Makuzamkumbo
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 501
- 519
Naam na hiyo ni Kwa mujibu wa maandiko matakatifu ila Kwa mitazamo ya kibinadamu mambo ni tofautiWazinzi, waasherati, malaya, hawana ruhusa kuwahukumu mashoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam na hiyo ni Kwa mujibu wa maandiko matakatifu ila Kwa mitazamo ya kibinadamu mambo ni tofautiWazinzi, waasherati, malaya, hawana ruhusa kuwahukumu mashoga.
Kwa mujibu wa andiko lipi, au ni mtazamo wako tu? Kama wewe ni mzinzi au muasherati huna tofauti na huyo shoga. Najua hampendi kuyasikia haya ila ndio ukweliKufukua ama kufukuliwa topeni hiyo dhambi hata shetani anakaa pembeni
Kwan wa Tz wana akili sasa? Wao wanawaza ushoga kuliko chochotee, afu sasa hawawezi badilisha chochote wanabaki kulia kwa keyboard, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzinzi Motoni ,mfiraji Motoni
Wazinzi wa Tz hawana Akili hata moja wao wanajiona watakatifu wakati lazima waingie Motoni so mzinzi Motoni , mfiraji Motoni ,
Ni Kwa mujibu wa maandiko niliyoorodhesha kwenye hoja yangu hapo hususan 1korintho 6:9,10 najua wazinifu hampendi kuyasikia haya ila ndio ukweli wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo uzinzi na ushoga ni kitu kimoja![emoji15][emoji15]
Hauko serious mkuu.
Ongezaaaaaaa sautiiiiiiiiiiiiiiii plzzzzzzzzzzzzzOngezea na wadokozi, wala rushwa na watoa rushwa. Kama wanapinga ushoga watafute hoja nyingine hii ya dhambi waachane nayo kabisa
Tunapohubiria watenda maovu waachwe njia zao mbaya na wapatanishe maisha yao na maamrisho ya MUNGU tunawajumuisha hata na hao uliopost picha yao hapa, Asante karibu sana
Ahsanteeeeee bibiiiiii1 WaKorintho 6:9-11
1 Kor 6:9-11 SUV
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Mimi nazungumzia maandiko matakatifu, huyo uliyemwandika hapo Wala simjuiKwani zumaridi anasemaje
Naam Asante sana kiongozi[emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu ushoga uko kwenye kundi la uzinifu yaani shoga na mzinzi mbele ya mwenyezi mungu wana daraja moja.
Afu kutwaa kwenda kwa mashoga kuomba mikopo na misaada, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miafrika imepewa ishu ya ushoga ipambane nayo huku mambo ya msingi yakiwapita kama hawaoni.
View attachment 2561962
Rushwa nayo ni dhambi na Kwa mujibu wa maandiko inaangamiza Taifa, hivyo maadamu umeona hilo tusaidiane kulihubiri pia. Karibu sanaTanzania mngekuwa mnapigia kelele rushwa kama mlivyoshupalia ushoga tungekuwa mbali sana
Acha uzembe mzinzi mwenzangu. Labda ufe kwa ajali... Ila hivi vifo vingine wajuda tunatumia dakika za mwisho kuomba msamaha kwa Maulana.Kazi kwao wanaojidanganya kuwa wataiona pepo wakati nafsi zao zinawasuta.
Mie nafsi yangu inaniambia kabisa mzabzab wee ni motoni moja kwa moja maana jtendayo ni kinyume na maagizo ya muumba wako.
Mzinifu na shoga daraja lao ni Moja mbele za MUNGU, hukumu atakayohukumiwa mzinifu ndio hivyo hivyo atakayohukumiwa shoga Kwa mujibu wa neno la MUNGUUtakuwa mfuasi wa ushoqer maana ni ajabu Sana kijana wakitanzania na Afrika kutetea ushoga kwa kisingizio Cha zote n dhambi!!.
Ulevi, namaanisha ulevi ni dhambi-Galatia 5:19-21Nani amekwambia kuwa mnywaji wa pombe ni dhambi?
Soma neno la MUNGU narudia soma maandiko matakatifu ujue mema ni yapi na mabaya ni yapi na kwamba dhambi ni dhambi hakuna dhambi mbaya na nzuri. Karibu sanaWewe unaufanya huo ushoga?.
Make wa shetani ni nani vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inapaswa kufanya ngono na mkeo/ mumeo tu tofauti na hilo ni machukizo Kwa MUNGUIkiwa shetani mwenyewe ana mke alafu we uko bize na JUMA SALEH
Dhambi ni dhambi, adhabu ya mzinifu na shoga ni hiyo hiyo, wakati wa Nuhu uovu ulizidi duniani ikiwemo jeuri,zinaa na kutokumuabudu MUNGU ndipo akaleta gharikaZambi hutofautiana,Zambi nyenginezo ni hatari hata kwa afya yako kabsa tena ina athari za mapema mfano pombe ndio Zambi kubwa maana ukinywa ,utazini au kulawiti,kuiba,kunyonga n.k
Ushoga ni dhambi kubwa ambayo ilifanya hata kaimu ya Nuhu kupinduliwa juu chini,haiwezi kufosi maumbile na matumizi.
Hakuna anayesaport dhambi, dhambi ni dhambi tu bila kujali ni dhambi ya aina Gani usifikiri Mungu atakupunguzia mapigo eti kisa hukua shoga ila ni mzinifu mkubwa.Kama ushoga ni sawa na uzinzi wa kawaida wewe unaufanya?. Maana kusapoti kitu usichokifanya no unafiki wa kiwango kikubwa sana.