imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mbona unachuchu kama za Mwanamke wakati hunyonyeshi 😁Ni haramu kubadili JINSIA.
Mbona kuna Wanawake wana ndevu? Mbona kunawatu wanazaliwa na jinsia mbili?
Huu uharamu ni mambo ya mwanadamu kujifanya Mungu.