The email
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 678
- 1,311
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji91]Ni kampeni itakayofeli vibaya mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji91]Ni kampeni itakayofeli vibaya mno
Halafu wewe si ulipigwa ban?🤔Watu weuweeeeeeee!!!
Ripoti ya Mwakyembe sio mimi1)Jamesdelicious
2)Aggy pitahuku
3)Kaoge (alihojiwa na zamaradi)
4)Noel (designer wa Mond)
5)Juma Lokole
6)Kisura wa mbea
7)Afande wa Zanzibar
8)Moyo mashine (aliyekufa)
9)Michael Scolfid (wa prison break)
10)Yule mtangazaji wa Mawingu
Hawa wote hakuna Baunsa hata mmoja, Naomba unitajie list ya baunsa 10 Kama nilivyotaja
Tusioende kuchafua Wana mazoezi jamani
Au fanya ku-google neno gays tu then angalie kwenye photo ukamilishe reserch Kama ujaona 100% ni normal guys
Hata haya mamiziki na matamasha yao,taasisi zao zimejaaa ushogaHakuna niliposema hivyo tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh.Halafu wewe si ulipigwa ban?[emoji848]
Hata haya mamiziki na matamasha yao,taasisi zao zimejaaa ushoga
Ova
Ushoga hauzuiliki tena kujadiliwa. Ni jambo geni bovu na baya kabisa kwenye jamii za kiafrika. Ni utamaduni Uliojaa kinyaa
Uliojaa fedheha
Uliojaa aibu
Uliojaa dhihaka
Uliojaa kila aina ya upuuzi
Mijadala ni mingi mitandaoni ya kupinga na ya kukubaliana na huu ushenzi
Huwezi kuelewa fadhaa, athari na maumivu ya ushoga kama huna mtoto wa kiume ama huna ndugu aliyeangukia huko. Hakuna namna unaweza kulitetea hili na kusema ni kizalia, wala kusema ni tatizo la maumbile.. Ushoga ni tatizo la kutengezwa na halipaswi kupewa nafasi ndani ya jamii iliyostaarabika.
Watengeneza hili tatizo wana mipango kabambe kweli
Walilingiza kwa watu maarufu
Wakaliingiza kwa vijana
Wakaliingiza kwa wanamichezo
Wakaliingiza kwa wasanii
Wakaliingiza kwa watu wenye ushawishi kwenye jamii
Wanachuo vyuoni, wanafunzi shuleni, wafanyakazi makazini, vijiweni na hata bodaboda wote hawa hawajaachwa kwenye hili jambo baya kabisa
Kuna hili kundi lingine pendwa kwenye jamii. Wanaume wenye mazoezi ya mwili waliojazia maarufu kama mabaunsa. Vijana usiku na mchana wako kwenye vyumba vya mazoezi maarufu kama Gyms wakitengeneza miili ili wapendeze na kuvutia. Mambo ya six packs. Jamii iliyokuwa ikiwaamini sana kama wanaume ngangari kumbe sasa ni ngangaripoa! More men down!
Sasa hivi kuwa na mwili wa mazoezi uliojazia vizuri sio sifa tena bali ni kashfa. Kwa ripoti ile ya Mwakyembe na mwandishi wake wa habari za uchunguzi.. Vijana wafanya mazoezi ya mwili wamesagiwa kunguni pakubwa sana! Je, tuhuma zile ni za kweli? Je, ni nani kati yao anaweza kujitokeza hadharani na kupinga?
Chizi kweli wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh.
Akati mie ni mwanachama bora wa JF 2022, Tuzo kuchukua mwisho kesho.
No9 anatumika tyuuh kuwahadaa watu, sio Gay, wazungu wana njia nyingi za kueneza kitu.1)Jamesdelicious
2)Aggy pitahuku
3)Kaoge (alihojiwa na zamaradi)
4)Noel (designer wa Mond)
5)Juma Lokole
6)Kisura wa mbea
7)Afande wa Zanzibar
8)Moyo mashine (aliyekufa)
9)Michael Scolfid (wa prison break)
10)Yule mtangazaji wa Mawingu
Hawa wote hakuna Baunsa hata mmoja, Naomba unitajie list ya baunsa 10 Kama nilivyotaja
Tusioende kuchafua Wana mazoezi jamani
Au fanya ku-google neno gays tu then angalie kwenye photo ukamilishe reserch Kama ujaona 100% ni normal guys
We na mashetani wenzio msioogopa mungu mmechachamaa kuusifia ushetani wenu na tuzo mnapeana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh.
Akati mie ni mwanachama bora wa JF 2022, Tuzo kuchukua mwisho kesho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu mpelekee avocafo street, akashangae shangae.Chizi kweli wewe [emoji23]
Kukutaaa ndo utoe povu lote hili?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie sikutakiiii bhanaaaa. UwiiiiihWe na mashetani wenzio msioogopa mungu mmechachamaa kuusifia ushetani wenu na tuzo mnapeana.
Kuna siku utajua hujui [emoji4]
Ume mind ?Daily unaongelea ushoga tu bro?
Ripoti ya Mwakyembe sio mimi
Spika yako ina faida kubwa sana kwa Taifa letu TZ la leo na kesho.Kwani spika ya mtu mwingine wee inakuhusu nn??
DuhKukutaaa ndo utoe povu lote hili?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie sikutakiiii bhanaaaa. Uwiiiiih
Dida kuna kipub kafungua kino[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu mpelekee avocafo street, akashangae shangae.