Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Miaka 60+ ya uhuru bado tunategemea wafadhil hata Kujenga matundu ya vyoo? (Pichani).
2. Rasilimali kibao (madini-Tanzanite, diamond, gold n.k) Ila bado hatujazifaidi achilia vivutio vya utalii (Mt. Kilimanjaro, Serengeti na Zanzibar).
3. Uvivu wa kufikiri na kufanya Kazi (kuliko jirani zetu Kenya - Ajira SEKTA binafsi zinaenda kwao kuanzia hospitality, bank/insurance/telecoms hata zile za mashirika ya kimataifa UN/EAC/AU.
NB: Tusipobadilika, tusitafute mchawi
Wewe ushoga umeanza ukiwa na umri ganiUlitegemea hadharani nani awezaye kukiri? Unafiki unalipa sana, badala ya porojo zote hizo atuoneshe tu mke wake.
mnalaana na mnastahili kufa, hata mungu aliwaua mmerud tenaSasa mchungaji; mbele ya Mungu mashoga hawana haki? Kwa kuwa yeye ni mweza wa yote, hakuwazuiya aliwaacha waendelee na starehe yao. Utasema ni kazi ya shetani, huyo shetani kamzidi maarifa Mungu?
Tatizo la wachungaji ukiwauliza kwa hoja nzito nzito kama hii yako wanaanza kusema una mashetani uombewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Sasa mchungaji; mbele ya Mungu mashoga hawana haki? Kwa kuwa yeye ni mweza wa yote, hakuwazuiya aliwaacha waendelee na starehe yao. Utasema ni kazi ya shetani, huyo shetani kamzidi maarifa Mungu?
MUNGU aliwakataa na akawaua, jibu ni simple adhabu yao ni kifoTatizo la wachungaji ukiwauliza kwa hoja nzito nzito kama hii yako wanaanza kusema una mashetani uombewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Anyway!, Tukiachilia mbali mambo ya Mungu, Ushoga na Usagaji ni kinyume na Tamaduni zetu.
Mzee Halima hebu nawe tuoneshe mumeo.Wewe ushoga umeanza ukiwa na umri gani
Wewe ndiye mke wa Mwamposa?Wewe ushoga umeanza ukiwa na umri gani