Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hivi mnalipwa na nani kupromote huo uchafu? Kwani misaada imeanza kutolewa leo? Au umeshasikia tamko la serikali kukubali huo upuuzu. Kama sivyo, hizo kelele zinatoka wapi?
 
Ulitegemea hadharani nani awezaye kukiri? Unafiki unalipa sana, badala ya porojo zote hizo atuoneshe tu mke wake.
 

Kwa hiyo wewe kwako ni sawa nchi huru for 61 years kua ombaomba hivyo ? Huku majitu yanaiba kodi zetu mfululizo ! Na mama anasema “ hili nalo mkalitazame” kwa sauti legevu ya kizenji !!
 
Na miafrika tulivyo kuomba hatutaacha, viongozi wetu wanakiri kwamba wanaomba ili walete maendeleo, hii kauli ina maana kwamba bila kuomba hatutaendelea kamwe, cha msingi wewe fundisha mwanao na jamii yako kwamba ndoa ni mume na mke, hakuna kitu kinaitwa mapenzi ya jinsia moja, mwambie mwanao hayo ni matendo ya shetani, anza kumuambia sasa, tena muonyeshe na picha mbaya za shetani jinsi zilivyo, mfundishe maadili yaliyokufikisha hapo ulipo, anza hivyo leo.
 
Tunaweza, tusiogope kutaabika Kwa muda, tupumzike na V8 na luxury za business class tunaposafir nje
 
Sasa mchungaji; mbele ya Mungu mashoga hawana haki? Kwa kuwa yeye ni mweza wa yote, hakuwazuiya aliwaacha waendelee na starehe yao. Utasema ni kazi ya shetani, huyo shetani kamzidi maarifa Mungu?
mnalaana na mnastahili kufa, hata mungu aliwaua mmerud tena
 
Sasa mchungaji; mbele ya Mungu mashoga hawana haki? Kwa kuwa yeye ni mweza wa yote, hakuwazuiya aliwaacha waendelee na starehe yao. Utasema ni kazi ya shetani, huyo shetani kamzidi maarifa Mungu?
Tatizo la wachungaji ukiwauliza kwa hoja nzito nzito kama hii yako wanaanza kusema una mashetani uombewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Anyway!, Tukiachilia mbali mambo ya Mungu, Ushoga na Usagaji ni kinyume na Tamaduni zetu.
 
Tatizo la wachungaji ukiwauliza kwa hoja nzito nzito kama hii yako wanaanza kusema una mashetani uombewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Anyway!, Tukiachilia mbali mambo ya Mungu, Ushoga na Usagaji ni kinyume na Tamaduni zetu.
MUNGU aliwakataa na akawaua, jibu ni simple adhabu yao ni kifo
 
Huo utajiri mnaosema mnao upo sehemu nyingi tu duniani, na sehemu nyingine wanao zaidi ya huo na akili wanazo pia.

Hiyo kusema tz tuna hiki na kile as if duniano ni sisi tu wenye madini !!
 
Kuuongelea kwa namna yoyote ni kuupromote. Wanaokaa kimya naona wana busara na hawaupendi kuliko hao waropokaji
 
Kwanza kabisa hapa Tanzania kama Kuna asiye na dhambi labda watoto wa umri wa chini ya miaka 12.

Pamoja na dhambi lukuki tulizo nazo, Wacha tu tujiongezee dhambi ya kuwakemea, kuwatenga na hata kuwaadhibu mashoga hukuhuku uraiani.

Kuna wasemao ukikemea unachichea, napingana nao. Nyakati hizi ni kama Kuna opesheni ya kuupa umaarufu ushoga na vitu kama hivyo.

Tusisubiri nyakati nyingine, ni kupambana na mambo hayo sasa.

Kuna watu wanathubutu hata kusema kuwa nchi kubwa zikiamua jambo hatuna la kufanya.

Siyo kweli. Lazima kuwa na msimamo. Hata kama Kuna nchi kubwa lakini tunazo akili na utashi, kujua mema na mabaya ni kitu Kila binadamu alijaaliwa bila kujali hadhi au udogo wake.

Ukiwa mzazi ujiulize, ukiona au kusikia mwanao ni shoga utajisikiaje. Ulizaa watoto wawe mashoga au uliamini nao watazaa na kuendeleza vizazi?

Ikibidi tupige kura mtaa kwa mtaa kubaini na kudhibiti hao watu.

Kama kuna nchi kubwa zinawaonea huruma ziwachukue mashoga wote wawe wakimbizi huko wanakoweza wapa upendeleo nk.

Lazima mazingira yawe magumu kwa ustawi wa ushoga na vitu kama hivyo.

Kunyamazia ni kunyanyua mikono juu. Zamani walijificha, sasa wanajidhihirisha hadi kutaka kusajiliwa kama vyama.

Tuanze kama familia kuchukua hatua ndani ya kaya zetu. Mitaani tuunde kamati za maadili na malezi na kuonya wote wenye kuonekana na hizo tabia.

Taasisi zetu za kimamlaka na hata za kidini ni kama zinaona zipo mtegoni kufanya lolote. Sasa sisi kama familia tujitetee wenyewe. Ikibidi tushughulike nao kama vibaka tu. Wote mashoga na mabasha wakose amani wait sio kuharibu watoto wetu na kizazi kijacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…