Makuzamkumbo
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 501
- 519
Hakuna dhambi isiyosameheka mawazo ya MUNGU sio ya mwanadamu kikubwa ni kutubu na kubadilikaAcha mambo yako?kuna dhambi utatubu,ila shoga hata akitubu na akasamehewa?radius ya kunduz inabaki vilevile!marinda hayarudi hata kwa dawa.