Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
vijana wakipewa Uhuru rasmi mtashuhudia maajabu hata msiowatarajia,. Nilishangaa kule Arusha baadhi ya watu kuandamana kinafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hawa wanafiki huwa wanatafuna kweri kweri ni walafi wa vijambio hakuna mfano.mnawasema juani mnawatafuna kizani.
Yule mmeo?Uko sahihi kuwa hata Kitengoni ( kule Foreign Affairs ) nako hali ni mbaya sana na aliyenidokeza ni wa huko huko.
Even myself I don't argue with a shithole! Chogo!I don't argue with idiots.
Vipi kwani unajisikiake mwilini?Hizi mada zinavozidi kujadiliwa ndo zinavyokuzwa
Maoni yako yametetea ushoga kwa 90%Unaona huyu mbwa mwingine? Someni, nchi yenu ina miongozo kabisa! Wapi nimetetea ushoga? Hooligans
Vp mabasha mkuu sio chukizo kwa Mungu???????Nimeshangaa jinsi hawa wazungu wako serious kulinda mashoga. Huko facebook nimeforward clip mashoga wakilishwa mboko huko uganda nimepigwa ban ya siku 29.
Ndugu zangu watanzania na waafrika kwa jumla hii vita ni kubwa na tuwe tayari kupambana kutunza familia 'baba na mama' kama kitovu cha familia.
Wenzetu 2ashatuamulia kwamba wstatujazia mashoga na wasagaji kusudi tusiwe na familia nchi iwe sodoma na gomora. Lengo lao ni vigumu kujua lakini ni baya sana na ni vhukizo la mungu.
Hongera sana kwa kua na uelewa wa kutosha juu ya hilo jambo, shida Watanzania wapo wapo tu kwenye nchi yao ila hawana taarifa nyingi za Nchi yao, wao wapo busy kuangazia mambo ya nchi za wengine, ndio maana ikitokea mtu kapata taarifa fulani anaibeba kwa ukuuuubwa na anayeipokea anaipokea kama vile ni taarifa mpya na nzito kumbe taarifa ni ya zamani na ipo kwa wale wahusika ama wafatiliaji,Uko pamoja na Mimi, Jana niliandika thread nikaifuta. Kwa kifupi ile report ina mapungufu makubwa ukiachana na huyi mzungu
1. Takwimu za mashoga na wasagaji hazina uhalisia, kwa mfano ukisema njombe Kuna Wasagaji na mashoga 3000 huku ukiwataja SUMASESU ni upotoshaji.
2. Ili uthibitishe kuwa kitu Fulani ndio kisababishi cha kitu kingine inabidi kuwe na factors kadhaa. Walitakiwa kuwapima watu wanaodaiwa kuwa wamekuwa mashoga baada ya kutumia hizo perfumes kwa mtiririko huu, unamchukua Juma unathibitisha kuwa sio shoga, unamuweka kama chambo anatumia hizo perfume then Juma anaanza ku-develop viashiria vya ushoga, hapa ndio unaweza kuhitimisha ila kumbuka hii process inachukua muda maana tunazungumzia hormones.
3. Serikali ilitoa muongozo wa jinsi ya kuwasaidia hao MSM ili kupunguza maambukizi ya VVU, muongozo upon, sasa huwezi kuwahudumia bila kuwa-identify ndio chanzo cha kuwepo kwa Projects kama zile za SAUTI ambazo walisema zinagawa vilainishi.
4. Takwimu nyingi zilikua au ni fake kwasababu NGO nyingi zilitumia wrong approach. Yaani wali-recruit Vijana wa kuwafikia hao MSM, changamoto ikaja, nani atajitangaza? Kwahio ikawa na fund kwa anayekubali taarifa zake ziandikwe analipwa I think ilikua 20,000. Wale wafanyakazi waliwekewa target kwahio most of them wakawa wanafanya forgery kubwa, wanaingiza taarifa feki wanaenda wanapewa mshiko, hili nilishuhudia kwenye mradi wa SAUTI.
KWAHIO KUNA DALILI KUBWA SANA ZA AKINA MWAKYEMBE KUBURUZWA MAHAKAMANI
Shukrani saaana sanaHongera sana kwa kua na uelewa wa kutosha juu ya hilo jambo, shida Watanzania wapo wapo tu kwenye nchi yao ila hawana taarifa nyingi za Nchi yao, wao wapo busy kuangazia mambo ya nchi za wengine, ndio maana ikitokea mtu kapata taarifa fulani anaibeba kwa ukuuuubwa na anayeipokea anaipokea kama vile ni taarifa mpya na nzito kumbe taarifa ni ya zamani na ipo kwa wale wahusika ama wafatiliaji,
Wanalazimisha Ushoga uonekane ni mkubwa kuliko idadi ya Watanzania wakati kiuhalisia haipo hivyo, mtu akupulizie manukato au uvae nguo ghafla ugeuke shoga, huu ujinga hata mtoto wa miaka 12 hawezi kuuelewa. [emoji28]
Nani Kati yenu anamjua shoga yeyote personally achana na hawa wa mitandaoni na maarufu? Probably hakuna. Mnaangalia na ishu non-existent wakati Kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili. Miafrika inawaza ngono tu.
Kwanza ijulikane estrogen (female hormone) hata wanaume wanazo naturally and vyakula vya Kila siku vina ongeza estrogen kwa wanaume na bado wengi tu sio mashoga. Haiwezekani a one time dosage tena ya toothpaste na perfume imfanye mtu awe shoga. Haiwezekani. Halafu wewe mwanaume na ndevu zako unakubali zawadi ya perfume na toothpaste kweli? It will take a truckload of it kumgeuza mtu awe shoga.
Hivi mizungu iwafanye nyie muwe mashoga kwa umuhimu gani hasa?
Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level. No more, no less. Msikimbie majukumu yenu. Mashoga wengi wameanza hii michezo majumbani mwao sio shuleni wala sehemu nyingine.
Kila research Ina agenda yake sijui huyu dada agenda yake ni ipi. Itakua kasoma upepo kaona mitanganyika inapenda story za ushoga kajiongeza.
CC: BICHWA KOMWEE Dr. Mariposa
Itakua wanaenda wote kuchukua dawa, wanakutana kwenye folensorry ulijuaje ana HIV ? ulimpima? tusipende umbeya waswahili , tuongee vitu tukiwa na full evidence
Nilisema zamani tulibeba miamvuli ya rangi rangi siku hizi ukiubeba tu unaitwa shoga,nmesoma content yako nmekuelewa vilivyo ila weng hawatokuelewa sabab bado wanaakili za mihemko , ushoga haupigwi vita kwa kuamin uvumi au kumzonga kila tunaemshuku ilihali haonekan kufanya , athari za hiz vumi soon tutaanza zifeel maana sasa hv tuna mu attack kila mtu
Baada ya hapo unaenda mbinguni au jela?Uundwe mpango mkakati wa kuwa maliza kimya kimya, tena nyumba hadi nyumba! Zile sumu za kuua taratibu zitumike
Drawback tukio la kupotea kwa watu ikasemekana ni watu wasiojulikana.Baada ya hapo unaenda mbinguni au jela?