Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unayakuza yasiyokuwepoKuna msemo unasema:-
"Never Underestimate the Power of Stupid People in Large Cloud"....
Mtandao wa hawa watu ni mkubwa sana wana nguvu ya hatari sana duniani kote. Nyuma ya hawa watu kuna mataifa makubwa sana yanawapa nguvu na pesa nyingi sana. Pesa chafu!
Mataifa makubwa duniani maarufu kama G7 ndo wafadhiri wa hawa Mashoga na Ushoga!
Vi-nchi vidogo vidogo maskini haviwezi kupanda na hii vita, zaidi tu ya kujiharibia kimataifa. Wanaweza waka-black list misaada na kila kitu..
Sisi kama sisi hatujawa na uwezo wa kusimama na kujitegemea. Hatuna pesa, hatuna nguvu. Tumechoka sana!
Tuwe makini sana.
Alamski.
PawMods mkiona Uzi wowote una neno "shoga" ni kuufunga haraka sana.
Hawa wana kuza jambo lionekane ni kawaida kusikia masikioni mwa watu.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee povu lako hili lote thamani gani unayoooo?? Km hapa JF huna na hutakuwa nayoo,Wewe ibilisi cocastic umeelewa alichokiandika Mshana hapa?Anamaanisha ANAILINDA FAMILIA YAKE/WATOTO wake wasije kuwa kama wewe..Mshana hatak wanawe wawe mashoga ila ukimpa tako lako atakuvuruga kinyesi vizuri tu as long as wanawe anawalinda wewe na tako lako sio shida zake,ni shida zako na wazaz wako.Endelea kujishaua,endelea kubong'olea likes na quotes za kina Mshana ila jua unayofanyiwa wanaweza kuua mtu akiwafanyia watoto wao.
Huna thaman hapa dunia wala mbingun wewe.
PTUUUH
Huyu atakuwa miongoni mwaoKuna msemo unasema:-
"Never Underestimate the Power of Stupid People in Large Cloud"....
Mtandao wa hawa watu ni mkubwa sana wana nguvu ya hatari sana duniani kote. Nyuma ya hawa watu kuna mataifa makubwa sana yanawapa nguvu na pesa nyingi sana. Pesa chafu!
Mataifa makubwa duniani maarufu kama G7 ndo wafadhiri wa hawa Mashoga na Ushoga!
Vi-nchi vidogo vidogo maskini haviwezi kupanda na hii vita, zaidi tu ya kujiharibia kimataifa. Wanaweza waka-black list misaada na kila kitu..
Sisi kama sisi hatujawa na uwezo wa kusimama na kujitegemea. Hatuna pesa, hatuna nguvu. Tumechoka sana!
Tuwe makini sana.
Alamski.
Ana njaa, hajala huyoo.Mkuu Umeongea kwa hasira sanaa
Abeeeeeeh
Crowd or Cloud ? Emu angalia tenaCloud
Apology taken and accepted.Basi kali linux kwa post yako hii naomba nichukue nafasi hii kuomba radhi wale wote wanaokwenda gym kwa nia njema ya kuimarisha afya ya akili na mwili na nitamke wazi kwamba mada yangu kwa hali yoyote ile haiwahusu bali ni wale waliotajwa kwenye ripoti ya Mwakyembrle na wengine wote wenye tabia hizo.. Pokea apology yangu kwa niaba[emoji1545][emoji1752]
Wacha wajipe matumaini na majita wa mbavu watawanyoshea totoz zao.Ayaa wenye vitambi huu ndo mda wa kutamba kwa totozi
Weka hapa hicho kitabuLeo nilipitia group moja la wasap kuna bwana mmoja alipost kitabu kilichoandikwa miaka karibia mia na zaidi iliyopita kuhusiana na namna ya kuikontrol hii dunia.
Kinaitwa new world order. Kwa kifupi tumekwisha.
Mkionaga shoga yuko buzzy na mambo yakee, eti hafurahii maishaaa, ila wakianza kuwachangamkia bado hamtakiiii, sijui hata mnatakajeeee.Eti zaidi ya Freemasons.., wabongo bwana. Unafahamu kitu kinaitwa ILLUMINATI!?,.. halafu hao mashoga mnawapa promo sana, ni mashoga tu kama wanavyoitwa na kote duniani wanatia huruma. Hata ukimkuta shoga US na ni tajiri sana bado ukimwangalia vizuri utaona anatia huruma ni kama alijikuta amekuwa hivyo bila kupenda ndo maana furaha yao ni pale wanapokutana na wenzao tu na mabwana zao au wadada wanaowafagilia basi. Kwenye jamii nyingine wanajishtukia. Hata Kwa wazungu wwnyewe duniani kote hakuna mzazi anayejisifia mwanae kuwa shoga hayupo, sio baba wala mama.
Ushoga Una ufananisha na panya road?? Hauko serious weeKwanini? Mnakataa kujadili USHOGA kwanini?
inawezekana kitu kutokusambaa bila kujadiliwa lazima tulijadili then lisikike ngazi ya taifa then lipangiwe sheria kali kwa atakalojihusisha nalo then tulipunguze kusambaa katika taifa kisha liishe
Sasa kwa population hii ya mashoga mitaani itakuaje? Sasa kama hilo swala halijakemewa- tunalijadili ilimradi taifa lilione kero ili viongozi wakubwa walikemee lisitishwe ikiwezekana liekewe mkazo na lipotee taratibu taratibu kisha liishe- kama nchi za pembeni yetu viongozi wao wanavyolikemea
Mna maanisha nini? Mnaposema lisidiscusiwe- ni lazima wananchi ionekane tumechoshwa nalo ndio ngazi za juu waliwekee mkazo na wao
Baada ya miaka 15 TANZANIA- nyumbii hii shogii hii- kama hatujakemea vitendo vya kishoga
Kipindi cha PANYA ROAD-kila raia alikuwa akianzisha uzi hapa kuhusu panya road kwann? Kwa sababu watu walikuwa hawapendi vitendo hivyo na kweli serikali imeweka mkazo mambo yamepungua ya panya road Kwa nn? Hamtaki ushoga uongelewe ili serikali ije! Juu ushoga uekewe sheria kali au mnaupenda ushoga!
Hayapo au ww ndie huyajui?Mnayakuza mambo ambayo hayana ukubwa huo na mengine hata hayapo