Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Rais Samia amezidi kuonyesha uongozi mzuri ni vitendo zaidi na sio kubweka bweka majukwaani

Katika suala la kulinda maadili ya Tanzania, mashoga sasa hawapo salama tena Tanzania, maana wamekuwa wakiswekwa jela kama sheria za nchi zinavyoelekeza


View attachment 2594971

View attachment 2594970

View attachment 2594969

View attachment 2594968
Hii ni tofauti na kipindi cha Magufuli ambapo serikali yake iliwahajikishia usalama wao, na nchi hii mashoga wakawa wanatapa sana na vitendo vya ulawiti kushamiri

Kuna mashoga kama James Delicious ambaye alikuwa maarufu sana kipindi cha Magufuli na serikali haikufanya kitu
View attachment 2594972
Shoga aliyeitwa Kaoge ambaye alihojiwa hadi kwenye Tv kubwa nchini kueneza ushoga

Kuna akina Amber Rutty ambao walikuwa wakirusha video za kulawitiana na bado wakatamba mtaani na kuwa maarufu
Magufuli aliwaogopa mabeberu saaaaana.
 
nimekuwekea case kama nne hivi za mashoga kufungwa kifungo kirefu jela kwa kufanya ushoga, ndani ya mwaka huu


Kama unaona hii ni promo jaribu hata kuigiza ushoga uone kitakachokukuta awamu hii
Huyo mtu wako ametoa kauli tata sana alipokuwa akiongelea watoto kulawitiwa.

Nashauri awe anasoma hotuba, asiachwe kuongea bila kusoma kilichoandikwa.
 
Pale unapojidai unakichukia kitu kumbe unapiga promo! Sasa hapa tujadili nn zaidi ya promo ya hilo jambo? Tukilijadili kwa tunavyojua na kuamini mnatutukana matusi ya nguoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ajabu kwa kweliii.
 
Huyo mtu wako ametoa kauli tata sana alipokuwa akiongelea watoto kulawitiwa.

Nashauri awe anasoma hotuba, asiachwe kuongea bila kusoma kilichoandikwa.
Vitendo vyake dhidi ya mashoga bongo ni kuthibitisha Samia hachekei mashoga
 
View attachment 2594102

View attachment 2594103
Hapa tunawaona Bonobo Apes wakifirana na kusagana.

Hii tabia ni ya Big Apes hawa hawajawa corrupted na Human ideas kama Dini za Binadamu nk.

Kwahiyo hizi tabia ni Natural na Ushoga ni tabia natural.
Wazungu si watu wazuri..

Washatutengezea mfano hai..ili wenye akili nyingi kupitiliza waamini kirahisi!

Wacongo wanatia huruma wanageuzwa jaa kwa vile hawana mtetezi!

Kila baya linaanzia Congo!
 
Hizi sheria za kupinga ushoga ziwe tu kwa kwa under 16 lakini kwa watu wazima iwe ni juu yao kuamua kuitumia miili yao wakiamua kufira hewalaa wakiamua kufirwa hewalaa.

Sheria ziwe kali dhidi ya wezi na wabadhirifu pamoja na wale waliozoea ku abuse power.
Samia yuko bize na MASHOGA.

Ameunda TASK FORCE ya KUWAINGIZIA MADOLE KWENYE MAPURU na VISIMI.

Lakini kwa MAJIZI YA MATRILIONI anapita kimya na ushungi wake

SAMIA [emoji21][emoji21][emoji21]
 
Samia yuko bize na MASHOGA.

AmeundaTASK FORCE ya KUWAINGIZIA MADOLE KWENYE MAPURU na VISIMI.

Lakini kwa MAJIZI YA MATRILIONI anapita kimya na ushungi wake

SAMIA [emoji21][emoji21][emoji21]
Anatakiwa awe bize na wezi walioripotiwa ikiwamo Upigaji Tanroads na SGR na wengine wote wanaohusika pia anatakiwa apeleke faster mchakato wa KATIBA MPYA.

Afanye mabadilko kwenye cabinet alete sura mpya wasiwe wale wale aliowarithi kutoka kwa Magufuli.

Samia bado anapendwa anatakiwa achukue hatua za haraka kabla hajachukiwa na Wananchi.
 
Ukimfunga Jela Shoga ni kumrahishia maisha chakula cha bure na kufirwa na Manyampara daily.

Hapo Mwanasiasa ndio mpumbavu sio Shoga.
 
Salaam,

Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu, Kwa Imani Mimi ni mkristo napenda kuchimba sana kwenye Biblia maana naamini kabisa ni neno la MUNGU -Zaburi 119:105

Sasa Kuna watu naona wapo mstari wa mbele kupinga ushoga na hata kutaka mashoga wauawe kana kwamba uasherati na uzinzi wao sio tatizo. Watu wanajisifu kulana kimasihara, kula wake za watu kushindana ni nani kalala na idadi kubwa ya wanawake na anaona ni ufahari kabisa ila anapinga ushoga kana kwamba dhambi zake yeye ni halali

Sitetei tabia ya ushoga ila ninachotaka kusema ni kwamba dhambi ni dhambi na usifikiri dhambi yako wewe ni nzuri ila ya mwenzio ndio mbaya.

Kwa wale wenzangu ambao ni wasomaji wa Biblia turejee 1Korintho 6:9,10 dhambi zote hizo ni chukizo Kwa Muumba wetu na kila anayezifanya hataingia kwenye ufalme wa MUNGU

Rejea pia Galatia 5:19-21 kuhusu matendo ya mwili ambayo ni chukizo mbele za MUNGU

Hivyo basi ikiwa tunataka kuwa watu safi mbele za Muumba wetu mtakatifu tuache na pia tukemee dhambi zote hizo bila kubagua vinginevyo ni kwamba anayesema wema ni uovu na anayesema uovu ni wema wote hao ni chukizo mbele za MUNGU.

Amani iwe nanyi, muwe na jioni njema
Ushoga sio dhambi ya kawaida na dhambi nyingine. Hiyo ni dhambi iliyopitiliza, hicho kitendo ni kumkufuru mwenye enzi Mungu. Ushoga ni laana, ambayo inaila taifa na dunia kwa ujumla, majanga na magonjwa ya ajabu yasiyoeleweka ni kwa sababu ya vitendo hivi vichafu.

Bora watenda dhambi wakitubu watasamehewa ila sio wanaomkufuru Mungu.
 
Yani ukipost kuhusu ushoga “either” uwe unapinga, unakubali, unashauri au namna yoyote ile ili mradi ihusu mashoga basi ndugu yangu uzi wako utatembea mpaka utashangaa.

Halafu uzi unaohusu mashoga unatembea haraka sana ndani ya nusu saa tyr utajikuta na comments 500.

Ndani ya comments utakuta kuna matusi ya wanaochukia hayo, mashoga wanaokubali, wenye kushauri na mengineyo.


Ila ukipost uzi unaohusu WIZI , UFISADI NA UZALENDO WA NCHII HII utakuta una wachangiaji 20 ndani ya masaa 2, post ushoga sasa daaaah!!!.

(Kama unabisha tafuta uzi unaozungumzia ushoga kama una comments chini ya 600 nimekaa pale)

Nahisi kuna nguvu kubwa sana inatumika sana kulifanya neno USHOGA liwe la kawaida kwetu.
Na mashoga wengi wanatumia mbinu hii ili kututeka kisaikolojia ili tulizungumzie muda wote kwa kuweka mijadala ya ubishani na kupingana humu jukwaani.

TULIKATAE, TULIKATAE NA TULIKATAE

f76ef195-a0b4-41e7-8f2b-d91919b83fe9.jpg



NAWAASA KWENYE NYUZI ZA MADA ZA KISHOGA TUUSOME NA KUSHAURI KIDGO NA SI MALUMBANO AMBAYO YATA-DRAW ATTENTION KWA JAMII NA KUIFANYA MADA PENDWA.


Baada ya hayo nikiri kuwa nipo kinyume na ushoga nauungana na wanaopinga hili kwa nguvu zote.


Rutashobya
Chato, Tanzania
 
Back
Top Bottom