Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Gays gan wa kibongo walipewa kazi huko UN? hizi story za vijiweni peaneni vizuriii khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shut up wewe hujui kitu,kama nimeandika hapa unadhani sijui nilichoandika?
 
sitaki kupanga kazi ya MUNGU ila hii dunia ingeanza mwanzo tena...

DUME LINAKOJOA ETI NAE ANAKOJOLEWA alafu anajifanya bonge la SELA....

Dunia iende zake tu....

Nikifa sjui watoto wangu itakuwaje? 😥😥😥 inanikata sana hii inshu ya USHOGA.
 
duh aisee
 
Issue hizi ni kupanda tu gar ya umaarufu kupitia ushoga.... Huyu dada ana raha sana kakomaa na mazuzu na bila scientific evidences anakuja kuconclude hapa na watu wanampa promo... ushoga mimi naamini sio kiivyo upo ila tunaupromote tu... tunaacha major issues za society
 
Kupambana na adui sharti ujue ana nguvu gani? Unataka ku deal nae kimya kimya, je akifa halafu waliomtuma wakataka kuwawajibisha wauji hamuoni kuwa mtaleta tafrani kubwa ya kidiplomasia? Kama hao walijitoa muhanga kujilipua waendelee kuwataja wahusika kuliko kutoa ripoti inayoning'inia hewani. Hao watu maarufu na taasisi watajwe hadharani jamii iwafahamu na ichukue hatua kujitenga na shughuli zao. Sasa mpaka mnasema wapo wasanii, wanadini na wengine wengi ni bora ijulikane wazi kuliko kuendelea kushiriki kwenye shughuli zilizo nyuma ya ushetani
 
Shetani amesogea karibu zaidi.
 
Wengine tupo karibu na wasanii na wanadini maarufu, sasa kama ripoti inawataja ni miongoni mwa vinara wa ushoga na hatujatajiwa majina na taasisi zao kinagaubaga itabidi tujiongeze kujua ni kina nani hao hasa ili tuanze kuchukua hatua za kujitenga na kazi zao. Ingekuwa enzi za magu sasa hivi ingekuwa patashika na taharuki kwa jamii kuhamaki kusikia majina hayo. Kwa sababu za kiusalama huenda majina hayo yasitajwe, tuchakate wenyewe kuwabaini washenzi hao
 
Hivi huwa mnajisikiaje kuwaza na kujadili kuhusu mikundu ya wanaume wenzenu? Inahitaji imagination ya hali ya juu kuwaza mambo haya unless mnaangaliaga sana pono zao.

Serikali imetumia mbinu hii kujivua lawama kwa kutaja maadui wa kufikirika imewaacha wananchi mpambane na hali zenu. Propaganda at it's finest!
 
Utamaduni gani huo wa Mwafrika unazungumzia? Tulieni mletewe vilainishi kuliko mnavyochubuana Kwa sasa
 
Kwa namna flani mtizamo wako uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…