BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
DaZuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mashoga wana familia, asikudanganye mtu akakana hajihusishi na ushoga sababu ana mke na watoto.Acha kuchafua watu na story zako za kijinga. Steve Jobs hakuwahi kuwa shoga na alikuwa na mke na watoto watatu, wa kiume akiitwa Reeds. Hebu leta uthibitisho hapa wa andiko alilojitangaza yeye Ni shoga..
Wamuulize afande rama, tena ana wake wawili.Mkuu mashoga wana familia, asikudanganye mtu akakana hajihusishi na ushoga sababu ana mke na watoto.
Kuna wanaume wana wake ila ni wake za watu pia.
Nshatuma mtu na zawadi nshaipokea.Coca au unaogopa ukienda watakugundua nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Siri yetuCoca hizi tuzo ni hela au?![emoji28]
Ndyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfupi?[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Joti inamhusu hiiHivi ni kweli hakuna mwanamke anaweza kucheza kwenye nafasi zao?
Hii kwa namna moja inachangia kuweka hii ishu kama ni ya kawaida kabisa.
Hizo mamlaka za sanaa na wizara husika walitazame hili.
Sijui kuhusu uekewa wako, lakini naonekana ulianza kumpinga Mshana Jr tangu ulipoanza kusoma mstari wa kwanza wa bandiko lake.Mshana huwa nakuheshimu sana ila leo umeingia chaka na umeandika makala inayopotosha jamii.
Kuhusisha mazoezi ya mwili na ushoga unakosea sana.
Hawa vijana wenye miili ilioumuka kwanza hata hawashindi qym kama unavyodhani. Nitakutoa tongotongo kuhusu hilo sababu mimi ni trainer wa haya mazoezi pamoja na yoga.
Kuna vitu kama dawa hv au poda ambazo huwa na mchanganyiko wa protein na homoni za kiume hawa vijana wanakunywa ili kukuza misuli, wakinywa hapo yeye atanyanyua chuma kdg tu ila mwili wake unajibu fasta na kuumuka wanavyotaka. Hawa wengi hawana nguvu na persistence kama mtu anavyoweza kudhan. Kwa mfani wengi utakuta wanalinda bars usiku na hawawezi chukua malindo nje ya bar au kumbi za starehe sababu wanajua uwezo wao ni mdg sana.
Lkn mwili wa binadam una balance mambo, kila binadamu ana kiasi fln cha homoni za kiume na za kike aidha awe mwanaume au mwanamke. Sasa hawa vijana wakijiongezea homon za kiume mwili unabalance mambo kwa kugenerate homoni za kike na hapo ndipo tatizo linapoanzia. Siku akishikwa tako tu atasisimuka na baadae maafa zaidi yanaweza kutokea.
Nitafungua uzi siku moja kuongelea hili swala in deep, lkn naomba uache kupotosha jamii, ni bora useme mabaunsa wanaitumia dawa ndio wana hatari ya kufikwa na ushoga kuliko kusema mazoezi ndo yatamfanya mtu kuwa hivyo
📱📱📱📱®️®️®️😡😡😡😡😡™️™️™️Ushoga..
Kuvunjika kwa Ndoa..
Talaka..This was written in 1989 View attachment 2570967
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mbona sa tuimeisha, hiyo list means mabishoo wote ni upindeMNIUEE TU, NGOJENI NIWAPE ISHARA ZAO MASHOGA ZA KUJITAMBULISHA:-
Sikuhiz ukiona baunsa kaa makini wengi ni mshoga... Ukiona wanaume wanaopenda kufuga ndevu nyingi wanapaka hadi mafuta kaa makini wengi ni mashoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa vikaptula ujue wengi ni mshoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa visuruali vinabana vifupi ujue wengi wao mashoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa nguo t-shirt au shati za kumeremeta ujue ni mashoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa visendoz na soksi za rangi rangi ujue mashoga... Ukiona mwanaume anaambatana sana na wanawake uje ni shoga... MWISHO SI KWA UMUHIM UKIONA MWANAUME ANASEMA USHOGA UNAKUZWA TU UJUE NI SHOGA HILO...
Yeye na wenzie kama yeye.Huyu sio comedian, yupo kimkakati
Na wengi wao hawana wanaume ni masingle mother ndo wanaaribu watoto wao wa kiume maana hawana role model wa kiume kwenye familiaWanaume hatuwezi kuisha mkuu hizo mambo zilikuepo enzi na enzi.
Sema tu sasa hivi ni kama watu hawaogopi kuyafanya hadharani na hata wakigundulika hawaoni jau kwasababu wengi wanajua hayo mambo yapo. Mfano ni huyu kiumbe wa jf, anaefata watu PM.
Usiogope kuzaa mtoto wa kiume mkuu, kitu wanachokosea kinamama wengi ni ile ana mtoto wa kiume maybe wa miaka 8 au 9 na anamchukua kwenda kupiga umbea na mashoga zake.
Mtoto wa kiume kushinda na wanawake mda mrefu hua inawaathiri sana, mwache akacheze na wakiume wanzie aige tabia za kiume na sio zako wewe mama yake. Na kikubwa zaidi tumuombe Mungu.
Nilishauri Moderator wafungie wote wanaounga ushoga. Mashoga wakatamba mpaka uzi ukafungwaUzi ushavamiwa. Naionea huruma sana JF kupoteza mvuto. Choko anatamba kila uzi na hakuna cha kumfanya, Hadi inafikia hatua anapewa ushindi na tuzo
Msiba huu