Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wewe ni shoga?

Sisi tutakukamata tutakuingizia vidole viwili ukiwa umeinama vikipita ni nyundo 30

Acha ushoga
Uhuni wenu wa kipropaganda umefika mwisho.

Mwenzenu museven kashatepeta kaifuta sheria yake ya kihuni leo hii.

Na tutaendelea kupaza sauti mpaka mbinywe mambupu mpigwe vikwazo mnyooke.

Tutaanza mahakamani, kisha tutapanda juu ku-file official complaints kwenye mamlaka zinazohusika na kushughulika na MADIKTETA.
 
NImeuliza vifungu vya sheria iliyotumika, wewe unakuja na story zako kwamba na support ushoga... wewe nahisi kuna fuse imekatika kichwani....
Hilo ni chizi limo humu ku divert mjadala wa CAG.

Katumwa kueneza na kuchochea mijadala ya ushoga.
 
Kwanini ukatae kupimwa hali ya kuwa unajijua 100% wewe sio shoga ?

Sababu yako ya kukataa inaweza kuwa ni nini mkuu ?

Hata hivyo hio njia ya upimaji ya kupitisha vidole una uhakika ndio njia inayotumika kubaini mashoga huk wanakopelekwa (hospital) ?.

What if kuna njia nzuri tu ya kutambua Mwanaume/Mwanamke anaeingilia kinyume. Hapo pia bado patakua panahitaji idhini yako ?
Wewe unaweza ukaruhusu KUINGIZIWA MADOLE MKUNDUNI?
 
Mkuu wewe ndo tumeelewana, nadhani huku watu wanajibu kwa mihemko tu.. mpaka sasa hakuna aliyekuja na kifungu cha sheria hata kimoja.

Wanachoshindwa kuelewa watu ni kwamba, jamii iliyostaarabika inatakiwa kufanya mambo kwa kufuata sheria zilizopo.

Inaonekana hakuna sheria kama hiyo, ya kumuamuru mtu akaingiziwe vidole ili kujua kama yeye ni shoga, na mi nadhani hii case itakuwa haina mashiko na hawa watu naona wataachiwa huru.

Serikali wakidhamiria kweli kupambana na ushoga, waweke sheria bungeni na wazipitishe, ila sio kufanya mambo kiholela kiasi hiki na kukurupuka
Sisi tunaweka comments zetu kama kumbukumbu ili siku yakiwakuta tuwaanbie mbona tuliwaambia?
 
Wewe ni shoga?

Sisi tutakukamata tutakuingizia vidole viwili ukiwa umeinama vikipita ni nyundo 30

Acha ushoga
Nyie vijana msiokuwa na elimu ndo maadui wa hili taifa... We unadhani ushoga utaondoka kwa matusi an mihemko..

Ushoga utaondolewa kwa serikali kuweka sheria kali na bunge kuzipitisha, ila sio kwa hizi drama za majaji wanaotafuta umaarufu
 
Tufanye hicho kifungu hakipo na wanaliwa kweli unataka kusemaje?
 
wako huru!!! jidanganye
Hakuna sheria ulimwenguni inayoruhusu watu KUPIMWA MAPURU na KUCHOKONOLEWA MAVI.

Hizi ni sheria za SAMIA alizotoka nazo Zanzibar kwa baba zake.

Hairuhusiwi, mahali popote katika mbingu na katika ardhi KUINGIZA MADOLE KWENYE PURU LA MWENZAKO eti "unapima ushoga".

Ushoga haupimwi kwa KUSOKOMEZANA MADOLE KWENYE NJIA YA MAVII! NEVER.
 
Nyie vijana msiokuwa na elimu ndo maadui wa hili taifa... We unadhani ushoga utaondoka kwa matusi an mihemko..

Ushoga utaondolewa kwa serikali kuweka sheria kali na bunge kuzipitisha, ila sio kwa hizi drama za majaji wanaotafuta umaarufu
Hilo chizi ni BOT limewekwa humu ku divert mjadala wa CAG na kuchochea mada za mihemko ya ushoga.

Na unaweza kuona anafanya makusudi kuchochea mjadala.

Hilo ni BOT lisikupe tabu. Limetumwa.
 
Back
Top Bottom