Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ni haramu kubadili JINSIA.
Mbona unachuchu kama za Mwanamke wakati hunyonyeshi 😁

Mbona kuna Wanawake wana ndevu? Mbona kunawatu wanazaliwa na jinsia mbili?

Huu uharamu ni mambo ya mwanadamu kujifanya Mungu.
 
Wazungu wamejua hilo ni tatizo lakini wamelipenda ndo maana wanapromote, sisi tumejua pia ni tatizo kubwa lakini hatulipendi na hatutaki hata kusilikia. Yaani mtu azaliwe na tabia za kiwizi wizi ndo tumchekee tu kwamba ndo tabia yake binafsi???
Ndio swali linakuja umezaa mtoto ana hormonal imbalance unafanyeje? Unamuua? Utamlea? Utamkataa? And suluhisho ni nini akizaliwa hivyo?
 
Kwanini achome sababu ya ushoga na sio ulevi, uchawi, na mauaji yaliyokithiri?
USHOGA, ufiraji, Kutoa mimba ni kipimo Cha mwisho,

Dunia imo mikononi mwa Mungu, yakitendeka na kuhalalishwa Machukizo hayo ni mwisho wa uvumilivu.

The good thing ni kuwa, watenda maovu hayo wasipotubu vifo kwao havikwepeki.

Mungu ataachilia upanga utakaoshughulika nanyi ktk maeneo yenu ya KAZI soon, Brazil ni mwanzo tu wa yajayo.

Wana wa Mungu, watasalimika.
 
Nimekumbuka tu miaka hiyo achana na ile ya tezi dume.[emoji28][emoji28]

Hii nayo sasa ya ushoga imekuwa ajenda kuu huku taifa likipitia changamoto nyingi.

Hata kama ushoga upo, kuna namna ya kupambana nao kuliko ilivyo sasa tukifanya propaganda.

Tuendelee kutafakari.
 
Na ufiraji je?
Wale watoto wadogo wanaoingiliwa na wanafunzi walio wazidi umri, walimu na watu wao wa karibu tunao waamini nao wana ugonjwa wa akili? Unaitwaje huo ugonjwa?
Hayo yote ni matatizo ya akili, hakuna tofauti na anaebaka mbuzi
 
Mtoa mada hajaongelea mtu anayeingiliwa kinyume anaongelewa waliozaliwa na tabia za kike kike? Mjadala ndio uanzie hapo hao wanakua treated vipi je Mungu aliyewaumba hivyo alikosea??
Kama wewe ni mkristo rudi Kasome Mwanzo utaona kuwa Mungu alishaumba kiumbe vema alipomaliza hakurudi kuumba tena. Kwa uelewa wangu wowote mtoto kuwa kilema basi anakuwa tofauti na kile alicho umba na kusema alikiumba vema.... Kuna mkono umepita hapo.

May be adamu alikuwa kilema kiphizikia, baiolojia na mengine yo.
 
Ushoga Ni upumbafu aisee kwanzakutamka tu Hilo neno Ni nuksi unajowekeaa imagine watot wadg zako wawe mashoga alfu uchukulie Ni jmbo la kawaIda
 
3_organs.jpg

Huyu mtoto kazaliwa na uume na uke unataka kuniambia Mungu kakosea?

Science imeshadebunk mambo mengi ya dini msifosi dini zenu za kutunga kwenye mambo muhimu ya mwanadamu.
 
Sasa kwa mtu aliyezaliwa na hormone za kike au kiume kama nilivyoeleza wafanyeje kama kubadili jinsia au kupewa vidonge vya hormones hautaki?

Kwanini Mungu aliwaumba na hormone za jinsia nyingine? Alafu useme ni kuzimu? Kwani shetani ndio anaumba?
Uko uzao wa Mashetani Duniani.

Pia upo uzao wa Mungu duniani.

Naongea kitu nakijua.
 
USHOGA, ufiraji, Kutoa mimba ni kipimo Cha mwisho,

Dunia imo mikononi mwa Mungu, yakitendeka na kuhalalishwa Machukizo hayo ni mwisho wa uvumilivu.

The good thing ni kuwa, watenda maovu hayo wasipotubu vifo kwao havikwepeki.

Mungu ataachilia upanga utakaoshughulika nanyi ktk maeneo yenu ya KAZI soon, Brazil ni mwanzo tu wa yajayo.

Wana wa Mungu, watasalimika.
Congo ni majanga Kila siku kwani Kuna ushoga? Afrika mbona magonjwa haysishi je Kuna ushoga? Acheni homophobia bila sababu, ni kheri ungesema mwenye hormones za kike apewe booster za testosterone walau ningekuelewa ila hii ya kueneza chuki kwa mtu aliyezaliwa hivyo ni upunguani.
 
.......Pili kuna rafiki yangu mmoja aliolewa na mwenyezi Mungu aliwajalia kwakapata mtoto, lakini kabla ya hapo tulikuwa tunaambiwa kuwa jamaa anaingiliwa na wanaume wenzake, tukawa hatuamini ila amini usiamini mkewe alithibitisa hilo na ukawa ndio mwisho wa ndoa yao. Kumbuka wamezaa mtoto.

.....
Kuonesha kuwa hii kitu si cha kawaida! Nakuonya usipende kuongelea masuala ambayo huwezi kuonja uchungu wake. Ungalikuwa mwanaume ungejua uchungu wa mtoto wa kiume kuwekwa nchumali. Aidha kama hili lingekuwa ni jambo la kawaida kwanini hapo pekundu umepaandika? Si ungemshauri rafiki yako awe anawekwa nchumali na wakati huo huo mume wake anawekwa nchumali!

Kwa kuhitimisha, mwanaume kuingizwa ni laana na haikubaliki. Lazima tuchukue jitihada za makusudi kuhakikisha mwanaume hainamishwi hata kama anapenda.
 
Kama una hizo imani hii topic haikufai. Jamaa amejaribu kutoa mtazamo wake juu ya jambo husika usimhukumu!
Wapo mashoga wa kuzaliwa ndiyo na wapo wa kufunzwa hawa wanaingiliwa wakiwa wadogo na wanazoea hii tabia
Kama huamini kwamba watu wanazaliwa wakiwa mashoga kwann wanawake wengine wana ndevu? na baadhi ya wanaume wana maziwa?
Msenge mwingine huyu hapa
 
Uko uzao wa Mashetani Duniani.

Pia upo uzao wa Mungu duniani.

Naongea kitu nakijua.
Uzao wa shetani? Kisa ana tabia za kike? We ni mkristo wa wapi? Nina wasiwasi utakua mshirika wa Gwajima!!

Kama unayosema hayo unamaanisha kivipi Mungu aliruhusu Biblia ya kwanza ya kiingereza itafsiriwe na Mfalme shoga?? Au kwanini Mungu aruhusu tafsiri ya biblia inayotumika zaidi yaani NIV itafsiriwe na NGO inayo support ushoga?

Mungu angekua na akili kama zako basi hata kabla biblia haijachapishwa hao wahusika wangekufa kwa radi!! Mungu amejaa Rehema na msamaha sio chuki kama nyie wafia dini.
 
Congo ni majanga Kila siku kwani Kuna ushoga? Afrika mbona magonjwa haysishi je Kuna ushoga? Acheni homophobia bila sababu, ni kheri ungesema mwenye hormones za kike apewe booster za testosterone walau ningekuelewa ila hii ya kueneza chuki kwa mtu aliyezaliwa hivyo ni upunguani.
Mapunguanu ni ninyi na mashetani wenzenu, mnao chukua mbegu za WANADAMU wa kiume na kike kuwazalisha nje ya tumbo la mwanamke.

Wendawazimu ni wale wenye kuruhusu mwanamke atoe mimba akiamua tu Kutoka kichwani mwake.

Siku imefika,

Kamwe mwanadamu jatoshindana na Mungu.
 
Shaetani kaumbwa na nani?
Mungu hakumwumba shetani.

Shetani ni LAANA baada ya kuasi.

Hakuna mahala Mungu ameumba shetani, kama ambayo Mungu amemuumba Mwizi, ni uamuzi wako kuwa mwovu au mwema.
 
Ndio swali linakuja umezaa mtoto ana hormonal imbalance unafanyeje? Unamuua? Utamlea? Utamkataa? And suluhisho ni nini akizaliwa hivyo?
Hormones imbalance wala sio ushoga, mimi nazungumzia ushoga. Kuzaliwa namna yoyote sio kosa. Mashoga wengi mnaowaona wala hawana hormones imbalance isipokuwa tabia tu za kujizoesha ndo zinawafanya wawe hivyo. So hakuna namna yoyote ya kuwatetea mashoga kwa hoja ya hitilafu za hormones.
 
Kama wewe ni mkristo rudi Kasome Mwanzo utaona kuwa Mungu alishaumba kiumbe vema alipomaliza hakurudi kuumba tena. Kwa uelewa wangu wowote mtoto kuwa kilema basi anakuwa tofauti na kile alicho umba na kusema alikiumba vema.... Kuna mkono umepita hapo.

May be adamu alikuwa kilema kiphizikia, baiolojia na mengine yo.
Kwahiyo Mungu hawezi umba mlemavu? kwamba walemavu wote wa miguu au viungo ni kazi ya shetani? Duh Sikujua kumbe ni shetani ndio kafanya hayo!! Kumbe Mungu hawezi umba mlemavu. Basi shetani ana nguvu sana kama anaweza Hadi kuumba mlemavu yaani ana uwezo wa kuharibu uumbaji wa Mungu
 
Back
Top Bottom