Confession
JF-Expert Member
- Mar 30, 2019
- 817
- 2,628
Curiosity killed the cat dearKwamba ulifukua mitaro ya jamaa?? Au sijaelewa vizuri maana kidhungu nacho kwa sisi tuliosoma mkanyageni shule ya msingi ni shida kidogo
Curiosity killed the cat dearKwamba ulifukua mitaro ya jamaa?? Au sijaelewa vizuri maana kidhungu nacho kwa sisi tuliosoma mkanyageni shule ya msingi ni shida kidogo
wala sio kisasi ila ujue na mimi naweza kufanya kama ufanyavyo
Ukisali Mungu atakuongoza and I'm serious on this dearSitaki stress bhna mie ndio maana ata sifwatilih mwanaume
Ninyi mkipigiwa wake zenu mnaumia kumbeIn the long run, wewe ndiye utakuwa muathirika zaidi ya huyo mwanaume wako aliyetangulia kukucheat.
Tulieni, anapocheat kubali kusamehe au kama hauwezi achana nae.
mama mkulu anatamka hilo jambo kijanja asije akanukuliwa kama ndiyo msimamo wa serikali. Wale mabalozi watamjia juu, bora awaachie wanadini wajitamkie watakavyoHii issue iko tricked na ina macho makali ya mbali,watu wakae kwa tahadhari pana. Sijui sn lkn nionavyo itakuja ing'oke na watawala na vyama vya siasa vimetawala miaka mingi (hasa wataojifanya rigid). Nijuavyo wale jamaa hajawah ku fail wanapolitaka jambo lao.
Kwa mbalii nayaona yakirejelea ya kina Saddam,Gadaf. Ndiy maana Mama Mkulu wetu hapa anaiongelea kijanja sana
Ninyi mkipigiwa wake zenu mnaumia kumbe
KivipiNikijua anapigwa na mwanaume mwingine, atakayeumia ni yeye sio mimi.
Kwaiyo wewe unaliwa mkuuKwa sababu anapenda wanaume wenzie and you can't change that. I'm telling you this because I am a man who have dated two married men na wote walioa kwa presha za umri na familia, not out of love. So Pray harder yasikukute dear
Aliyepigwa Ni yeye afu mimi niumie ili iwejeKivipi
Ujaelewa nini? Yeye ndio alikuwa anafukuliwa na hao majamaa wawiliKwamba ulifukua mitaro ya jamaa?? Au sijaelewa vizuri maana kidhungu nacho kwa sisi tuliosoma mkanyageni shule ya msingi ni shida kidogo
Oh wewe basi mzuriAliyepigwa Ni yeye afu mimi niumie ili iweje
Inawezekana Tanzania iliitangulia Msumbiji. Sisi ni wanafiki tu, ushoga upo halafu tunajidai eti tukatae utamaduni w nje. Labda useme tuzuie na kukomesha, lakini ukisema tukatae usije wakati tayari upo, ni kujisaidia barabarani huku umeziba uso tuTanzania ikatae utamaduni huo wa mapenzi ya jinsia moja na isilazimishwe kuunga mkono ushetani huo
Sasa hivi ime-expand zaidi: LGBTQIJGood news among LGBTQI
ushoga upo sana tu muda mrefu hakuna aliyepaza sauti kupinga kama sasa. Dar kulikuwa na mashoga maarufu tena yalionekana waziwazi kwenye sehemu za burudani huku wengine wakijiremba kama wanawake na kujumuika kwenye mambo ya wanawake hakukuwa na kelele kama sasa, ina maana jamii haikuwaona hao mashoga ya kipindi hicho? Akina aunt..........Inawezekana Tanzania iliitangulia Msumbiji. Sisi ni wanafiki tu, ushoga upo halafu tunajidai eti tukatae utamaduni w nje. Labda useme tuzuie na kukomesha, lakini ukisema tukatae usije wakati tayari upo, ni kujisaidia barabarani huku umeziba uso tu
Mnafaidika nini kuliwa tako?Huko sasa ndio pa kwenda kuishi, halafu sikujua kama na Congo wamekataa unafki nitawatembelea pia.
Vipi na hali ya Ndoa wanafungisha pia? ndugu mleta habari.
Hapo ni kwamba kiuhalisia, imekubalika na serikali ya Tanzania, but hao wanasiasa hawako tayari kwenda nalo public kwa hofu ya wananchi.Hapo watu wajiongeze
Nilizuga ili aje mzima mzima nielewe zaidi kwamba alikobolewa mtaro,hatari sana mkuuUjaelewa nini? Yeye ndio alikuwa anafukuliwa na hao majamaa wawili