Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Boss una reserch kuwa protein inamfanya mtu kiwa shoga
Hujaelewa nilichoandika, soma tena.

Hizo dawa zina aina mbali mbali. Baadhi zinakua ni mixture ya protein na testosterone (homon za kiume) sasa hizo ukiongeza hormon inasababisha hormonal imbalance kupelekea mwili kutengezeza homoni kinzani za kike na ndo shida inaanzia hapo.

Thats simple science chief
 
Kwa hakika si wote ni kweli kabisa na hilo liko wazi lakini ndio hivyo tayari wameshatajwa hivyo wanapaswa kujitokeza hadharani na kusema neno
Mshana jr mimi ni mfanya mazoezi tena ya muda mrefu sababu za kiafya na kikazi ,kuna tofauti ya mazoezi ya hawa wanaojipiga masindano ya kuwa mabonge na sisi kina fulani wa kukimbia tu viwanja na push up za hapa na pale

Watalaamu wanasema yale ma protini ndio tatizo

USSR
 
Mbona hapa kati tumekuwa na mada nyingi sana kuhusu ushoga? Isijekuwa tunaueneza kwa njia ya kuupinga! Jambo la aibu kama hilo kuongelewa sana, inanishangaza!
Inshu za kudai uhuru enzi za Mwamba Hayati Dr JPM mlisemaga kuwa kelele za media zina positive impacts kutokomeza udikteta wake ambapo kiuhalisia mimi sikuuona hata huo udikteta wa Shujaa wa Afrika, leo hii inakuwaje hizi hizi media zisiwe na faida kuupiga vita ushoga na kuutokomeza kabisa?

Si double standards hizi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh.
Akati mie ni mwanachama bora wa JF 2022, Tuzo kuchukua mwisho kesho.

Binamu wewe tuzo ulichukua siku ile mmeitwa maana nasikia saa kumi na moja ulikua makao makuu ya jf , na hadi usafi ulisaidiasaidia
 
Alikuwa baunsa au normal guy
 
Kaka kuweni makini; kuna vyakula vingi sasa hivi vimeingia Tanzania .. vyakula hivyo zinavuruga hormonies za kiume, moja ya dalili kuwa tayari hormonies zako zimevurugwa ni kukosa hamu na tendo la ngono, tendo la ndoa pili unaanza kujitenga na jinsia ya kiume.. baada ya hapo unajua kinachofuatia...
 
Mshana huyo dada anayeongea hapo na mlinzi aliyemkuta ni watu Kama waaikuzote wanaosambaza huu ujinga wa kuingiza mabainsa na ushoga mimi Naomba nitajiwe baunsa 10 tu mashoga ambao maarufu Kama nilivyotaja mimi
Sina takwimu asante
 
Ulitaka uonje tunu ya taifa na kimataifa
Hufai makanisani, hufai misikitini, hufai mitaani na hata mbinguni.

Unaanzaje kuhukumu kesi kwa kusikiliza upande mmoja tu?

Ninyi ndiyo wasomi wetu wa TZ tunaowategemea mtupeleke kwenye nchi ya asali na maziwa, kweli tutafika?
 

Ndio utaje sasa maana vijana wanafakamia kila kitu mwisho wanagawa tunu zao za taifa
 
Hata vidonge vya uzazi wa mpango navyo halikadhalika, tena hii niliijua tangu 2012 nikiwa Chuo kikuu na inapoteza ashki kwa Me na Ke ndiyomaana unawezakuta Wanandoa wanakaa zaidi ya mwezi mmoja, miwili bila hata ya kutamaniana kwa kupeana raha kamili ya tendo la ndoa.
 
Sahihi kabisa wewe si mmojawao na tumeshalijadili hili na kali linux [emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…