Uncle Araali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 950
- 1,262
Aiseee,una laana mkuu.Huko sasa ndio pa kwenda kuishi, halafu sikujua kama na Congo wamekataa unafki nitawatembelea pia,
Vipi na hali ya Ndoa wanafungisha pia? ndugu mleta habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee,una laana mkuu.Huko sasa ndio pa kwenda kuishi, halafu sikujua kama na Congo wamekataa unafki nitawatembelea pia,
Vipi na hali ya Ndoa wanafungisha pia? ndugu mleta habari.
Kuhalalishwa manake yote hayo yanafanyikaHuko sasa ndio pa kwenda kuishi, halafu sikujua kama na Congo wamekataa unafki nitawatembelea pia,
Vipi na hali ya Ndoa wanafungisha pia? ndugu mleta habari.
Inakataa lakini watu wanakunjana kwa kasi sana, hapo ndipo tatizo lilipo,Huu upepo unavuma kwa kasi ya ajabu sana, tanzania itaponea wapi? Tanzania ikatae utamaduni huo wa mapenzi ya jinsia moja na isilazimishwe kuunga mkono ushetani huo
Huu upepo unavuma kwa kasi ya ajabu sana, tanzania itaponea wapi? Tanzania ikatae utamaduni huo wa mapenzi ya jinsia moja na isilazimishwe kuunga mkono ushetani huo
Hapo watu wajiongeze
Kawaida sanasikuhizi wanafanya mpaka birthday zao hadharani
Kwamba hawapo?Huu upepo unavuma kwa kasi ya ajabu sana, Tanzania itaponea wapi?
Tanzania ikatae utamaduni huo wa mapenzi ya jinsia moja na isilazimishwe kuunga mkono ushetani huo
laana kama hizi ningekua na uwezo tunazimaliza kimya kimya bila keleleHuko sasa ndio pa kwenda kuishi, halafu sikujua kama na Congo wamekataa unafki nitawatembelea pia.
Vipi na hali ya Ndoa wanafungisha pia? ndugu mleta habari.
Mnataka kuwanyima haki ya kusherehekea siku yao ya kuzaliwa kama vile hawakuzaliwa!sikuhizi wanafanya mpaka birthday zao hadharani
Asee ni ngumu sana kwa watu hawa kuacha tabia hizo, tumeshajaribu kumwachisha ndugu yetu wa kiume imeshindikana kabisa, tulitumia njia zote, mpaka polisi tumempeleka lakin cha ajabu dogo yule akawa mke wa afande kufika kule akaliwa tena ikabidi tumwache, dogo ni handsome inafikia mahali tunamkabizi kwa Pastor lakini ajabu Pastor anamla tena, sisi tunasubiri majibu Pastor kimya, polisi kimya, tukakata tamaaWe si ulikuja hapa kujutia kuwa msagaji Naona Pepo limekurudia tena
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app