Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mshana jr ,,,Nimetafakari kujazia mwili na six packs vipi ujaziaji mwili na kufuga ndevu ndefu ndefu na nyingi mashavuni mahusiano yapo vipi
 
Hizi ndo hoja za kupinga ushogaa? Acheni muishie kukopaa kila siku, na masharti spika ipitiwe na bisi bisi ya nyamaaa.

Mtajua hamjui, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku Moja nipo keko natembea mtaani hapa na pale kuna jamaa akawa anakuja mbele yangu,tulipokua tunapishana akajigongesha begani kwangu,ile nageuka nasikia "Jamani Wee kaka" nikaona nisepe faster
Alikuwa baunsa au wakawaida??
 
cocastic Hivi unadhani unaweza kunizuia niache movement zangu za kuchukia na kupiga vita hii kitu kwa kunichafua kwa style hiyo?! 😡😡😡😡😡😡🤬🤬🤬🤬🤬🤬

Leo umeingia 18 zangu mwanaizaya wewe
 
AISEE! NIMEKASIRIKA MPAKA NATETEMEKA... KWELI MASHOGA HAYANAGA AKILI [emoji35][emoji35][emoji35][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Akili zitoke wapi nakati tayari yana connection na majini mahaba yanayowaratibu akili kuutangaza ushetani?

Pole Mzee Baba, naamini Moderators watakufikiria kabla ya kukupiga ban, japo nao wanazingua sana kufuta futa madini yetu.
 
Hizi ndo hoja za kupinga ushogaa? Acheni muishie kukopaa kila siku, na masharti spika ipitiwe na bisi bisi ya nyamaaa.

Mtajua hamjui, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pthuuu...[emoji2961][emoji1784][emoji35]
 
Yaan wewe mjaa laana unataka kuharibu reputation yangu kwa kusingizia mimi nimekutaka wewe... Leo napigwa ban mwanaizaya wewe!

AHH! KUMALAMAMAKO! KILA UKIPUMUA[emoji35][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwacheee ntakuumbuaa bureeee, na ile Dp yako ya telegram kwan mfupi, upo mbele ya galss, umeweka begi mgongoni, sio wee??

Mxxxieeeeew. Sitaki Ban now niwacheeeee
 
...na hili nalo mkaliangalie (in mama's voice)
 
Mbona hapa kati tumekuwa na mada nyingi sana kuhusu ushoga? Isijekuwa tunaueneza kwa njia ya kuupinga! Jambo la aibu kama hilo kuongelewa sana, inanishangaza!
 
Boss una reserch kuwa protein inamfanya mtu kiwa shoga
 
Njoo na matusi mapyaaaa wee mzee, haya nshazoeaaa. Poleeeeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…