Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Jamaa mweupe sana harafu anajikuta anajua
 
Hatutaki hii mada viongozi tanzania wajanja sana wakitaka kuiba wanaanzisha mada kupitia majeshi yao ya mtandao,kushtuka tushapigwa kwenye ndege na trc
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasira zote hizi vipiii??? Hebu njoo na gazeti jinginee, hili nishazoeaaaaaa.

Sijawahi na sitawahi kugombea bwana na mtu, samahani kidampaaa km umeporwa bwana na maresh pambana nae huko hukooooo.

Poleeeeeeeeeeh., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante kwa pole baba.

Hivi ulisema una nyota ya kupendwa JF?Hongera baba etu mwenye nyotraaaaaa(😁😁) ya kupendrwaaaaa🤣🤣🤣 JF na mwenye nyotraaaaa ya kuwaliza wazazi wako wanaojutraaaaaaaaa Kudhaaaa kidoume chenye nyotraaaa ya menndreee mchezea maviliciousssssss🤣😘
 
Kwa wale waliosoma shule za bweni watakuwa walikutana na upumbavu wa kuwekewa mafuta ya taa kwenye chakula. Tetesi ni kuwa mafuta yale yalikuwa yanapunguza Libido(Nyege) kwa wanaume. Sasa jambo lile haliwezi sababisha watu kuwa mashoga? Maana linaathiri homoni za kiume.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3578]
 
1. Sijaona anaekataa ushoga Kwa dhati. Wengi hupinga wakiona kadamnasi Ila sirini wanafanya yao. Eg. Media houses maarufu, na celebrities ushuzi Wana viashiria hivyo na wanatukuzwa.

2. Ndio maana mashoga wanaongezekana na huwaoni wakiongozana na wenza wao hadharani (Mambo yote hufanyika kizani, Kwa Siri kubwa)

3. Kama tunamaanisha, tuanze Sasa (2023)

NB: Kuteleza si kuanguka, tulikosea, turekebishe.
 
Serikali za USA ndio kinara wa kutetea ushoga je inafaidika na nini?

Nasema serikali kwasababu mashoga kwa asilimia kubwa hawakubaliki hata huko marekani
Wanaishi kwa kujificha ficha na kujitenga ni waoga sana kuchangamana na ndio maana wana sehemu zao maalumu kama club na vitu vingine

Huko marekani mashoga wamekuwa wakishambuliwa kwa kuchomwa visu,kupigwa risasi,kudhalilishwa nk

Ikumbukwe miaka 1980 kurudi nyuma serkali za magharibi zilikuwa hazitambui kabisa kitu kinaitwa mashoga sijui haki zao

Sasa huwa najiuliza bwana mkubwa anafaidika vipi hadi kuwatetea hawa mashoga?

Kama kupunguza population mbona wamefanikiwa sana kupitia HIV?

Hawa watu wanataka dunia watu waishe?
 
Serikali ya Marekan=RC =Mpinga Kristo !!


Ndio maana Ma Rais kama JFK, Donald Trump, kutoboa kwao kulikua Kwa mbinde sana !!.


Hamna Cha ziada !!. Japo mtanibishia .
 
Sio Marekani tu, sehemu nyingi za Ulaya habari za mashogo sio issue kabisa. Wanajiachia kabisa na mpaka kuna mwezi wa kusherehekea hao watu.

Alafu maisha yako safi tu, sijui labda kuna kitu sisi hatukijui 😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…