Makuzamkumbo
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 501
- 522
Bishana Kwa hoja za kimaandiko basi Ili tupate faidaHakuna wewe hawezi kuwa sawa, tunajifanganya, kudhani dhambi zote ni sawa.
Bishana Kwa hoja za kimaandiko basi Ili tupate faidaHakuna wewe hawezi kuwa sawa, tunajifanganya, kudhani dhambi zote ni sawa.
Ok it's fine ni mtazamo wako ila mm nazungumzia maandiko na nimeweka ushahidi 1korintho 6:9-10 labda ninukuu kama ilivyoandikwa WAASHERATI, WAZINZI, WAABUDU SANAMU, WAFIRAJI, WEZI, WAUAJI N.K hawataingia katika ufalme wa MUNGU.Mtoa mada ni Shoga na anatetea mashoga wenzake
Vyema ila mm naongea Kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo ambayo msingi wake ni neno la MUNGUKwenye uafrica bora muuaji kuliko shoga .Africa sio ya kiislamu wala kikristo ni ya kiafrica
Mimi ni mkristo sifanyi ushoga Wala uzinifu maana yote hayo ni uchafu mbele za MUNGU wangubabu vp mbna sikuelewi au na wewe ndo mmoja kati ya wale askari wa tatu wa zanzibar?
Msijifiche kwenye kichaka cha uzinifu,,Mimi ni mkristo sifanyi ushoga Wala uzinifu maana yote hayo ni uchafu mbele za MUNGU wangu
Mimi ni mkristo sifanyi ushoga Wala uzinifu maana yote hayo ni uchafu mbele za MUNGU wangu, nimeoa Nina ndoa na familia. Kwa mujibu wa Imani yangu napaswa kuhubiri na kufundisha yalivyo matakwa ya MUNGU ambayo ni watu wa namna zote (wakiwemo wazinifu na hata hao mashoga) waachwe njia zao mbaya na waishi kulingana na mapenzi ya MUNGUWewe kama ni Muumini mkristo ama Muislamu, utakubaliana nami, hakuna maandiko yanayo kubaliana na ndoa ya jinsia moja.
Ila Mwamme na Mwanamke Mungu amekuonyesha amezuia njia hii, kulifikia tendo ila amekufungulia njia nyingine, yaani sawa mtu anaepita pasipo mlango, wakati mlango anauona.
Hivyo ukizani uzinzi na ushoga ni kitu kimoja pole sana.
Huzuiwi kupiga vita ushoga, njia nzuri ni kuwahubiria na kuwasaidia waachwe njia zao mbaya na wapatanishe maisha yao na maamrisho ya MUNGU, na hii sio Kwa hao tu Bali hata Kwa watenda dhambi wengine. tujifunze neno la MUNGU jamaniTatizo mnataka tusipige vita, ushoga, eti kwa sababu tu kunachangamoto zingine.
Baadhi ya Nchi za afrika, zina adhabu ya kunyongwa hadi kufa, ukipatikana na kosa la kuua kwa kukusudia, nitajie makosa mengine mtu akipatikana na kosa hunyongwa.
Hukumu yao ni Moja mbele za MUNGU, dhambi ni dhambianayeua watu kwa makusudi kwa kuchinja vichwa vyao kila siku ni sawa na yule anayetukanatukana hovyo, au ni sawa na muongo tu..
Weka ushahidi wa kimaandikodhambi haziwezi kuwa sawa, zipo zambi ambazo kwenye vitabu ziko highlighted kabisa..
Shoga akihubiriwa akakubali na akaacha njia zake mbaya MUNGU anamsamehe kabisa hakuna dhambi isiyosameheka mbele za MUNGUWazinzi wakiona, jina wazinzi lina koma, ila mashoga hawana mbadala.
Ushoga ni chukizo mbele za MUNGU kinachotakiwa ni mtu wa namna hiyo ahubiriwe apache njia zake mbaya kabla hajakutana na hukumu ya MUNGU.Mzinzi akioa na kuendelea kutumia njia ile ile aliyoitumia alipozini hana dhambi.
Shoga na Basha wake wakiona na kuendelea kutumia njia ile ile yakulana tako vipi inakubalika nayo kwenye dini?
Kipi hicho mbona Niko specific sanaKuna kitu kimejificha kwa mleta uzi
Ila unazini? Kama ni hivyo wote ni watenda dhambiYaaani mm hata niksikia hzi habari natetemeka., yaaaaani najiuliza how COMES mtu anakubali kuingiliwa na mwanaume mwenzie...
inaogopesha sana...
SwadaktaUshoga haukutwajwa kwa sababu Mungu, hakumuumba mwanamme kuwa shoga, ispokua tendo ni kwa mwanamme na Mwanamke. kwa masharti mpaka waoane
Ila kwenye maandiko ushoga na uzinifu upo kundi Moja 1Wakorintho 6:9,10Ushoga haukutwajwa kwa sababu Mungu, hakumuumba mwanamme kuwa shoga, ispokua tendo ni kwa mwanamme na Mwanamke. kwa masharti mpaka waoane
Mzinifu motoni, shoga motoni Basha zao nao motoni.... Hiyo ndiyo hukumu yao mbele za MUNGUDhambi zote ni chukizo kwa Mwenyezi hilo halipingiki, Lakini swala la mapenzi jinsia moja kwa kweli kwa upande wangu linanihuzunisha sana.
Asiye na dhambi awe wa kwanza kuwaua[emoji23][emoji23][emoji23] kinachotakiwa ni kuwahubiria waache uovu wao ukimuua hujamsaidia chochote na pia kumbuka kuua ni dhambi ( kama wewe ni mkristo lakini)Kaka mm mbona niko upande wako soma tena comment yangu.mashoga wauwawe