Kwa mtizamo wangu nadhana baada ya Mabaunsa kundi lingine linaotakiwa kuangaliwa kwa jicho la tahadhari ni WANAUME WANAOFANYA SCRAB, YAANI KUTENGENEZWA USO UONEKANE LAINI, UNANG'AA NA KUWAKA. YAANI DUME ZIMA HALITAKI SURA YA KAZI.
Hawa wanafaa kuwekwa kundi moja na Mabaunsa na Watoboa Sikio
Hawa wanafaa kuwekwa kundi moja na Mabaunsa na Watoboa Sikio