incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
MIMI binafsi naomba mashoga wawe wengi na vile ni watoto wa kishua wale walembo walembo watuache wakurungwa hardcoo turuke na totoz
I'm doing great,Nipoo mie.
Yeaaah!!
Howz u??
Mi najiuliza.....mtu anajua kabisa akiwa shoga atakataliwa na familia yake, au hata kuuawa, kupata laana n.k......lakini bado anakua shoga....
Sababu ya kufanya hivo lazima iwe nzito sana, lazivyo wasingerisk vitu vyote hivyo....na hakuna faida wanapata, kama ni kugegedana ukigegedana na demu kitu si kilekile tu
Nashangaa tumefikia hadi hapa; ilikuwa niachane nao tokea hapo mwanzo, kwani haukuwa na mantiki yoyote ndani yake.Achana nao
Bado unaendelea, we jamaa wewe uko sawa??Nashangaa tumefikia hadi hapa; ilikuwa niachane nao tokea hapo mwanzo, kwani haukuwa na mantiki yoyote ndani yake.
Haya mambo mnayakuza bure,wala siyo mengi ka mnavyoyapa promoila tusitumia uvumi kuhukumu watu , hii mentality inaeza kukuangukia wew au hata ndugu yako ukawa victims wa uvumi , tuwe na research sio uvumi wa mdomon
Nimeuliza tu kama na wewe wamekufikiaNilijua tu sukuma gang ungefika kwenye huu uzi kunifokea
Sana!Bado unaendelea, we jamaa wewe uko sawa??
Ushoga Una ufananisha na panya road?? Hauko serious wee
Sawa kijana mwerevuHuna Akili. Ameshakuambia wazi kuwa alipata Ushirikiano mkubwa kutoka Police na Wizara ya Mambo ya Ndani sasa hujaelewa nini hapo?
Hivi Wizara kuwa na hiyo Drone / hizo Drones ni ngumu? Kuna Watu ni Majuha hadi Mnaboa.
Kama ukijijua kuwa huna Akili acha kabisa Kufungua au Kuchangia Mada zangu GENTAMYCINE sawa?
Mnanichosha kwa Kuwaelimisheni.
Tusizungunmzie popote Ila misaada iendelee kuja sio?Njia pekee ya kuzuia kusambaa kwa uchafu wa ushoga na mapenzi ya jinsia moja ni kuacha kuuzungumuza popote
Inaonekana nawe unapumuliwa, maana umekuwa mtetezi sana.kuna watu wanakurupuka kutaka serikali iingie mkenge kuhusu ushoga, sijui ni wasomi wa wapi wasiojua mikataba ya kimataifa juu ya haki za binadamu. Vitu vingine kuvifahamu haihitaji elimu kubwa ya mambo ya kisheria
pumbavu, wapi natetea ushoga? Haya kaanze kuwashughulikia tuone hiyo penal code kama itakuunga mkono. Haya mashoga yapo nasi muda muda mrefu hajawa na athari kwa taifa na hakuna mtu wa ku deal nao kwa maana si jambo la tija kwa taifa. Taifa lina mambo muhimu ya kujadili na si mambo ya hovyo kama ushogaInaonekana nawe unapumuliwa, maana umekuwa mtetezi sana.
Penal code (154) kasome, you fag!