EL_CHAPO_UNO
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 273
- 508
Dùh mazingira gan?Mi nilikamata muuni ananyonya ndonga ya mwenzake kiroho safi[emoji23]
Darasani wakati wengine tunaangalia mechi njeDùh mazingira gan?
Shule ya bweni hiyoDarasani wakati wengine tunaangalia mechi nje
Ndio....ya wavulanaShule ya bweni hiyo
We unaona inawezekana mtu kua shoga kisa marashi? Au unachanganya unayedhamiria kumjibu?Sasa hapa unapinga nn?? Km huna cha kufanyaa??
[emoji848]Blah Blah Blah,
Mashoga walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo, ukiona mtu anashindwa kutengeneza hata sindano lakini yupo busy kuwafanyia utafiti Mashoga basi kizazi chake kina hasara mno.
Waache kununua cheap diapers🤗Tuwe wabobezi na wajuzi katika vitu vya watoto iwe nguo au chochote kile saiv dunia imebadilika watu wanapromo vitu mbali mbali vya kishoga waziwazi bila kuwa mjuzi unaeza jikuta unamvisha mtoto mambo ya ovyo ovyo.
Wazazi tuwe makin sana na vitu tunavyowanunulia watoto wetu iwe nguo au vitu vya kuchezeaView attachment 2573943
Binafsi lilinishangaza, kitu ambacho sijaamini watu sa hivi naona wanaleta fake news sana na ni kama kuupromote vile.TBS imekanusha. Wewe kwa akili yako mtu anaweza kuwa shoga kwa kutumia dawa ya meno tu au perfume? Tafakari.
Hiyo diaper ina nini kwani?Tuwe wabobezi na wajuzi katika vitu vya watoto iwe nguo au chochote kile saiv dunia imebadilika watu wanapromo vitu mbali mbali vya kishoga waziwazi bila kuwa mjuzi unaeza jikuta unamvisha mtoto mambo ya ovyo ovyo.
Wazazi tuwe makin sana na vitu tunavyowanunulia watoto wetu iwe nguo au vitu vya kuchezeaView attachment 2573943
Tuwe wabobezi na wajuzi katika vitu vya watoto iwe nguo au chochote kile saiv dunia imebadilika watu wanapromo vitu mbali mbali vya kishoga waziwazi bila kuwa mjuzi unaeza jikuta unamvisha mtoto mambo ya ovyo ovyo.
Wazazi tuwe makin sana na vitu tunavyowanunulia watoto wetu iwe nguo au vitu vya kuchezeaView attachment 2573943
Ndo Bongo....watu wanaona ushoga unasababishwa na virangirangi[emoji23]Kwa hivyo hiyo nembo hapo inamfanya mtoto awe shoga? hivi hizi akili ni zenu kweli mbona kama inashangaza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo Bongo....watu wanaona ushoga unasababishwa na virangirangi[emoji23]
Ushoga inafika mahali unakua ni uamuzi wa mtu binafsi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenenaaa haswaaaaaa, na wengi wa aina hii huingia ktk gaysim kutafuta furahaa, wanatengwaaaaa,Mimi nawaweka mashoga makundi haya:
1. Waliozaliwa na hali hiyo
2. Waliojiingiza
Hawa wa aina ya pili, sitapenda kuwaongelea sana kwa sababu ni suala la kujitakia. Wengi wao ni tamaa za kifedha na hawa wengi ni wale wanajiona wana miili ya kuvutia lakini mifukoni na vichwani ni watupu.
Kuna wengine wanaingia si kwa sababu ya fedha lakini tu kashawishiwa na kajiingiza na kanogewa, hawa wengi ni watu wasomi na wana kazi na familia zao pia. Pia sitawaongelea sana, wamejitakia.
Ila kuna hawa wa kundi la kwanza, waliozaliwa hivyo, hawa wanahitaji kupewa jicho la pekee, kwa sababu wao wakidhibitiwa ni rahisi kupunguza tatizo.
Hawa huonyesha dalili mapema, ni wale watoto tangu wadogo wanakuwa na tabia tofauti na zile za kawaida za watoto wa kiume, michezo yao ni tofauti na mara nyingi hupendelea kukaa na watoto wa kike, dada na Mama zao. Huwakwepa kaka na baba zao.
Wanajiona hawako daraja moja na watoto wengine wakiume. Hizi dalili huwa tunaziona lakini zinapuuzwa, kumbe ni wakati muafaka kuzifanyia kazi.
Huyu akiwa kijana anajikuta hatamani wanawake, hana swaga za wakiume, haelewi hisia zake, ndio msongo wa mawazo huanza na kujitenga. Bahati mbaya sisi huwa tunawasema vibaya, hivyo amani wanaipata kwa kukaa na wasichana, na ndio wanazidi.
Ni rahisi kumsema na kumtukana akiwa wa watu ila akiwa kwenye familia yako ni kitu tofauti. Hakuna namna utamuondosha katika familia, ila akipata msaada anaweza kusaidika.
Wakina baba wanaweza kusaidia kiasi kikubwa, kuwa mtoto akionesha dalili tofauti wawe wanakaa nao mara nyingi, itasaidia mtoto kupambana na ile hali anayohisi...
Afundishwe kukubali kuwa hata walemavu wameumbwa na Mungu, lakini hapaswi kujisusa, zaidi kukaa karibu na Mungu na kupambana.
Hivi anaweza kushinda hisia, na hatimae akawa ni kijana wa kiume kawaida.
Kosa kubwa tunalifanya ni kusemea hivi vitu kwa ushabiki bila hata kuelewa, ila tunapaswa kurudi kwenye ngazi ya familia kupambana na hii hali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uboyzini watu wanageuzana sanaaa, hasa mida ya prepo watu wanazamaa mafichoni kupakuanaaa.Mi nilikamata muuni ananyonya ndonga ya mwenzake kiroho safi[emoji23]
Hapanaaa.We unaona inawezekana mtu kua shoga kisa marashi? Au unachanganya unayedhamiria kumjibu?
Na shule ya jirani ilikua ya madem niliskia walikua wanasagana sana usiku hostel.....na wanaiba vitesttube wanaenda kupasha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uboyzini watu wanageuzana sanaaa, hasa mida ya prepo watu wanazamaa mafichoni kupakuanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo walikosea, km kulikua na shule ya wasichanaa pembeni ilibidi wawe wanawapa joint mass, disco etc kupunguzaa upwiruuu.Na shule ya jirani ilikua ya madem niliskia walikua wanasagana sana usiku hostel.....na wanaiba vitesttube wanaenda kupasha[emoji23]
Kwa sababu hiyo nembo inawakilisha mambo ya ushoga ni wazi kuna uwezekano mkubwa zikawa zimetengenezwa na viambata vinavyo sababisha mtoto ku generate homoni za jinsi tofauti na ya mtoto mwishowe anakuwa anagegeduliwaKwa hivyo hiyo nembo hapo inamfanya mtoto awe shoga? hivi hizi akili ni zenu kweli mbona kama inashangaza?