Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kuna washenzi wanahusisha wenzao wasiokuwa na msimamo wowote juu ya ushoga wakidai wanawatetea mashoga, hii inakera sana na tutanyukana sana kihoja. Ni unafiki kujifanya kutokuona vyanzo vya ushoga na kudhani hili suala limeibuka hivi punde. Mara oh! tubaki na mila zetu tusiige mila za nje, mila zipi hizo za nje ambazo zina ushoga? Hao wanaoeneza ajenda za ushoga duniani mbona walishafanikiwa kitambo tu? Hawakuanza leo, tunashituka wakati tayari moto mkali umepamba, msitu unaungua, pa kuanzia kuuzima hatujui, ni patashika nguo kuchanika. Wahuni wa ushoga wameiteka dunia kila nyanja wanatawala. Pa kuwakwepa ni wapi ikiwa kote wametamalaki? Walitengeneza bomu ambalo lingekuja kulipuka tukiwa hatuna namna ya kujisadia zaidi ya kukubali tu yaishe. Wamekamata mifumo yote ya kimaisha kama elimu, afya, uchumi., teknolojia na sayansi, utamaduni na siasa kote huko wamepenyeza ajenda yao. Tungewakataa tangu zama za kupigania uhuru tukatae vitu vyao vyote ikiwemo elimu yao. Turudi maisha ya ujima ili tuepuke ushoga
 
Unakuta jitu ni lisomi au li staa fulani hivi lakini linalea mtoto wake kindezi, linaiga tamaduni za nje, lenyewe tu linaishi kihuni, sasa huyo mtoto wake atakopi wapi maadili mazuri? Mila nyingi nzuri zimeachwa, tena zingine zikaundiwa kampeni zifutiliwe mbali na kutungiwa sheria kali za kipumbavu zisifuatwe, wakati hizo mila ziliwekwa kuzuia ushenzi huu, mijitu ikajiona imeelimika ikaanza kuunda vi NGOs kujipatia fedha toka ughaibuni kupinga mila zetu nzuri zilizokuwa zinazuia upuuzi huu. Leo mambo yameharika vilio vinatawala tufuate mila zetu ambazo hazipo, zilifutiliwa mbali na wasomi wetu waliopigwa upofu wasijue wanamtumikia shetani ambaye sasa anawatafuna kisawasawa mpaka washike adabu kuacha mila zao asilia zizowahifadhia utu wao. Ni ujuha kulia unanyeshewa mvua huku maji unayanywa
 
Ukiitazama asili,inaongea lugha kinzani kuhusiana na uwiano wa wanawake na wanaume katika idadi.

Ndiyo maana asili yenyewe imekazana kuongeza idadi ya wanadamu wenye jinsia ya kike kuliko kiume.

Sababu Kiasili na mahitaji ya asili Wanawake ni wachache na wanaume ndo wengi,ndio maana asili inazidi kuongeza idadi ya wanawake kuliko wanaume.

Duniani na hata Tanzania tunajua kuwa idadi ya jinsia ya kike ni kubwa kwa mujibu wa namba za sensa kuliko idadi ya wanaume.

Kwa muktadha wa manufaa na tija za asili mtizamo ya hesabu na idadi hiyo ni kinyume chake.

Kwa mahesabu madogo ya asili na kibaolojia kila mwanaume mmoja anahitaji kuoa au kumiliki kimahusiano wanawake 72 hadi 100 kuleta tija ya kiasili.

Kibaolojia mwanaume anauwezo wa kuzalisha wote hao ndani ya mwaka 1 wa siku 365.

Hii ikizingatia busara za kibaolojia za kuamini kwamba huyu mwanaume atakua angalau anakaa siku 3 hadi 5 bila kushiriki tendo hivyo kwa siku 365 anauwezo wa kuzalisha wanawake 72 hadi 100.

Sasa kama leo kila mwanaume atapewa wanawake 72 au 100 kama asili inavyotaka unadhani wanawake watatosha...???

Hivyo bado wanawake ni bidhaa adimu ndiyo maana Asili inaendelea kuwazalisha zaidi.

Ubongo wa asili haujui mambo ya mke mmoja au wake wanne,Asili haijui mambo ya sheria za kibinadamu,asili inaangalia sheria za asili...

Ndio maana asili imemuumba mwanaume as a "human production machine" Always men are sexally Lust...

Sheria ambazo zimemgeuza mwanaume a-behave tofauti,ndio maana ubakaji,ushoga,kujichua,mapenzi na wanyama vimeshamili.

Hivyo ikitokea kwa sasa mwanamke akakosa mume hilo sio kosa la asili ni kosa la sheria za kibinadamu.

Baada ya asili kuingiliwa haya yakatokea

"contraception, celibacy, marriage, adultery, casual sex, flirting, prostitution, homosexuality, masturbation, seduction, rape, sexual harassment, sadomasochism, pornography, bestiality, and pedophilia."

Na hatari ya ushoga inaweza kuja kua janga kuu kama mifumo ya sayansi za kidunia na binadamu wataendelea kuichezea asili.

Kwasababu sasa hivi kuna sayansi ambazo zinaruhusu hadi wanandoa kuchagua jinsia ya mtoto,na wengi wanachagua jinsia ya kiume.

Sasa kama kila ndoa kupitia sayansi itachagua mtoto wa kiume,kwasababu wengi huamini mtoto wa kiume ndiyo ufahari,hawa watoto wakiume wakiwa wengi watakuja kuwaoa kina nani?????

Sayansi hizo zinakinzana na asili,itafika wakati wanawake watazidi kupungua zaidi na hapo ndo italazimu wanaume kugeuzana.

Swali la kujiuliza kama mpango wa asili ulikua mwanaume mmoja mke mmoja au wanne kwanini huyu mwanaume asili isinge muumba awe na kipindi cha heat cha mara moja kama wanawake walivyo...

Kwanini mwanaume kila siku yupo katika heat harafu apewe mke mmoja au wanne??!

Sababu asili imemuwezesha mwanaume kuzalisha wanawake 72 hadi 100 kwa mwaka na mwanamke kuzaa mtoto mmoja kwa mwaka.

Na kwa mujibu wa Asili tendo la ndoa sio kwasababu ya starehe ni kwasababu ya uumbaji..

Immanuel Kant said "sexual desire is morally wrong, sex is for reproduction not for a preasure"

Sasa kwa mke mmoja au wanne je kila tendo lako lina lengo la uumbaji au starehe...

Je ni viumbe wangapi wamepotea kwa sheria hizi za kibinadamu zinazopingana na asili?

Anyway kwa mujibu wa Asili na tungeishi vile asili inavyotaka Wanawake ni wachache zaidi kuliko wanaume..

Kwa asili mwanamke anahitajika zaidi duniani kuliko mwanaume,ndio maana katika uumbaji mbegu ya kike iko fast kuliko yabkiume kufikia yai kufanya uumbaji,na pia baada ya kuzaliwa mwanamke yuko fast kukua kufikia majukumu yake.....because nature need more women as you think...

Kutumia sayansi na kusababisha watu wakawa na maamuzi dhidi ya asili harafu mnakuja kushangaa matokeo ya asili kuharibiwa huo ni ujinga ulio pitiliza...

Kama kila familia itataka kua na mtoto wa kiume nini kitatokea??????

Na kama binadamu ataendelea kupingana na asili, basi fahamu kuanzia sasa ukimuona changudoa au mchepuko jua huyo ni mke wa mtu kiasili,ila kwa klhali aliyonayo sasa ni matokea ya uharibifu wa asili ya mahusiano ya kijamii yaliosababishwa na kanuni,sheria na utaratibu wa kanuni hovyo za kibinadamu....

Na tatizo hili halita isha milele kama tu binadamu akiendelea kipingana na asili....

Kibangubangu present.
Miafrika kwa ngono!
Wenzenu wanawaza kuvumbua vitu ili kuendana na zama tunazoishi sasa wenyewe wanawaza kungonoka eti asili,
Ukishakua na wake 10 na watoto 100 utawapa nini?
Unaweza kuwapa huduma zote stahiki kama Chakula bora, Malazi bora, Afya bora, Elimu bora, n.k au tena mtaenda kutembeza bakuli kwa wenzenu huko Duniani wawawezeshe,

Hebu mjaribu kuwaza vitu vyenye tija kwa taifa na bara lenu acheni mawazo ya ngono ngono mnatia kinyaaa.
 
Hahaha unataka wote wawaze kama wewe ?Dunia yote iwe ya wasagaji
 
Unakuta jitu ni lisomi au li staa fulani hivi lakini linalea mtoto wake kindezi, linaiga tamaduni za nje, lenyewe tu linaishi kihuni, sasa huyo mtoto wake atakopi wapi maadili mazuri? Mila nyingi nzuri zimeachwa, tena zingine zikaundiwa kampeni zifutiliwe mbali na kutungiwa sheria kali za kipumbavu zisifuatwe, wakati hizo mila ziliwekwa kuzuia ushenzi huu, mijitu ikajiona imeelimika ikaanza kuunda vi NGOs kujipatia fedha toka ughaibuni kupinga mila zetu nzuri zilizokuwa zinazuia upuuzi huu. Leo mambo yameharika vilio vinatawala tufuate mila zetu ambazo hazipo, zilifutiliwa mbali na wasomi wetu waliopigwa upofu wasijue wanamtumikia shetani ambaye sasa anawatafuna kisawasawa mpaka washike adabu kuacha mila zao asilia zizowahifadhia utu wao. Ni ujuha kulia unanyeshewa mvua huku maji unayanywa
Wewe hizo mila zako zimekusaidia nini?
Mbona huendi kusali kwenye miti na mapango?
Mbona huvai kaniki na magome ya miti?
Mbona unaabudu kwa kutumia Dini zao?
Mbona unatumia kalenda zao?
Mbona unatumia teknolojia yao?

Ukiulizwa maadili yako ni yapi hujui.
 
Mnasikitisha mnapowaza ngono tu, yaan mmekua kama mitahira ya ngono
Matusi ni ya nn sasa? Kama una support ushoga na usagaji tafuta njia ambayo utaona ni sahihi kufanya hyo kazi.
Usije apa JF kwenye thread za watu ukitaka kila mtu awaze kufanya ushetani wako.
 
Hadi Sasa sijajua hasa msingi wa Haki wanazopigania Hawa LGBTQ, yaani wanaofanya mapenzi wa jinsia Moja, ni upi?

Ninapoona Wazungu wakitoa misuli ya shingo wakiongea kutetea Hawa watu ndipo linaponijia swali msingi wa Haki wanaotumia Hawa watu kutafuta kutambuliwa ni upi? Na Ili iweje?

Naomba waliowaelewa Hawa LGBTQ's watuelimshe.
 
Matusi ni ya nn sasa? Kama una support ushoga na usagaji tafuta njia ambayo utaona ni sahihi kufanya hyo kazi.
Usije apa JF kwenye thread za watu ukitaka kila mtu awaze kufanya ushetani wako.
Wewe mwenyewe unasapoti ushoga ndio maana hupo kwenye huu uzi kila siku unaranda randa,
Unanipangia cha kucomment jf bando na simu ni vyako? Mtu akileta mada maana yake ni nini si ijadiliwe?

Wewe kama papai wafate watu kimya kimya huko pm usinitolee macho mimi
 
Wewe hizo mila zako zimekusaidia nini?
Mbona huendi kusali kwenye miti na mapango?
Mbona huvai kaniki na magome ya miti?
Mbona unaabudu kwa kutumia Dini zao?
Mbona unatumia kalenda zao?
Mbona unatumia teknolojia yao?

Ukiulizwa maadili yako ni yapi hujui.
kaniki mbona bado navaa? Tena najipaka na mafuta ya ng'ombe, nakula chakula cha asili kama huo ugali unaouona kwenye avator yangu, nakunywa maji ya mitungini, vibuyu na vipeyu, nakula matunda pori na mizizi, ndoa za kimila kama zamani. Jasiri haachi asili yake
 
kaniki mbona bado navaa? Tena najipaka na mafuta ya ng'ombe, nakula chakula cha asili kama huo ugali unaouona kwenye avator yangu, nakunywa maji ya mitungini, vibuyu na vibeyu, nakula matunda pori na mizizi, ndoa za kimila kama zamani. Jasiri haachi asili yake

Na hiyo simu itupe mbali

Maadili yako hujayajibu
 
Wewe mwenyewe unasapoti ushoga ndio maana hupo kwenye huu uzi kila siku unaranda randa,
Unanipangia cha kucomment jf bando na simu ni vyako? Mtu akileta mada maana yake ni nini si ijadiliwe?

Wewe kama papai wafate watu kimya kimya huko pm usinitolee macho mimi
Wewe sindo ulikua unatafuta bwana akutie ? ila ukaja na gia ya kutaka mimba? Nakushangaa unaandika upuuzi tu
 
Nadhani hawana hoja ya msingi zaidi ya kupigiana kelele na kutafuta wafuasi tu. Kikubwa ni kutafuta wafuasi
 
Unaambiwa juzi kati kuna mabasha wawili walizinguana,hadi kutoleana
Moto,wakimgombea shoga

Ova
 
Back
Top Bottom