Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ukishazima sasa? Si watakufukua tu? Acha ulevi tunza jamii yako shoga atubu atasamehewa ikiwa atabadilika na kuacha dhambi hiyo tatizo mnafikiri dhambi zenu ni halali ila za wenzenu ndio mbaya
Endelea kuwaelimisha
 
Mkuu acha ujinga. Ushoga ni dhambi ambayo ilishawahi kupata DIRECT PUNISHMENT kutoka kwa Mungu, unalijua hilo?
 
Salaam,

Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu, Kwa Imani Mimi ni mkristo napenda kuchimba sana kwenye Biblia maana naamini kabisa ni neno la MUNGU -Zaburi 119:105

Sasa Kuna watu naona wapo mstari wa mbele kupinga ushoga na hata kutaka mashoga wauawe kana kwamba uasherati na uzinzi wao sio tatizo. Watu wanajisifu kulana kimasihara, kula wake za watu kushindana ni nani kalala na idadi kubwa ya wanawake na anaona ni ufahari kabisa ila anapinga ushoga kana kwamba dhambi zake yeye ni halali

Sitetei tabia ya ushoga ila ninachotaka kusema ni kwamba dhambi ni dhambi na usifikiri dhambi yako wewe ni nzuri ila ya mwenzio ndio mbaya.

Kwa wale wenzangu ambao ni wasomaji wa Biblia turejee 1Korintho 6:9,10 dhambi zote hizo ni chukizo Kwa Muumba wetu na kila anayezifanya hataingia kwenye ufalme wa MUNGU

Rejea pia Galatia 5:19-21 kuhusu matendo ya mwili ambayo ni chukizo mbele za MUNGU

Hivyo basi ikiwa tunataka kuwa watu safi mbele za Muumba wetu mtakatifu tuache na pia tukemee dhambi zote hizo bila kubagua vinginevyo ni kwamba anayesema wema ni uovu na anayesema uovu ni wema wote hao ni chukizo mbele za MUNGU.

Amani iwe nanyi, muwe na jioni njema

Shida ipo hivi: kuna Watu na mashirika ya watu wanaotetea Ushoga wakisema Ushoga ni haki kati ya haki za binadamu, huwezi kuwasikia wakisema Uzinzi ni haki kati ya haki za binadamu, kumbuka Ushoga ni hatua ya juu kabisa ya Uzinzi na ukisoma historia katika Biblia na Qur'an utakuta kuna Qaum ya watu waliangamizwa na Mungu kutokana na dhambi ya Ushoga (soma Sodoma na Gomora).

Pia lazima ukumbuke Mungu huwa haadhibu watu hadi pale watu wanapochupa mipaka ya maovu baada ya kuonywa, Ushoga ni kuchupa mipaka ya uzinzi basi ili dunia ishishikwe na adhabu ya Mungu inatupasa, sisi tunaojua hatari hii, tukemee kwa nguvu kubwa Vyote kwa pamoja uzinzi na Ushoga.

Kumbuka Ushoga ni hatua ya juu ya Uzinzi.
 
Kwamba mimi ninayezina na toto kali lina makalio yameumuka yamejaa kwenye kipedo halafu siku ya mwisho tupangwe mstari na mtu anayetafunwa! Nitakata rufaa dhambi zangu zipitiwe upya.
 
Umechanganya uji na mchanga sijui unachuja vipi!

Yaani shoga alietatuliwa marinda, kalegea anatembea kama gari limekatika center bolt unataka umlimganishe na mlevi??? Sasa mlevi si anauwezo wa kwenda kutubu na atabaki kuwa mwanaume ila shoga aiseee once a gay always a gay utakujaje kuwa straight tena?

Hatuhukumu as if sisi ni wasafi ila acha tuikemee kwasababu shoga hafanyi peke yake anamtafuta na asiefanya ili afanye nae ila pombe si unakunywa mwenyewe unazima mwenyewe!
Lakini wote Motoni tu
 
Salaam,

Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu, Kwa Imani Mimi ni mkristo napenda kuchimba sana kwenye Biblia maana naamini kabisa ni neno la MUNGU -Zaburi 119:105

Sasa Kuna watu naona wapo mstari wa mbele kupinga ushoga na hata kutaka mashoga wauawe kana kwamba uasherati na uzinzi wao sio tatizo. Watu wanajisifu kulana kimasihara, kula wake za watu kushindana ni nani kalala na idadi kubwa ya wanawake na anaona ni ufahari kabisa ila anapinga ushoga kana kwamba dhambi zake yeye ni halali

Sitetei tabia ya ushoga ila ninachotaka kusema ni kwamba dhambi ni dhambi na usifikiri dhambi yako wewe ni nzuri ila ya mwenzio ndio mbaya.

Kwa wale wenzangu ambao ni wasomaji wa Biblia turejee 1Korintho 6:9,10 dhambi zote hizo ni chukizo Kwa Muumba wetu na kila anayezifanya hataingia kwenye ufalme wa MUNGU

Rejea pia Galatia 5:19-21 kuhusu matendo ya mwili ambayo ni chukizo mbele za MUNGU

Hivyo basi ikiwa tunataka kuwa watu safi mbele za Muumba wetu mtakatifu tuache na pia tukemee dhambi zote hizo bila kubagua vinginevyo ni kwamba anayesema wema ni uovu na anayesema uovu ni wema wote hao ni chukizo mbele za MUNGU.

Amani iwe nanyi, muwe na jioni njema
Jina lakooo,? Maku za Mkumbo!
 
Back
Top Bottom