the natural order.

Homosexuality ni deviation ya natural order. Sema hawa wanajitoa ufahamu.
 
Ni Kwa mujibu wa maandiko niliyoorodhesha kwenye hoja yangu hapo hususan 1korintho 6:9,10 najua wazinifu hampendi kuyasikia haya ila ndio ukweli wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo kwa vile wewe umeleta mada hii wewe ni shoga unajitetea?
 
Naam na hiyo ni Kwa mujibu wa maandiko matakatifu ila Kwa mitazamo ya kibinadamu mambo ni tofauti
Yes kwa hiyo mtu anapopinga ushoga aelezee mtazamo wake sio maandiko.... Utashangaa kuona mtu mzinzi mkubwa ana mchepuko kila kona ya mtaa ila yuko busy kuquote maandiko kukemea ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…