Makuzamkumbo
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 501
- 522
Andiko lipi linasema hivyo chief? Kama unalo liweke hapa nilione tafadhali, AsanteNa wewe naona unapumiuliwa .hivi hujuwi dhambi hii shetani anakaa pembeni kabisa.na unapofanya kitendo hiki hata miti inainama chini kwa masikitiko,hivi ujiulizi Kwa nn gomora ilitiwa kiberiti