Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hii dhana ya kusema mabaunsa wengi ni mashoga ni uongo
Tena huu uongo unachochewa na mashoga sijui agenda ya ni gani
Usishangae baadae tukaambiwa hata viongozi wa dini na wanasiasa mashuhuri.
Ogopa sana mitandao ya kijamii, ina nyenzo za kupindua nchi!!!
 
Kwamba vile vidonge wanavyomeza ili wawe mbavu mwisho vinawegeuza mapunga?

Amma,hii mpya hii kuna jamaa zamani nikifanya nae mazoezi maeneo ya Magomeni Makuti alipenda sana haya mavidonge.
Nijuze habari zake za siku hizo na za siku hizi kwa kifupi .
 
kwa maana hiyo tulishapigwa KO kabla ya pambano sio?
Lakini vipi kuhusu madhara yake kwa ujumla??
Uchawi halisi na wenye nguvu ulikuwa zamani siku hizi yamebaki mazingaombwe janja janja na utapeli
 
Siku Moja nipo keko natembea mtaani hapa na pale kuna jamaa akawa anakuja mbele yangu,tulipokua tunapishana akajigongesha begani kwangu,ile nageuka nasikia "Jamani Wee kaka" nikaona nisepe faster
 
Haya tukomee hapo.
Mi nabaki na langu, uchawi/ushirikina una madhara makubwa sana kwa taifa letu.
Sawa lakini niamini mimi, hayo madhara kwa sasa ni ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia. Mimi ni mdau mkubwa sana wa hii kaliba najua ninachokiongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…