Safi sana! hii ndiyo nondo sasa!Ninachokifahamu ni kuwa watu huyaona mambo kutokana na vile wanavyoyatazama.
Kwako wewe umeliona suala hili ni la kawaida ndio maana umelikumbatia na ukalitafutia justification ukaliita "kilema".
Lakini kama ungeliona ni jambo baya na lisilofaa basi ungelikemea na kulitafutia ufumbuzi.
Ndio maana hata hao vilema tunawatafutia namna ya kuwaweka sawa ili waendelee na shughuli zao kama watu wengine, kwa sababu tunajua kuwa hali walizonazo sio sahihi.
Ndio maana mlemavu wa miguu atapatiwa baiskeli ili aweze kwenda, mlemavu wa masikio atapatiwa vifaa maalumu walau aweze kusikia, bubu atafundishwa lugha ya ishara ili aweze kuwasiliana na wengine.
Ila hawa walemavu wako unataka wasisaidiwe kutokana na hiyo hali, na badala yake wakumbatiwe na kusapotiwa wabaki katika ulemavu wao.
Na hivi kati ya shoga na basha nani anakuwa kilema hapo?
Achana na story za kuambiwa. Hivi ingekuwa wewe ndio umefanywa hiyo na huyo mzungu, ungechukua hatua gani, just be honestNi malezi na mazoea mabaya! Kwa mfano huyo aliyezaliwa na ndugu wa kike usoefu wake ni wanawake na anakuwa kama dada zake! Psychology ina tiba! Akiwahiwa anapona kabisa.
Mazoea mabaya ukikuta mtu mwenye malezi ya kike kike sana anaanza kuchanganyika na wanaume wenye malezi ya kiume na kuonyesha huo ukike wake watahamasika wamjaribu.
Hivi yule mzungu anayewachukua mabauza na kuwavunja mshipa wa kiume ili wawe mahanithi na aendelee kuwaingilia tu unasemaje hapa!?? Mseveni ameshaprove hakuna maelezo ya kisayansi ya ushoga!
Kuhusu ukweli kuhusu haya! sina wasi wasi kuhusu kutokea! fanya utafiti kama uko hapa bongo!Achana na story za kuambiwa. Hivi ingekuwa wewe ndio umefanywa hiyo na huyo mzungu, ungechukua hatua gani, just be honest
Narudia kusema,Sidhani, wafiraji wakubwa ni hao wachamungu.
Hapo ni makengeza ila wanayatumia macho yao kwa kuona hiyo sio kinyume cha maumbile, umesikia akili kuna tupu.Huwezi kuelewa wewe una akili ndogo. Kwahiyo na wenye makengeza nao tuwapige mawe?
Mbona mm nagongwa na wewe siku nyingi? Mbona husemi kwamba wewe ndo unanigonga? Hata leo umenigonga wewe ndiyo dj?Au wewe ndiyo unataka kugongwa na Dj
Hahahah leo wanawake humu mmekuwa imara kulinda maadili, safiTufanyeje sasa?
Sawa mm ni mjinga kwahiyo hao uliosom nao wenye hizo tabia nao wamejitengeneza?Hapo ni makengeza ila wanayatumia macho ya kwa kuna hiyo sio kinyume cha maumbile, umesikia akili kuna tupu.
Hata mi nshasoma na jamaa wana tabia za kike kuanzia kuongea, kutembea, mikono anavyoiweka gesture zote za kike.
Lakini hata siku moja sijawahi kusikia wanageuzwa hata siku moja. Hawa mashoga ni kujiendekeza tena mengi kujishebedua kike unaona kabisa yanaforce kuigiza. Usiteetee ujinga
Atheist na Wapagani huwezi kuwaburuza kwenye Imani zako.As long as Wana wa Mungu tunaishi juu ya uso wa Dunia, vitendo hivyo vitaendelea kuwa haramu.
Nani kaenda halafu akarudi?Kama ilivyo Mbinguni hakuna vitendo hivyo vichafu,
Shoga na mchawi, ni kulwa na Doto.Hapo ni makengeza ila wanayatumia macho ya kwa kuna hiyo sio kinyume cha maumbile, umesikia akili kuna tupu.
Hata mi nshasoma na jamaa wana tabia za kike kuanzia kuongea, kutembea, mikono anavyoiweka gesture zote za kike.
Lakini hata siku moja sijawahi kusikia wanageuzwa hata siku moja. Hawa mashoga ni kujiendekeza tena mengi kujishebedua kike unaona kabisa yanaforce kuigiza. Usiteetee ujinga
Wanatabia za kike ila sio mashoga nielewe hapo. Tunaowapinga na kuwazodoa ni haya madume ambayo yanafokolewa kuwa na tabia za kike sio lazima ufokolewe.Sawa mm ni mjinga kwahiyo hao uliosom nao wenye hizo tabia nao wamejitengeneza?
Na ufiraji je?USHOGA ni ugonjwa wa akili
Wewe umesoma taaluma Gani?Wanatabia za kike ila sio mashoga nielewe hapo. Tunaowapinga na kuwazodoa ni haya madume ambayo yanafokolewa kuwa na tabia za kike sio lazima ufokolewe.