Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ni kheri mwanamke kuwa na mambo ya kiume kuliko mwanaume kuwa na mambo ya kike,, mwanamke akiingia na mwanaume ndani hata akiliwa kinyume who knows, ingia wewe na mwanaume ndani miguno ikisikika tu unakesi ya kujibu, we acha kama ilivyo tuu unataka waruhusu na wanaume au
 
Inasikitisha mwanamke anaamua kumpa tigo mtu wake ili tu amtulize, kama ni wakuchepuka atachepuka tuu jipe thaman mtoto wa kike kama anataka kinyume cha maumbile awafate kina mwajuma nichokonoe. Aibu inakujaga labour kwenye kujifungua, manesi wanawalamba sana makofi pale anaambiwa push, yeye anapush mtoto na uharo.
 
😂😂😂😂
Asee sijui mtu unawezaje kula ile mahali duuh...
 
Kama mwanao anaangalia channel za DISNEY basi kuna kikatuni kipo ni kishoga na wamekivesha nguo za upinde, nimesahau tu juna la yule katuni
 
Kama kichwa Cha thread hapo juu nataka niwaambie kuwa ushoga kwa Sasa ni fursa Kama fursa nyingine kupitia kwenye ngo zinazo pigania haki zao hao ma lbgtq....mfano kuomba ruzuku kupitia foundation mbali mbali,kuajiriwA kwenye hizo ng o....nk

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Umewaza ujinga sana..
 
Mjinga na mpuuzi ni wewe ambaye unasema rangi za upinde wa mvua ni ushoga. TENA UNASEMA JAPO WALIWEKA KWA KIFICHO ULIANGALIA KWA MAKINI HADI UKAONA. Dhibiti ushoga kwa kueleza ukweli kwamba kufira hata mwanamke ni mbaya. Rangi? Kuna shoga kaumba rangi? TUSIJITOE UFAHAMU.
 
Wewe uliunganishiwa DStv ya Africa kusini, mwambie fundi wako abadili uwelekeo wa dish ili uwe unapata DStv ya Dubai direct.
 
unataka kusemaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…