Nani Kati yenu anamjua shoga yeyote personally achana na hawa wa mitandaoni na maarufu? Probably hakuna. Mnaangalia na ishu non-existent wakati Kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili. Miafrika inawaza ngono tu.
Kwanza ijulikane estrogen (female hormone) hata wanaume wanazo naturally and vyakula vya Kila siku vina ongeza estrogen kwa wanaume na bado wengi tu sio mashoga. Haiwezekani a one time dosage tena ya toothpaste na perfume imfanye mtu awe shoga. Haiwezekani. Halafu wewe mwanaume na ndevu zako unakubali zawadi ya perfume na toothpaste kweli? It will take a truckload of it kumgeuza mtu awe shoga.
Hivi mizungu iwafanye nyie muwe mashoga kwa umuhimu gani hasa?
Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level. No more, no less. Msikimbie majukumu yenu. Mashoga wengi wameanza hii michezo majumbani mwao sio shuleni wala sehemu nyingine.
Kila research Ina agenda yake sijui huyu dada agenda yake ni ipi. Itakua kasoma upepo kaona mitanganyika inapenda story za ushoga kajiongeza.
CC:
BICHWA KOMWEE Dr. Mariposa