Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kwani siku zote hujui slogan ya Tekashi?

Nywele zake hujagundua rangi?

BTW: pamoja na uwack wake kwenye mziki na kushindwa kutoa ngoma zenye kuigusa jamii ila amekuwa ni mtu wakujitolea sana kwa masikini.

Huyu ni msanii ambaye namuweka rank za juu kwenye swala zima la kujitolea, kina Jay Z wanamiliki hela nyingi lakini kujitolea kama anavyofanya huyu dogo sijawaona
 
Aisee, sikuwa nimemstukia aisee
 
UPINDE SIO ALAMA YA USHOGA AMA NEMBO YA USHOGA UPINDE NI AGANO LA MUNGU / IKIWAPENDEZA MABEBERU WABUNI ALAMA NYINGINE YA UPUUZI WAO.

Mwanzo 9:12
Mungu akasema, Hii ndiyo ishara ya agano nifanyalo kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai kilichoko pamoja nanyi, kwa vizazi vyote hata milele.

Mwanzo 9:13
Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.

Mwanzo 9:14
Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni,

Mwanzo 9:15
nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili.

Mwanzo 9:16
Basi huo upinde utakuwa winguni; nami nitauangalia nipate kulikumbuka agano la milele lililoko kati ya Mungu na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili kilichoko katika nchi.

Mwanzo 9:17
Mungu akamwambia Nuhu, Hii ndiyo ishara ya agano nililoliweka kati yangu na wote wenye mwili walioko katika nchi.
 
Wanatumia upinde ili ikitokea mungu anataka kuwaangamiza, anakuta alama za agano alilolitoa mwenyewe, hivyo watakua wanakwepa kuangamizwa.
 
Wanatumia upinde ili ikitokea mungu anataka kuwaangamiza, anakuta alama za agano alilolitoa mwenyewe, hivyo watakua wanakwepa kuangamizwa
Wame contradict na Bible, kwa ufundi wa hali ya juu sana, washenzi sana hawa watu.
 
Wame contradict na Bible, kwa ufundi wa hali ya juu sana, washenzi sana hawa watu.
Wako everywhere, kwenye pub na night club zile taa za usiku kuleta mandhari nzuri sasa hivi viwandani zinatoka rainbow colors.

Mtu aliyekamata uchumi wa dunia huwezi kushindana naye.

Mtaani kwangu kuna msikiti umepewa msaada wa kujengewa nursery school na madrasa, ile michoro iliyopo ni rainbow colors, naona waumini wanamshinikiza imam wao afute sijui itakuwaje.
 
Na imamu lazima apate kigugumizi kufuta, hatari sana
 
Wanatumia upinde ili ikitokea mungu anataka kuwaangamiza, anakuta alama za agano alilolitoa mwenyewe, hivyo watakua wanakwepa kuangamizwa
Hivi Mungu aki amua ku angamiza watu ana wekewa vikwazo?

Na je, Njia ya kuwa angamiza ni mvua ya gharika tu?

Kwamba binadamu anaweza kumzuia Mungu asimfanye kitu licha ya uovu anao tenda??
 
Pia Huu ushenzi umekuja na hulka ya vijana wengi kupenda kuvaa VIJIKAPUTULA, vijikaputula na kuonyesha tupaja twao 😈😈 kila pahala, I hate this too!.
 
Hivi Mungu aki amua ku angamiza watu ana wekewa vikwazo?

Na je, Njia ya kuwa angamiza ni mvua ya gharika tu?

Kwamba binadamu anaweza kumzuia Mungu asimfanye kitu licha ya uovu anao tenda??
Binadamu si chochote, hatuna uwezo wowote wa kuzuia Shari na hasira za mungu, bali wapo wanaomlazomisha apandishe hasira zake!, nami nawalaani, hasira za mungu ziwe juu yao, ukichunguza kwa umakini wazungu ndio mashetani halisi.
 
Huu ushoga unaichanganya jamii kiasi cha kutokujua ukweli wake na kuishia kutapatapa. Kuhusu upinde wa mvua kuhusishwa kuwa ni rangi za bendera ya mashoga na wasagaji huko ni kupotosha. Rangi za upinde wa mvua ziko tangu karne nyingi, ni mambo ya kisayansi kuhusu mwanga. Waliosoma soma physics watakuwa wamesoma topic ya mwanga na kukutana na kitu kinaitwa spectrum glass na jinsi inavyo transform rainbow colours. Tumekuwa tukipenda kuangalia upinde wa mvua angani unavyopendezesha anga kwa zile rangi saba. Tumechora sana upinde wa mvua, leo wanaibuka watu wanasema ni rangi za ushoga. Aah! wapi, mpangilio wa rangi za bendera ya ushoga hazifanani na mpangilio wa rangi za upinde wa mvua halisi
 
Hehehehe ze kala iz zea tu stey [emoji2380] how beautiful [emoji7]

Ngoja tukupe maana yake,

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili povuu.
 
Boraa wee umesemaaa,
Hata maisha ya kawaida straight huwa wabinafsi, ila gays na Lesbos wanajitoa sana ktk misaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…