Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,717
- 4,414
Tubatumia fake id, sema wamefanyaje?Cocoda Njombe Tanzania Mungu awalaani mnajifanya kusaidia kumbe mnaharibu watoto wetu, kilichotokea shule ya sekondari Yako Sina hamu
Tubatumia fake id, sema wamefanyaje?Cocoda Njombe Tanzania Mungu awalaani mnajifanya kusaidia kumbe mnaharibu watoto wetu, kilichotokea shule ya sekondari Yako Sina hamu
Nachomaanisha hata Rais akitoa tamko hamna kitachobadilika, mabadiliko yanaanzia na kila mmoja wetu....pia hii kampeni IPO serious, target Yao sio Sisi watu wazima, hivi mbaba Kama wewe utaahidiwa nini Ili uwe papai? Wao wanataka hao watoto Ili waharibu kizazi kijacho, hivyo tulinde vijana wetu, tamko halilei watoto.Wee nashindwa kukuelewa je una maana MTU mzima ni haki kuwa shoga ila kwa mtoto Ni haramu? Au tuseme mtu mzima mwanaume ni halali kumwingilia mwanamke kinyume cha maumbile na Ni kosa pale inapokuwa Ni mtoto ameingiliwa? Mnajaribu kuhamisha magoli lakini semeni ukweli kuwa kuna mahali tumeshajifunga na mikataba sasa mnakosa pakutokea
mods futeni hizi nyuzi , zimezidi humuDaah hii sio poa kabisa watu wangu....
Nasikia eti eti karibu 90% ya midume inayoishi SINZA ni mishoga!! daah sio poa kabisa! Na Serekali ipo tu..daah sio poa aisee!!!
Daah hii sio poa kabisa watu wangu....
Nasikia eti eti karibu 90% ya midume inayoishi SINZA ni mishoga!! daah sio poa kabisa! Na Serekali ipo tu..daah sio poa aisee!!!
Unatuchafua wakazi wa sinza tafadhali
vijana ni wapuuzi sana,kila wakati tujadili ushoga kweli !!!Nyuzi za kijinga jinga tuu, serikali ina mambo mengi ya kufanya , majitu ni mazinzi ila yamekomalia la ushoga
Tulia wewe...Acha tabia hiyo Ndugu, unalidharirisha Taifa lakoNyuzi za kijinga jinga tuu, serikali ina mambo mengi ya kufanya , majitu ni mazinzi ila yamekomalia la ushoga
Acheni ushoga nyie watu!!!vijana ni wapuuzi sana,kila wakati tujadili ushoga kweli !!!
tukisema wanatuona wabaya,
Daah hii sio poa kabisa watu wangu....
Nasikia eti eti karibu 90% ya midume inayoishi SINZA ni mishoga!! daah sio poa kabisa! Na Serekali ipo tu..daah sio poa aisee!!!
Nimesikia, lakini source ya mambo yote hayo ni ushoga!Ila hujasikia nchi kutafunwa ndugu?
View attachment 2581144
Kulikoni kuhangaika na vi*yeo vya mapunga kama cha kwako kiko salama?
Nakazia nakaziaWANAUME NDIO CHANZO CHA USHOGA, SIKU MKIACHA KUCHOKOANA KINYUME MKAINGIA KWENYE MAHUSIANO YENYE AFYA NA WANAWAKE DUNIA ITAPONA
tafuta kazi kijanaOya, acha ushoga bob!!!
🙏Nakazia nakazia
Wanaume wa DarNakazia nakazia
Shukuru nimekuita Bob..., Nimekupa Heshima sana Ndugu. Maana sidhani kama unazo fikra kama za Bob Makani , au Bob Marleytafuta kazi kijana
halafu sio kila watu unawaita bob