Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Huwezi kupambana na usagaji au ushoga na huku tumeruhusu mambo ya haki sawa kwa wote
Haki sawa kwa wote imetupotezea tamaduni zetu watu weusi na sio watu weusi peke yao
Haki sawa kwa wote ndo chanzo cha matatizo mengi duniani
Mungu hakuwa mjinga ambaye alisema kuwa mwanaume na mwanamke sio sawa
Leo kuna wanaume ambao wanaigiza kama wanawake
Kuna wanawake wanaigiza kama wanaume
Sheria ipitishwe kuwa mwanaume yeyote atakaye igiza kama mwanamke azabu yake ni milioni 200
Ivo ivo kwa wanawake
Mwanaume asimame kama mwanaume
Na mwanamke asimame kama mwanamke hapo tutakuwa tumepunguza kwa kiasi kikubwa ugonjwa huu wa usagaji pamoja na ushoga
Hoja ya Mungu haina mashiko, jaribu nyingine.

Ukiambiwa uthibitishe huyo Mungu yupo huwezi.
 
Wanawake kelele hakuna maana ukichoka tigo unaamia Vodacom sasa hizi midume unaamia wapi.

Kelele ziongezwe tuu. Ili tukitaka mikundu tupate kwa wanawake tuu
 
Tukubali tukatae Ushoga na Usagaji vimeshamirishwa (siyo vimeanzishwa) Afrika na vifuatavyo:-

1. Ulozi.

2. Sanaa.

3. Magereza.

4. Media.

5. Mitandao Jamii.

6. Taasisi za Elimu.

7. Tasnia ya Ukarimu (Hospitality Industry) hususan madanguro.

8. Dini (Useja/Celibacy).

9. Tasnia ya Urembo (Beauty Industry) hususan saloons.

10. Tasnia ya Burudani.

NB.
Sheria zetu dhidi ya Ushoga na Usagaji hazina budi kumulika na kudhibiti vishamirishi hivyo 1 - 10.

DR Congo ikifuatiwa na Uganda ni lango kuu lililoingiza laana hii kwa nchi yetu kuanzia mwaka wa 1985 kuja mbele huku.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni mimi pekee yangu nimeona na naendelea kuona????

Jana wakati naangalia mpira kupitia dstv channel 223 supersport likawa linakuja tangazo la golf kipindi cha mapumziko, kwenye lile tangazo wanaleta za rainbow, yaani zile alama za upinde zinaonekana japo kwa kificho kificho, na hata tena wakati naangalia marudio ya mpira wa jana Man Utd na Everton nimeliona lile tangazo lao la upinde.

Hata leo kwenye mechi kali ya Liverpool na Arsenal watakua wanaleta hilo tangazo lao,jamani hivi kwa nini hili suala linapigiwa chapuo sana?? Dstv huna napenda kuangalia mpira, kama wanaonyesha hayo mambo yao ya ajabu ajabu nitaacha kabisa kulipia hii huduma yao kusema na ukweli,kijana wangumakawa anasema kuna channel nyingi sana zimefungiwa dstv,maana nilikua sijui kama kuna channel za dstv zimefungiwa!!

Serikali yangu ya Tanzania,taasisi za dini kama Bakwata,Tec,na wengine wenye nguvu,tuungane pamoja kukemea huu ujinga, sisi tuna mila na tamaduni zetu,pia hata maandiko yanasema wazi,familia ni Baba,Mama na watoto, sasa iweje leo hii mwanaume aoe mwanaume mwenzake au mwanamke aoe mwanamke mwenzake?? Kuna familia kweli hapo???
 
Back
Top Bottom