Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

1)Jamesdelicious
2)Aggy pitahuku
3)Kaoge (alihojiwa na zamaradi)
4)Noel (designer wa Mond)
5)Juma Lokole
6)Kisura wa mbea
7)Afande wa Zanzibar
8)Moyo mashine (aliyekufa)
9)Michael Scolfid (wa prison break)
10)Yule mtangazaji wa Mawingu

Hawa wote hakuna Baunsa hata mmoja, Naomba unitajie list ya baunsa 10 Kama nilivyotaja

Tusioende kuchafua Wana mazoezi jamani

Au fanya ku-google neno gays tu then angalie kwenye photo ukamilishe reserch Kama ujaona 100% ni normal guys
 
1)Jamesdelicious
2)Aggy pitahuku
3)Kaoge (alihojiwa na zamaradi)
4)Noel (designer wa Mond)
5)Juma Lokole
6)Kisura wa mbea
7)Afande wa Zanzibar
8)Moyo mashine (aliyekufa)
9)Michael Scolfid (wa prison break)
10)Yule mtangazaji wa Mawingu

Hawa wote hakuna Baunsa hata mmoja, Naomba unitajie list ya baunsa 10 Kama nilivyotaja

Tusioende kuchafua Wana mazoezi jamani

Au fanya ku-google neno gays tu then angalie kwenye photo ukamilishe reserch Kama ujaona 100% ni normal guys
Ripoti ya Mwakyembe sio mimi
 
Faza kakaza kinoma noma mwanaume unapinduliwa, mwanaume unachanwaaa dah siyo kinyonge. Haina kutia huruma ***** [emoji2][emoji2][emoji23]
 
Ushoga hauzuiliki tena kujadiliwa. Ni jambo geni bovu na baya kabisa kwenye jamii za kiafrika. Ni utamaduni Uliojaa kinyaa
Uliojaa fedheha
Uliojaa aibu
Uliojaa dhihaka
Uliojaa kila aina ya upuuzi
Mijadala ni mingi mitandaoni ya kupinga na ya kukubaliana na huu ushenzi

Huwezi kuelewa fadhaa, athari na maumivu ya ushoga kama huna mtoto wa kiume ama huna ndugu aliyeangukia huko. Hakuna namna unaweza kulitetea hili na kusema ni kizalia, wala kusema ni tatizo la maumbile.. Ushoga ni tatizo la kutengezwa na halipaswi kupewa nafasi ndani ya jamii iliyostaarabika.

Watengeneza hili tatizo wana mipango kabambe kweli
Walilingiza kwa watu maarufu
Wakaliingiza kwa vijana
Wakaliingiza kwa wanamichezo
Wakaliingiza kwa wasanii
Wakaliingiza kwa watu wenye ushawishi kwenye jamii
Wanachuo vyuoni, wanafunzi shuleni, wafanyakazi makazini, vijiweni na hata bodaboda wote hawa hawajaachwa kwenye hili jambo baya kabisa

Kuna hili kundi lingine pendwa kwenye jamii. Wanaume wenye mazoezi ya mwili waliojazia maarufu kama mabaunsa. Vijana usiku na mchana wako kwenye vyumba vya mazoezi maarufu kama Gyms wakitengeneza miili ili wapendeze na kuvutia. Mambo ya six packs. Jamii iliyokuwa ikiwaamini sana kama wanaume ngangari kumbe sasa ni ngangaripoa! More men down!

Sasa hivi kuwa na mwili wa mazoezi uliojazia vizuri sio sifa tena bali ni kashfa. Kwa ripoti ile ya Mwakyembe na mwandishi wake wa habari za uchunguzi.. Vijana wafanya mazoezi ya mwili wamesagiwa kunguni pakubwa sana! Je, tuhuma zile ni za kweli? Je, ni nani kati yao anaweza kujitokeza hadharani na kupinga?


Wanaume tunatakiwa kuwa na Confidence hii! 👍🏾👊🏾💪🏾
 
1)Jamesdelicious
2)Aggy pitahuku
3)Kaoge (alihojiwa na zamaradi)
4)Noel (designer wa Mond)
5)Juma Lokole
6)Kisura wa mbea
7)Afande wa Zanzibar
8)Moyo mashine (aliyekufa)
9)Michael Scolfid (wa prison break)
10)Yule mtangazaji wa Mawingu

Hawa wote hakuna Baunsa hata mmoja, Naomba unitajie list ya baunsa 10 Kama nilivyotaja

Tusioende kuchafua Wana mazoezi jamani

Au fanya ku-google neno gays tu then angalie kwenye photo ukamilishe reserch Kama ujaona 100% ni normal guys
No9 anatumika tyuuh kuwahadaa watu, sio Gay, wazungu wana njia nyingi za kueneza kitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh.
Akati mie ni mwanachama bora wa JF 2022, Tuzo kuchukua mwisho kesho.
We na mashetani wenzio msioogopa mungu mmechachamaa kuusifia ushetani wenu na tuzo mnapeana.

Kuna siku utajua hujui 😊
 
Kwani spika ya mtu mwingine wee inakuhusu nn??
Spika yako ina faida kubwa sana kwa Taifa letu TZ la leo na kesho.

Nakuombea kwa Mungu akuokoe na hilo pepo ili;

Uwe huru kufikiri zaidi kesho kimikakati kwa ajili ya nchi yako.

Uwe nguvu kazi bora ya Taifa maana spika ikishapasuliwa huwezi kuwa mkakamavu kiuanaume.

Upate akili ya kiuongozi kutawala Mke na Watoto wako (Uanaume/Urijali) si kutawaliwa na Me mwenzio.
 
Back
Top Bottom