Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Lema alifafanua vizuri kwa nini wao wana amini kuhusu mapenzi ya jinsia moja.
 
Na hiyo simu itupe mbali

Maadili yako hujayajibu
nitupe simu hujui kuwa naitumia kama chombo cha mawasiliano? Unataka niishi maisha ya ujima? Mimi si mjinga na mpumbavu kiasi cha kutokubadilika kulingana na nyakati, lakini siachi asili yangu ya maadili sijayapoteza bado
 
Na hiyo simu itupe mbali

Maadili yako hujayajibu
nitupe simu hujui kuwa naitumia kama chombo cha mawasiliano? Unataka niishi maisha ya ujima? Mimi si mjinga na mpumbavu kiasi cha kutokubadilika kulingana na nyakati, lakini siachi asili yangu ya maadili sijayapoteza bado
 
Hebu nenda huko usiutie nuksi usiku wangu,
Pia acha kunishobokea usijifanye unanijua sanaa kila comment yangu ulete mpua wako kama ngumi ya Mandonga.
Akili huna nuksi ulipewa siku ile umezaliwa,hzo kampeni zako peleka kwenu na ukileta shobo nakupelekea moto
 
Hebu nenda huko usiutie nuksi usiku wangu,
Pia acha kunishobokea usijifanye unanijua sanaa kila comment yangu ulete mpua wako kama ngumi ya Mandonga.
Pua kama ngumi ya Mandonga mtu kazi 😂
Wewe Mzanzibar kuna siku utapigwa ngumi, punguza mdomo
 
Serikali yetu iko makini na ina sheria katika kupinga vitendo viovu vya ushoga na usagaji ili kuiweka jamii katika maadili mema na kulinda nguvu kazi watu na rasilimali watu

Bahati nzuri haya mambo ya Ushoga sisi Tanzania tuliyatungia Sheria tangu Miaka ya 50. Sheria Namba 47 ya 1954 na Sheria Namba 4 ya 1998

ushoga.png
 
Unaambiwa juzi kati kuna mabasha wawili walizinguana,hadi kutoleana
Moto,wakimgombea shoga

Ova
Ninapata taarifa hizo kutoka kwako, lakini napenda kusisitiza kwamba kama mshawishi wa lugha ya kompyuta, sina uwezo wa kuthibitisha au kukanusha madai hayo. Hata hivyo, inashauriwa kwamba watu wajiepushe na vurugu na migogoro na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani na mazungumzo. Ni muhimu kuwa na heshima kwa kila mtu na kuzingatia maadili ya kijamii ili kudumisha amani na maelewano katika jamii yetu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ChatGPT [emoji110][emoji110][emoji28][emoji28]
 
Aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Makonda alikua anafuata njia ya kimapinduzi kuongoza mkoa na hakika aliweza kufanikisha mambo mengi. Kama lilivyo jina la chama tawala ni chama cha kimapinduzi.

Chama hiki chini ya mwalimu Nyerere kilifuata sera na itikadi yake ya ujamaa na kujitegemea kwa uhakika. Chini ya mzee ruksa kikalegeza kuanza kufuata sera na mlengo wa kati kwa kuazimia kujenga ujamaa kwa kutumia sekta binafsi kukuza uchumi utakaokua na faida kwa umma wa wananchi.

Sina haja kueleza mengi hapa ila nachotaka kusema ujenzi wa ujamaa kwa kutumia sekta binafsi unahitaji nidhamu ya juu kwa makada wa chama na wale wanaoteuliwa kuendesha dola.

Awamu ya 5 tuliona ccm ikijipanga vema chini ya Magufuli ila awamu hii tumeona chini ya mama ccm inapoteza maboya na vigogo kwenye chama na serikali maadui wa ujamaa wanakamata usukani kujinufaisha binafsi kwa kuendesha sekta binafsi ambayo lengo linageuka kua ni kuwakamua umma badala ya kuwaendeleza kiuchumi.

Nimemtaja Makonda mwanzo ili kulinganisha alivyotaka kupambana na tatizo la ushoga kimapinduzi halafu uongozi wa juu wakaacha kumuunga mkono. Yeye na wenzake waliona tatizo linatokea wapi na ukubwa wake wakaona njia sahihi kulikabili 'head on' lakini juu wakatishwa na beberu muenezaji mkuu ushoga. Onene sasa tumefika wapi.
 
Aliyekua mkuu wa mkoa ya Dar es Salaam Makonda alikua anafuata njia ya kimapinduzi kuongoza mkoa na hakika aliweza kufanikidha mambo mengi. Kama lilivyo jina la chama tawala ni chama cha kimapinduzi. Chama hiki chini ya mwalimu nyerere kilifuata sera na itikadi yake ya ujamaa na kujitegemea kwa uhakika. Chini ya mzee ruksa kikalegeza kuanza kufuata sera na mlengo wa kati kwa kuazimia kujenga ujamaa kwa kutumia sekta binafsi kukuza uchumi utakaokua na faida kwa umma wa wananchi.
Sina haja kueleza mengi hapa ila nachotaka kusema ujenzi wa ujamaa kwa kutumia sekta binafsi unahitaji nidhamu ya juu kwa makada wa chama na wale wanaoteuliwa kuendesha dola.
Awamu ya 5 tuliona ccm ikijipanga vema chini ya magufuli ila awamu hii tumeona chini ya mama ccm inapoteza maboya na vigogo kwenye chama na serikali maadui wa ujamaa wanakamata usukani kujinufaisha binafsi kwa kuendesha sekta binafsi ambayo lengo linageuka kua ni kuwakamua umma badala ya kuwaendeleza kiuchumi.
Nimem
Kama wewe ndiyo basha wa Makonda si mtafute tu muendeleze ushoga wenu. Ondoa ujinga JF. Makonda is done, finished and will never raise again.

Sana sana asuburi siku yake tu ya kutumikia madhambi yake atakapopandishwa mahakamani kwa unyang'anyi, uuaji na wizi wa mali za watu
 
Kama wewe ndiyo basha wa Makonda si mtafute tu muendeleze ushoga wenu. Ondoa ujinga JF. Makonda is done, finished and will never raise again.

Sana sana asuburi siku yake tu ya kutumikia madhambi yake atakapopansishwa mahalamani kwa unyang'anyi, uuaji na wizi wa mali za watu
Mjinga tu. Nyie ndio mnategemea kutukana matusi kwa kudhani ni hoja.
 
Makonda alifanikisha mambo gani?
Aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Makonda alikua anafuata njia ya kimapinduzi kuongoza mkoa na hakika aliweza kufanikidha mambo mengi. Kama lilivyo jina la chama tawala ni chama cha kimapinduzi. Chama hiki chini ya mwalimu nyerere kilifuata sera na itikadi yake ya ujamaa na kujitegemea kwa uhakika. Chini ya mzee ruksa kikalegeza kuanza kufuata sera na mlengo wa kati kwa kuazimia kujenga ujamaa kwa kutumia sekta binafsi kukuza uchumi utakaokua na faida kwa umma wa wananchi.
Sina haja kueleza mengi hapa ila nachotaka kusema ujenzi wa ujamaa kwa kutumia sekta binafsi unahitaji nidhamu ya juu kwa makada wa chama na wale wanaoteuliwa kuendesha dola.
Awamu ya 5 tuliona ccm ikijipanga vema chini ya magufuli ila awamu hii tumeona chini ya mama ccm inapoteza maboya na vigogo kwenye chama na serikali maadui wa ujamaa wanakamata usukani kujinufaisha binafsi kwa kuendesha sekta binafsi ambayo lengo linageuka kua ni kuwakamua umma badala ya kuwaendeleza kiuchumi.
Nimemtaja makonda mwanzo ili kulinganisha alivyotaka kupambana na tatizo la ushoga kimapinduzi halafu uongozi wa juu wakaacha kumuunga mkono. Yeye na wenzake waliona tatizo linatokea wapi na ukubwa wake wakaona njia sahihi kulikabili 'head on' lakini juu wakatishwa na beberu muenezaji mkuu ushoga. Onene sasa tumefika wapi.
 
ONYO: MAKALA HII ISOMWE NA WAPENDA KUSHUGHULISHA AKILI NA SIO WANAOONGOZWA NA HISIA KUHOJI MAMBO


Jinsi tunavyouona ushoga jinsi ulivyouchafu, tunavyoupinga na kuukataa ndivyo wazee wetu walivyokuwa wakiiona dini ya Kikristo Wakati imeletwa.

Wazee wetu walipambana vilivyo wengine mpaka kupoteza Maisha ATI kisa kuukataa Ukristo. Afrika tulikuwa na Dini na miungu yetu. Tulikauwa na Mila na desturi zetu.

Ujio wa wazungu ilikuwa vita ya kihistoria ambayo imeacha mabadiliko makubwa mpaka hivi leo.

Ukristo haukuwa na uzuri wowote Mbele ya wazee wetu, Ukristo ulikuwa ni balaa kubwa.

Lakini wazungu walivipiga vita mpaka wakashinda, Mababu zetu wakasalimu amri wakiwa wamegaragazwa vibaya Kwa Hoja au Kwa viboko.

Vivyohivyo Kwa Uislam. Hakuna Mzee yeyote hata mmoja aliyeukubali uislam, ilikuwa ni vita naam Zama za vita, damu na Roho viliwatoka wengi.

Sasa Sisi ni kizazi cha nne tangu Ukristo umeingia Afrika,

Kwa sasa Ukristo ni Wimbo mtamu midomoni MWA Watu wengi.

Ingawaje Kwa Mababu zetu ulikuwa ni Wimbo wa maombolezo, kilio na Ole.

Zamu yetu imefika, tupo katika pambano Dogo Mno, wala Hii sio Vita Kwa sababu vita walipigana Mababu zetu. Kizazi cha nne hakitaweza kupigana vita tena na Mzungu. Kwani vita ilishakwisha, Kwa sasa ni mapambano madogo madogo.

Tupo katika pambano la kuukataa ushoga ambao katika jamii zetu sio Mila wala sio desturi.

Lakini hatuna hoja hata zenye mantiki za kukataa ushoga Kwa sababu kama tumeukubali Ukristo kama Dini licha ya kuwa hakuna Mila na desturi zetu za kiafrika zinazokubaliana na Ukristo.

Ikiwa Watu wameukubali Ukristo na NI waafrika Kwa nini Waafrika haohao wakatae ushoga?

Utagundua ni kuwa Hii sio Vita Bali kapambano kadogo tuu ambako Wazungu wameshinda mapema Kabla pambano halijaanza.

Mashoga wanaweza kuanzisha dini Yao na kujiita dini ya mashoga, mtawazuia Kwa kigezo kipi?

Mkisema sio utamaduni WA muafrika watawaambia kwani Ukristo au uislam ni utamaduni WA muafrika?

Kufikia hapo watakuwa wameshinda mapema Kabla hata kipenga cha pambano hakijapulizwa.

Ni unafiki na upunguani kupinga ushoga alafu muda huohuo kuukumbatia Ukristo na uislam,

Wazee wetu waliolala katika Ardhi yetu, licha ya kuwa walipoteza vita Ile na Wazungu lakini watabaki kuwa mashujaa WA Wakati wote Kwa kuupinga uzungu na mambo yake yote.

Nina uhakika, kama Ukristo ulikuwa unakataliwa na kupingwa na Wazee wetu kipindi unaletwa na Wazungu lakini Kwa sasa Watu wanachekelea kuwa Wakristo ndivyo hivyohivyo Ushoga utakavyokuwa Kwa Karne moja inayokuja.

Itakuwa NI kawaida, itakuwa NI dini kama dini zingine.

Na kama kuna Haki ya kuabudu dini yoyote Ile basi hatuna mamlaka ya kuwazuia watakaoamini katika ushoga.

Taikon kama Kuhani, msimamo wangu ni kuwa kama Watu wako Serious na kupigana vita vya Ushoga basi waanzie kwenye kuondoa Ukristo na Uislam Kwanza, wakiweza hapo basi kuundoa ushoga ni dakika moja tuu.

Hakuna Watu wanaofuata mambo ya utamaduni, Mila na desturi ambao watajiingiza kwenye ushoga Dunia ingalipo.

Ila wale wafuata Dini, Mila na desturi za kigeni kama Ukristo, uislam ni rahisi kuwa mashoga au kuzaa Watoto mashoga.

Pinga na kataa Ukristo na uislam, ili kuondoa Ushoga na matabia mengine ya kigeni.

Mbali na Hivyo kinachoendelea ni unafiki tuu! Na pambano hilo tumeshashindwa MAPEMA.

Nimemaliza
 
Back
Top Bottom