Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

TUTOLEE MFANO:-

ZAMANI WATU WANAUME WALIKUWA WANAVAA SKETI...ILA IMETOKEA SASA HIVI WADADA WANAZIVAA...VIPI UTAENDELEA KUVAA SKETI KWA KUSEMA HAIATHIRI KWA SASA HIVI WANAWAKE KUVAA SKETI..?
Kuvaa sketi wanaume inategemea utamaduni. Kabila la wa "Scott" lina utamaduni wa kuvaa sketi tena za rangi maalumu. Huu ni utamaduni wao, haina maana ni mashoga. Mbona Wapemba/Wazanzibari?Waarabu wanavaa misuli kama vazi la kiutamaduni, ama na lenyewe ni la kishoga!
 
Ushoga ulikuwepo tokea wako wakina anty mudy

Ova
 
Kauli tata kuhusu suala la ushoga, kauli ya Rais sikutegemea kama itakuwa hivo 👇
Tatizo uwasilishaji ..kipengere.. inamaana ushoga umeruhusiwa Tanzania isipokuwa watoto.

/ Daah tuko na Viongozi wa Wasio kuwa na msimamo aswa nilitegemea nisikie kauli moja (Ushoga Marufuku) ila wafanyane wao wanaosema ni haki ila sio Watoto 😭

Huu ni msiba kiukweli, afu wanawake wanachekelea hawajui watoto wakiume wanapungua kwa kasi ya ajabu aisee. Mkuu wa Nchi anaongea wanawake wanachekelea. Tanzania moto sio punde Nchi ya Amani na huru ....
 
Unazingua wapi aliporuhusu?

Kasema km mnaleteana ushoga fanyaneni wakubwa kwa wakubwa wenye misuli yenu msiwalegeze watoto, watoto wa kiume wote wakilegezwa wanawake watafanya kazi peke yao akasema haiwezekani, sasa wewe boya Nazi ulitaka asemeje wakati anapowakataza watu wasifanye ushoga hawataki kuacha unataka afanyaje awaue au?
 
I'm a Top gay.ila kusema kweli wengi wanaingia kwenye uchoko wa kutiwa wanaanza kama Mimi,hua wanaanza kua mabaasha,then unaona kawaida hata wewe kuliwa. Ila most of people nowdays are bisexual.
Kuhara ndo period zenu
 
Msumbiji imehalalisha mapenzi ya jinsia moja, na kuwa moja wapo wa nchi chache Afrika zinazohalalisha mapenzi ya jinsia moja.

Sheria hiyo iliyowekwa na wakoloni wa nchi hiyo Ureno iliondolewa na bunge la nchi. Watetezi wa haki za wapenzi wa jinsia moja, wametaja hatua hiyo kama ushindi mkubwa.

Hata hivyo nchi nyingi za Afrika zimeweka sheria kali dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.

Nigeria ilipiga marufuku na kuweka adhabu ya kifungo cha miaka 14 jela kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Uganda nayo imeapa kurejesha sheria kali kuharamisha mapenzi ya jinsia moja.

Sheria ya awali ilitupiliwa nje na mahakama ya kikatiba.

Msumbiji sasa anajiunga na mataifa mengine ikiwa ni pamoja na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Ivory Coast na Afrika Kusini ambapo siyo hatia kuwa mpenzi wa jinsia moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…