Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ila pale Morogoro shirika la HACOCA linatengeneza mashoga wengi sana kwa mwaka.
 
Kuna msemo unasema:-

"Never Underestimate the Power of Stupid People in Large Cloud"....

Mtandao wa hawa watu ni mkubwa sana wana nguvu ya hatari sana duniani kote. Nyuma ya hawa watu kuna mataifa makubwa sana yanawapa nguvu na pesa nyingi sana. Pesa chafu!

Mataifa makubwa duniani maarufu kama G7 ndo wafadhiri wa hawa Mashoga na Ushoga!

Vi-nchi vidogo vidogo maskini haviwezi kupanda na hii vita, zaidi tu ya kujiharibia kimataifa. Wanaweza waka-black list misaada na kila kitu..

Sisi kama sisi hatujawa na uwezo wa kusimama na kujitegemea. Hatuna pesa, hatuna nguvu. Tumechoka sana!

Tuwe makini sana.

Alamski.
Unayakuza yasiyokuwepo
 
Wewe ibilisi cocastic umeelewa alichokiandika Mshana hapa?Anamaanisha ANAILINDA FAMILIA YAKE/WATOTO wake wasije kuwa kama wewe..Mshana hatak wanawe wawe mashoga ila ukimpa tako lako atakuvuruga kinyesi vizuri tu as long as wanawe anawalinda wewe na tako lako sio shida zake,ni shida zako na wazaz wako.Endelea kujishaua,endelea kubong'olea likes na quotes za kina Mshana ila jua unayofanyiwa wanaweza kuua mtu akiwafanyia watoto wao.

Huna thaman hapa dunia wala mbingun wewe.
PTUUUH
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee povu lako hili lote thamani gani unayoooo?? Km hapa JF huna na hutakuwa nayoo,

Mwenzio nshachukua tuzo na zawadi za JF kwa kuwa mshindiiii, wee jee??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie hata nikiwa naingia mbinguni malaika watasimama na kunishangiliaa, nna nyotaa ya kupendwaaa.
 
Kuna msemo unasema:-

"Never Underestimate the Power of Stupid People in Large Cloud"....

Mtandao wa hawa watu ni mkubwa sana wana nguvu ya hatari sana duniani kote. Nyuma ya hawa watu kuna mataifa makubwa sana yanawapa nguvu na pesa nyingi sana. Pesa chafu!

Mataifa makubwa duniani maarufu kama G7 ndo wafadhiri wa hawa Mashoga na Ushoga!

Vi-nchi vidogo vidogo maskini haviwezi kupanda na hii vita, zaidi tu ya kujiharibia kimataifa. Wanaweza waka-black list misaada na kila kitu..

Sisi kama sisi hatujawa na uwezo wa kusimama na kujitegemea. Hatuna pesa, hatuna nguvu. Tumechoka sana!

Tuwe makini sana.

Alamski.
Huyu atakuwa miongoni mwao
 
Basi kali linux kwa post yako hii naomba nichukue nafasi hii kuomba radhi wale wote wanaokwenda gym kwa nia njema ya kuimarisha afya ya akili na mwili na nitamke wazi kwamba mada yangu kwa hali yoyote ile haiwahusu bali ni wale waliotajwa kwenye ripoti ya Mwakyembrle na wengine wote wenye tabia hizo.. Pokea apology yangu kwa niaba[emoji1545][emoji1752]
Apology taken and accepted.
 
Leo nilipitia group moja la wasap kuna bwana mmoja alipost kitabu kilichoandikwa miaka karibia mia na zaidi iliyopita kuhusiana na namna ya kuikontrol hii dunia.

Kinaitwa new world order. Kwa kifupi tumekwisha.
 
Weka hapa hicho kitabu
 
Kwanini? Mnakataa kujadili USHOGA kwanini?

inawezekana kitu kutokusambaa bila kujadiliwa lazima tulijadili then lisikike ngazi ya taifa then lipangiwe sheria kali kwa atakalojihusisha nalo then tulipunguze kusambaa katika taifa kisha liishe

Sasa kwa population hii ya mashoga mitaani itakuaje? Sasa kama hilo swala halijakemewa- tunalijadili ilimradi taifa lilione kero ili viongozi wakubwa walikemee lisitishwe ikiwezekana liekewe mkazo na lipotee taratibu taratibu kisha liishe- kama nchi za pembeni yetu viongozi wao wanavyolikemea

Mna maanisha nini? Mnaposema lisidiscusiwe- ni lazima wananchi ionekane tumechoshwa nalo ndio ngazi za juu waliwekee mkazo na wao

Baada ya miaka 15 TANZANIA- nyumbii hii shogii hii- kama hatujakemea vitendo vya kishoga

Kipindi cha PANYA ROAD-kila raia alikuwa akianzisha uzi hapa kuhusu panya road kwann? Kwa sababu watu walikuwa hawapendi vitendo hivyo na kweli serikali imeweka mkazo mambo yamepungua ya panya road Kwa nn? Hamtaki ushoga uongelewe ili serikali ije! Juu ushoga uekewe sheria kali au mnaupenda ushoga!
 
Eti zaidi ya Freemasons.., wabongo bwana. Unafahamu kitu kinaitwa ILLUMINATI!?,.. halafu hao mashoga mnawapa promo sana, ni mashoga tu kama wanavyoitwa na kote duniani wanatia huruma. Hata ukimkuta shoga US na ni tajiri sana bado ukimwangalia vizuri utaona anatia huruma ni kama alijikuta amekuwa hivyo bila kupenda ndo maana furaha yao ni pale wanapokutana na wenzao tu na mabwana zao au wadada wanaowafagilia basi. Kwenye jamii nyingine wanajishtukia. Hata Kwa wazungu wwnyewe duniani kote hakuna mzazi anayejisifia mwanae kuwa shoga hayupo, sio baba wala mama.
Mkionaga shoga yuko buzzy na mambo yakee, eti hafurahii maishaaa, ila wakianza kuwachangamkia bado hamtakiiii, sijui hata mnatakajeeee.

Haya straight wenyewe mbna wengi hoe hae tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini? Mnakataa kujadili USHOGA kwanini?

inawezekana kitu kutokusambaa bila kujadiliwa lazima tulijadili then lisikike ngazi ya taifa then lipangiwe sheria kali kwa atakalojihusisha nalo then tulipunguze kusambaa katika taifa kisha liishe

Sasa kwa population hii ya mashoga mitaani itakuaje? Sasa kama hilo swala halijakemewa- tunalijadili ilimradi taifa lilione kero ili viongozi wakubwa walikemee lisitishwe ikiwezekana liekewe mkazo na lipotee taratibu taratibu kisha liishe- kama nchi za pembeni yetu viongozi wao wanavyolikemea

Mna maanisha nini? Mnaposema lisidiscusiwe- ni lazima wananchi ionekane tumechoshwa nalo ndio ngazi za juu waliwekee mkazo na wao

Baada ya miaka 15 TANZANIA- nyumbii hii shogii hii- kama hatujakemea vitendo vya kishoga

Kipindi cha PANYA ROAD-kila raia alikuwa akianzisha uzi hapa kuhusu panya road kwann? Kwa sababu watu walikuwa hawapendi vitendo hivyo na kweli serikali imeweka mkazo mambo yamepungua ya panya road Kwa nn? Hamtaki ushoga uongelewe ili serikali ije! Juu ushoga uekewe sheria kali au mnaupenda ushoga!
Ushoga Una ufananisha na panya road?? Hauko serious wee
 
Mnayakuza mambo ambayo hayana ukubwa huo na mengine hata hayapo
Hayapo au ww ndie huyajui?

Mtu umezungukwa na waswahil wenzako kutwa nzima na stori zenu za uswahili, media unazozitegemea nazo zinakupa habari zilizochujwa, sasa mambo magumu utayajulia wapi wew mswahili?
 
Back
Top Bottom