Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wao kutumia hizo rangi kama utambulisho wao hakuwezi kutufanya tuanze kupambana na rangi ambazo zipo kiasili, hii maana yake ni kwamba tuanze kupambana au kuchukia rangi za upinde wa mvua zikionekana huko angani.........mimi nafikiri jambo la muhimu ni kupambana na vitendo vyao na siyo kupambana na rangi ambazo zipo kiasili.​
 
Napata shida na kuona aibu Sana kulizungumzia hili swala!! Najiuliza unawezaje kumjamani mwanaume mwenzio wakata akina dada tena warembo wamefurika mitaani!??Huwa nashindwa nianzie wapi!! Hebu ona hii pisi picha!! Niache vitu vya mifano hii nilifate dume lenye kengele kama mm!?? Hapana hapanaaaaaaaView attachment 2582182
Kama hao uwe na Hela
 
Kama kichwa Cha thread hapo juu nataka niwaambie kuwa ushoga kwa Sasa ni fursa Kama fursa nyingine kupitia kwenye ngo zinazo pigania haki zao hao ma lbgtq....mfano kuomba ruzuku kupitia foundation mbali mbali,kuajiriwA kwenye hizo ng o....nk

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
ukimkataa Shetani Mkatae yeye na kazi zake zote. Sio hauli nyama ya nguruwe ila unapenda mchuzi wake.
 
Kama kichwa Cha thread hapo juu nataka niwaambie kuwa ushoga kwa Sasa ni fursa Kama fursa nyingine kupitia kwenye ngo zinazo pigania haki zao hao ma lbgtq....mfano kuomba ruzuku kupitia foundation mbali mbali,kuajiriwA kwenye hizo ng o....nk

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mtatolewa sana marinda kwa tamaa za kisnge

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Napata shida na kuona aibu Sana kulizungumzia hili swala!! Najiuliza unawezaje kumjamani mwanaume mwenzio wakata akina dada tena warembo wamefurika mitaani!??Huwa nashindwa nianzie wapi!! Hebu ona hii pisi picha!! Niache vitu vya mifano hii nilifate dume lenye kengele kama mm!?? Hapana hapanaaaaaaaView attachment 2582182
Mamaae hebu naomba nichukue hii picha nikajilipue moja la fasta.
 
Kama kichwa Cha thread hapo juu nataka niwaambie kuwa ushoga kwa Sasa ni fursa Kama fursa nyingine kupitia kwenye ngo zinazo pigania haki zao hao ma lbgtq....mfano kuomba ruzuku kupitia foundation mbali mbali,kuajiriwA kwenye hizo ng o....nk

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We ni jinga saaana km una degree we ni senge senge bwabwa yaan upate Mali kupitia ufirauni shenzi na mbwa Koko wewe
 
Hizi rangi zamani zilikuwa zinatumika kwenye shule za awali, majengo ya sule za awali za watoto zilikuwa na hizo rangi, baadhi ya vitabu vya awali vilikuwa na hizo rangi, baadhi ya vipindi vya watoto na hata kimoja maarufu hapa nchini Cha wanyama wanaongea, zipo hizo rangi

Kwa kuwa Sasa imejulikana kuwa rangi hizo zinatumika tofauti, ifanyike operation ya wizara ya elimu kutembelea shule zote za awali kuondoa michoro yoyote ya rangi hizo ili kulinda vizazi vijavyo. Na. Vipindi vya Tv vya watoto, Kila Tv inayorusha ihakikishe episode zote zenye rangi hizo za kuzimu zinafutwa kabla hawajarusha hewani
 
kwenye lile tangazo wanaleta za rainbow, yaani zile alama za upinde zinaonekana japo kwa kificho kificho
Hizo za rainbow sio nzuri mkuu Bora wangeleta za Pasaka, tuna maadiri yetu sisi
 
Hivi ni mimi pekee yangu nimeona na naendelea kuona????

Jana wakati naangalia mpira kupitia dstv channel 223 supersport likawa linakuja tangazo la golf kipindi cha mapumziko, kwenye lile tangazo wanaleta za rainbow, yaani zile alama za upinde zinaonekana japo kwa kificho kificho, na hata tena wakati naangalia marudio ya mpira wa jana Man Utd na Everton nimeliona lile tangazo lao la upinde.

Hata leo kwenye mechi kali ya Liverpool na Arsenal watakua wanaleta hilo tangazo lao,jamani hivi kwa nini hili suala linapigiwa chapuo sana?? Dstv huna napenda kuangalia mpira, kama wanaonyesha hayo mambo yao ya ajabu ajabu nitaacha kabisa kulipia hii huduma yao kusema na ukweli,kijana wangumakawa anasema kuna channel nyingi sana zimefungiwa dstv,maana nilikua sijui kama kuna channel za dstv zimefungiwa!!

Serikali yangu ya Tanzania,taasisi za dini kama Bakwata,Tec,na wengine wenye nguvu,tuungane pamoja kukemea huu ujinga, sisi tuna mila na tamaduni zetu,pia hata maandiko yanasema wazi,familia ni Baba,Mama na watoto, sasa iweje leo hii mwanaume aoe mwanaume mwenzake au mwanamke aoe mwanamke mwenzake?? Kuna familia kweli hapo???
Tatizo ni wewe sio wao!!

Hivi kwa akili yako upinde wa mvua una uhusiano gani na ushoga!!?

Nani alieanzisha hiyo logic na wewe ukanasa!!?

Hivi upinde wa mvua ulikuwepo enzi za nuhu kwanini leo utumike kama nembo ya ushoga na wewe uamini ni kweli!!?

Kwanini uingie mkenge kama huo wa kuamini upinde wa mvua kuwa nembo ya ushoga wakati upinde ulishakuwepo kabla ya ushoga kuwepo na haukumaanisha ushoga!!?

Kama je ingekua benders ya kijani tu ungeamini ni ushoga huo!!!?

Tunakuza hii dhana ya upinde na ushoga wakati haina uhalisia wa kimantiki!! We unavouona upinde wa mvua na rangi zake unauhusiano wote na mwanamke kuinamishwa na mwanamme mwenzie!!!?

We unadhani hivyo kweli!!!?

Ni Nani huyo unaempa umaarufu alieanzisha hii move hadi uikubali na kumpa kichwa!!!?

Yaani huyo aloeleta hiyo logo na logic kapata umaarufu wa bure coz hakuna uhusiano wa rangi za upinde wa mvua na ushoga unamaanisha agano la mungu kwa nuhu ni la ushoga!!!?

MI NADHANI TUANZE KUFIKIRI UPYA DHANA HII!!
 
TUTOLEE MFANO:-

ZAMANI WATU WANAUME WALIKUWA WANAVAA SKETI...ILA IMETOKEA SASA HIVI WADADA WANAZIVAA...VIPI UTAENDELEA KUVAA SKETI KWA KUSEMA HAIATHIRI KWA SASA HIVI WANAWAKE KUVAA SKETI..?
 
TUTOLEE MFANO:-

ZAMANI WATU WANAUME WALIKUWA WANAVAA SKETI...ILA IMETOKEA SASA HIVI WADADA WANAZIVAA...VIPI UTAENDELEA KUVAA SKETI KWA KUSEMA HAIATHIRI KWA SASA HIVI WANAWAKE KUVAA SKETI..?
Kuvaa sketi wanaume inategemea utamaduni. Kabila la wa "Scott" lina utamaduni wa kuvaa sketi tena za rangi maalumu. Huu ni utamaduni wao, haina maana ni mashoga. Mbona Wapemba/Wazanzibari?Waarabu wanavaa misuli kama vazi la kiutamaduni, ama na lenyewe ni la kishoga!
 
Ushoga ulikuwepo tokea wako wakina anty mudy

Ova
 
Kauli tata kuhusu suala la ushoga, kauli ya Rais sikutegemea kama itakuwa hivo 👇
Tatizo uwasilishaji ..kipengere.. inamaana ushoga umeruhusiwa Tanzania isipokuwa watoto.

/ Daah tuko na Viongozi wa Wasio kuwa na msimamo aswa nilitegemea nisikie kauli moja (Ushoga Marufuku) ila wafanyane wao wanaosema ni haki ila sio Watoto 😭

Huu ni msiba kiukweli, afu wanawake wanachekelea hawajui watoto wakiume wanapungua kwa kasi ya ajabu aisee. Mkuu wa Nchi anaongea wanawake wanachekelea. Tanzania moto sio punde Nchi ya Amani na huru ....
 
Tatizo uwasilishaji ..kipengere.. inamaana ushoga umeruhusiwa Tanzania isipokuwa watoto/ Daah tuko na Viongozi wa Wasio kuwa na msimamo aswa nilitegemea nisikie kauli moja (Ushoga Marufuku) ila wafanyane wao wanaosema ni haki ila sio Watoto 😭

Huu ni msiba kiukweli, afu wanawake wanachekelea hawajui watoto wakiume wanapungua kwa kasi ya ajabu aisee. Mkuu wa Nchi anaongea wanawake wanachekelea. Tanzania moto sio punde Nchi ya Amani na huru ....
Unazingua wapi aliporuhusu?

Kasema km mnaleteana ushoga fanyaneni wakubwa kwa wakubwa wenye misuli yenu msiwalegeze watoto, watoto wa kiume wote wakilegezwa wanawake watafanya kazi peke yao akasema haiwezekani, sasa wewe boya Nazi ulitaka asemeje wakati anapowakataza watu wasifanye ushoga hawataki kuacha unataka afanyaje awaue au?
 
Back
Top Bottom