Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ukishaona mtu anagusia mambo mazito kama ushoga yawezekana ye pia alikuwa na mienendo hiyo na anahisi kuna watu wanajua mienendo yake na chanzo ya hilo tatizo ni huko huko.

Hivi tujiulize humu ambao sio mashoga, mwanaume mwenzio anaanzaje kuja kukutongoza? Ukiona hivyo jua lazima kuna vitu ambavyo kwako haviko sawa.

Mi namshauri akae kimya akiendelea kuongea kuna mambo yake watu wanayajua itamletea shida zaidi.
 
Wanajuana kwa nn akatae, kukataa tu huwez pewa hukumu kubwa kama hii , vijana tujifunze kuwa wastaarabu
 
Unauliza Mwanaume mwenzio anaanzaje kuja kukutongoza? We vipi Swali gani hili[emoji15][emoji15] yaani ni sawa na kusema ushoga haupo. Kwani hao mashoga waliopo si ni wanaume kwa wanaume? Walianzaje sasa hayo mahusiano yao kama hawajatongozana?
 
Hii italeta mtafaruku mkubwa sana
 
Kuna dini watu wanaruhusiwa kuoa wake wanne, nyingine japo haziruhusu lake waumini wake wengi tu wana wake zaidi ya mmoja.
 
Kuna dini watu wanaruhusiwa kuoa wake wanne, nyingine japo haziruhusu lake waumini wake wengi tu wana wake zaidi ya mmoja.
Hata hao wanna ni wachache, yafaaa wawe 6. Na hizo dini zinazotaka waumini wao waoe mke mmoja watafakari upya. Wanamdanganya nani wakati wanachepuka kila uchwao?
 
Hili sasa ni janga la kijamii maana kila siku ni aibu tu kwa taifa letu.

Ushoga umetapakaa

Bila kudhibitiwa kwa nguvu haiwezekani

Vipimo vifanyike kwa nguvu na baada ya miezi tutakuwa tumewabaini mashoga na kufungwa.
 
Acha upumbavu basi mkuu

Nchi Ina matatizo mengi sana ya kukabiliana nayo, wananchi wameshindwa kupewa huduma muhimu kama maji, umeme , afya n.k Leo hii uwaambie wapange foleni kupimwa Marinda..... Kua serious basi

Afu wengine huko ni Kama ikulu mkisema mtumie nguvu kwenye vipimo mpaka zoezi likamilike idadi ya watu nchini Itakua imepungua, waanze ni kujenga mochwari za ziada kwanza!!
 
Hili sasa ni janga la kijamii maana kila siku ni aibu tu kwa taifa letu.

Ushoga umetapakaa

Bila kudhibitiwa kwa nguvu haiwezekani

Vipimo vifanyike kwa nguvu na baada ya miezi tutakuwa tumewabaini mashoga na kufungwa.
Tunasheria kali hapa Tanzania ila sasa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kipimo chenyewe ndo kujaribu vidole viwili kama kwa afande rama?Siungi mkono hoja,labda waje na teknolojia kama ya x~ray
 
Kipimo lazima kiwe kimoja, hakuna double standards [emoji16].
Kama kipimo chenyewe ndo kujaribu vidole viwili kama kwa afande rama?Siungi mkono hoja,labda waje na teknolojia kama ya x~ray
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…