kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 272
- 353
Tunakazia...lazima chanzo kijulikanešUshoga again. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakazia...lazima chanzo kijulikanešUshoga again. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tumeelewana tuachane na mada za ushoga, sasa wewe mbona unautaja?Ushoga again. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahatumeelewana tuachane na mada za ushoga, sasa wewe mbona unautaja?
Miafrika kwa ngono!Ukiitazama asili,inaongea lugha kinzani kuhusiana na uwiano wa wanawake na wanaume katika idadi.
Ndiyo maana asili yenyewe imekazana kuongeza idadi ya wanadamu wenye jinsia ya kike kuliko kiume.
Sababu Kiasili na mahitaji ya asili Wanawake ni wachache na wanaume ndo wengi,ndio maana asili inazidi kuongeza idadi ya wanawake kuliko wanaume.
Duniani na hata Tanzania tunajua kuwa idadi ya jinsia ya kike ni kubwa kwa mujibu wa namba za sensa kuliko idadi ya wanaume.
Kwa muktadha wa manufaa na tija za asili mtizamo ya hesabu na idadi hiyo ni kinyume chake.
Kwa mahesabu madogo ya asili na kibaolojia kila mwanaume mmoja anahitaji kuoa au kumiliki kimahusiano wanawake 72 hadi 100 kuleta tija ya kiasili.
Kibaolojia mwanaume anauwezo wa kuzalisha wote hao ndani ya mwaka 1 wa siku 365.
Hii ikizingatia busara za kibaolojia za kuamini kwamba huyu mwanaume atakua angalau anakaa siku 3 hadi 5 bila kushiriki tendo hivyo kwa siku 365 anauwezo wa kuzalisha wanawake 72 hadi 100.
Sasa kama leo kila mwanaume atapewa wanawake 72 au 100 kama asili inavyotaka unadhani wanawake watatosha...???
Hivyo bado wanawake ni bidhaa adimu ndiyo maana Asili inaendelea kuwazalisha zaidi.
Ubongo wa asili haujui mambo ya mke mmoja au wake wanne,Asili haijui mambo ya sheria za kibinadamu,asili inaangalia sheria za asili...
Ndio maana asili imemuumba mwanaume as a "human production machine" Always men are sexally Lust...
Sheria ambazo zimemgeuza mwanaume a-behave tofauti,ndio maana ubakaji,ushoga,kujichua,mapenzi na wanyama vimeshamili.
Hivyo ikitokea kwa sasa mwanamke akakosa mume hilo sio kosa la asili ni kosa la sheria za kibinadamu.
Baada ya asili kuingiliwa haya yakatokea
"contraception, celibacy, marriage, adultery, casual sex, flirting, prostitution, homosexuality, masturbation, seduction, rape, sexual harassment, sadomasochism, pornography, bestiality, and pedophilia."
Na hatari ya ushoga inaweza kuja kua janga kuu kama mifumo ya sayansi za kidunia na binadamu wataendelea kuichezea asili.
Kwasababu sasa hivi kuna sayansi ambazo zinaruhusu hadi wanandoa kuchagua jinsia ya mtoto,na wengi wanachagua jinsia ya kiume.
Sasa kama kila ndoa kupitia sayansi itachagua mtoto wa kiume,kwasababu wengi huamini mtoto wa kiume ndiyo ufahari,hawa watoto wakiume wakiwa wengi watakuja kuwaoa kina nani?????
Sayansi hizo zinakinzana na asili,itafika wakati wanawake watazidi kupungua zaidi na hapo ndo italazimu wanaume kugeuzana.
Swali la kujiuliza kama mpango wa asili ulikua mwanaume mmoja mke mmoja au wanne kwanini huyu mwanaume asili isinge muumba awe na kipindi cha heat cha mara moja kama wanawake walivyo...
Kwanini mwanaume kila siku yupo katika heat harafu apewe mke mmoja au wanne??!
Sababu asili imemuwezesha mwanaume kuzalisha wanawake 72 hadi 100 kwa mwaka na mwanamke kuzaa mtoto mmoja kwa mwaka.
Na kwa mujibu wa Asili tendo la ndoa sio kwasababu ya starehe ni kwasababu ya uumbaji..
Immanuel Kant said "sexual desire is morally wrong, sex is for reproduction not for a preasure"
Sasa kwa mke mmoja au wanne je kila tendo lako lina lengo la uumbaji au starehe...
Je ni viumbe wangapi wamepotea kwa sheria hizi za kibinadamu zinazopingana na asili?
Anyway kwa mujibu wa Asili na tungeishi vile asili inavyotaka Wanawake ni wachache zaidi kuliko wanaume..
Kwa asili mwanamke anahitajika zaidi duniani kuliko mwanaume,ndio maana katika uumbaji mbegu ya kike iko fast kuliko yabkiume kufikia yai kufanya uumbaji,na pia baada ya kuzaliwa mwanamke yuko fast kukua kufikia majukumu yake.....because nature need more women as you think...
Kutumia sayansi na kusababisha watu wakawa na maamuzi dhidi ya asili harafu mnakuja kushangaa matokeo ya asili kuharibiwa huo ni ujinga ulio pitiliza...
Kama kila familia itataka kua na mtoto wa kiume nini kitatokea??????
Na kama binadamu ataendelea kupingana na asili, basi fahamu kuanzia sasa ukimuona changudoa au mchepuko jua huyo ni mke wa mtu kiasili,ila kwa klhali aliyonayo sasa ni matokea ya uharibifu wa asili ya mahusiano ya kijamii yaliosababishwa na kanuni,sheria na utaratibu wa kanuni hovyo za kibinadamu....
Na tatizo hili halita isha milele kama tu binadamu akiendelea kipingana na asili....
Kibangubangu present.
kanisa gani mfanoMakanisani ushoga umetamalaki na bendera wameweka
Hahaha unataka wote wawaze kama wewe ?Dunia yote iwe ya wasagajiMiafrika kwa ngono!
Wenzenu wanawaza kuvumbua vitu ili kuendana na zama tunazoishi sasa wenyewe wanawaza kungonoka eti asili,
Ukishakua na wake 10 na watoto 100 utawapa nini?
Unaweza kuwapa huduma zote stahiki kama Chakula bora, Malazi bora, Afya bora, Elimu bora, n.k au tena mtaenda kutembeza bakuli kwa wenzenu huko Duniani wawawezeshe,
Hebu mjaribu kuwaza vitu vyenye tija kwa taifa na bara lenu acheni mawazo ya ngono ngono mnatia kinyaaa.
Wewe hizo mila zako zimekusaidia nini?Unakuta jitu ni lisomi au li staa fulani hivi lakini linalea mtoto wake kindezi, linaiga tamaduni za nje, lenyewe tu linaishi kihuni, sasa huyo mtoto wake atakopi wapi maadili mazuri? Mila nyingi nzuri zimeachwa, tena zingine zikaundiwa kampeni zifutiliwe mbali na kutungiwa sheria kali za kipumbavu zisifuatwe, wakati hizo mila ziliwekwa kuzuia ushenzi huu, mijitu ikajiona imeelimika ikaanza kuunda vi NGOs kujipatia fedha toka ughaibuni kupinga mila zetu nzuri zilizokuwa zinazuia upuuzi huu. Leo mambo yameharika vilio vinatawala tufuate mila zetu ambazo hazipo, zilifutiliwa mbali na wasomi wetu waliopigwa upofu wasijue wanamtumikia shetani ambaye sasa anawatafuna kisawasawa mpaka washike adabu kuacha mila zao asilia zizowahifadhia utu wao. Ni ujuha kulia unanyeshewa mvua huku maji unayanywa
Mnasikitisha mnapowaza ngono tu, yaan mmekua kama mitahira ya ngonoHahaha unataka wote wawaze kama wewe ?Dunia yote iwe ya wasagaji
Matusi ni ya nn sasa? Kama una support ushoga na usagaji tafuta njia ambayo utaona ni sahihi kufanya hyo kazi.Mnasikitisha mnapowaza ngono tu, yaan mmekua kama mitahira ya ngono
Wewe mwenyewe unasapoti ushoga ndio maana hupo kwenye huu uzi kila siku unaranda randa,Matusi ni ya nn sasa? Kama una support ushoga na usagaji tafuta njia ambayo utaona ni sahihi kufanya hyo kazi.
Usije apa JF kwenye thread za watu ukitaka kila mtu awaze kufanya ushetani wako.
kaniki mbona bado navaa? Tena najipaka na mafuta ya ng'ombe, nakula chakula cha asili kama huo ugali unaouona kwenye avator yangu, nakunywa maji ya mitungini, vibuyu na vipeyu, nakula matunda pori na mizizi, ndoa za kimila kama zamani. Jasiri haachi asili yakeWewe hizo mila zako zimekusaidia nini?
Mbona huendi kusali kwenye miti na mapango?
Mbona huvai kaniki na magome ya miti?
Mbona unaabudu kwa kutumia Dini zao?
Mbona unatumia kalenda zao?
Mbona unatumia teknolojia yao?
Ukiulizwa maadili yako ni yapi hujui.
kaniki mbona bado navaa? Tena najipaka na mafuta ya ng'ombe, nakula chakula cha asili kama huo ugali unaouona kwenye avator yangu, nakunywa maji ya mitungini, vibuyu na vibeyu, nakula matunda pori na mizizi, ndoa za kimila kama zamani. Jasiri haachi asili yake
Wewe sindo ulikua unatafuta bwana akutie ? ila ukaja na gia ya kutaka mimba? Nakushangaa unaandika upuuzi tuWewe mwenyewe unasapoti ushoga ndio maana hupo kwenye huu uzi kila siku unaranda randa,
Unanipangia cha kucomment jf bando na simu ni vyako? Mtu akileta mada maana yake ni nini si ijadiliwe?
Wewe kama papai wafate watu kimya kimya huko pm usinitolee macho mimi