Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

vijana wakipewa Uhuru rasmi mtashuhudia maajabu hata msiowatarajia,. Nilishangaa kule Arusha baadhi ya watu kuandamana kinafiki
 
Nimeshangaa jinsi hawa wazungu wako serious kulinda mashoga. Huko facebook nimeforward clip mashoga wakilishwa mboko huko uganda nimepigwa ban ya siku 29.
Ndugu zangu watanzania na waafrika kwa jumla hii vita ni kubwa na tuwe tayari kupambana kutunza familia 'baba na mama' kama kitovu cha familia na jamii.
Wenzetu wameshatuamulia kwamba watatujazia mashoga na wasagaji kusudi tusiwe na familia nchi iwe sodoma na gomora.
Lengo lao ni vigumu kujua lakini ni baya sana na ni chukizo la mungu.
 
Vp mabasha mkuu sio chukizo kwa Mungu???????
 
Hongera sana kwa kua na uelewa wa kutosha juu ya hilo jambo, shida Watanzania wapo wapo tu kwenye nchi yao ila hawana taarifa nyingi za Nchi yao, wao wapo busy kuangazia mambo ya nchi za wengine, ndio maana ikitokea mtu kapata taarifa fulani anaibeba kwa ukuuuubwa na anayeipokea anaipokea kama vile ni taarifa mpya na nzito kumbe taarifa ni ya zamani na ipo kwa wale wahusika ama wafatiliaji,

Wanalazimisha Ushoga uonekane ni mkubwa kuliko idadi ya Watanzania wakati kiuhalisia haipo hivyo, mtu akupulizie manukato au uvae nguo ghafla ugeuke shoga, huu ujinga hata mtoto wa miaka 12 hawezi kuuelewa. [emoji28]
 
Shukrani saaana sana
 

Mzungu aache kupambana na teknolojia ya kuishi Mars aanze kukimbizana na spika za waswahili [emoji23]
Sisi weusi tunajikutaga wakina nani sijui kwenye dunia hii, yaan tunajitutumua hata pasipotutumka,

Hao Wazungu wakiacha kuleta misaada tunakondeana na utapiamlo juu, halafu eti mtu anasema tunaweza kuishi bila wazungu ukizingatia hata nguo iliyomstiri maungo imetoka kwa hao hao wazungu [emoji1]

Hata hivyo, hiyo ripoti haina jipya lolote ilikuja kimkakati kuzima ripoti ya CAG na imefanikiwa, vitu muhimu havijadiliwi watu wanajadili ngono tu,
Huyo dada mtoa ripoti file lake limetoka kumbe na yeye ni blender ya taifa [emoji40]
 
Nilisema zamani tulibeba miamvuli ya rangi rangi siku hizi ukiubeba tu unaitwa shoga,

Watoto wa chekechea walifundishwa marangi rangi na hata kuchora upinde wa mvua siku hizi wanaambiwa wanafundishwa rangi za mashoga,

Marasta walijipamba kwa zile rangi zao na tulizitambua kama rangi za marasta siku hizi zinaitwa za mashoga,

Soon, kuna jambo litatokea halafu tutie aibu hadi Duniani huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…